SABUFA

8.7K posts

SABUFA banner
SABUFA

SABUFA

@KITINDE4

Manchester united fan and Yanga fan SaFi punter

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2022
1.8K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
Happy New year 🎉🥳 Naomba mungu mwaka uwe upande wangu🤲🤲🙏🙏
Filipino
1
1
3
136
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
@Young__guru Max Leo alikua kang'ata meno lazima kinoma
Indonesia
0
0
2
375
YOUNG GURU
YOUNG GURU@Young__guru·
Huyu Jamaa alichofanya Leo pale kati kati akisaidizana na Mwanangu Mkenya Duke Abuya ni Matusi sana 🤣🤣 itoshe Yanga BINGWA
YOUNG GURU tweet media
Filipino
12
15
443
6.7K
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
@_bli4 hawa kuchukua ubingwa labda yanga ajitoe kwenye ligi
Indonesia
0
0
1
40
Bob Kipara
Bob Kipara@_bli4·
Simba bila penalty ni ngumu sana kumfunga Yanga mbovu, mechi ya leo imethibitisha mbele ya Yanga mbovu😂💀
Indonesia
3
1
53
918
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
@baraka_asege na huo mwakani yanga hawezi rudia makosa kusajiri magarasa kwahiyo wajipange 2030
Indonesia
1
0
0
118
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Hello dr Simba hauwezi kuwa bingwa wa PL kwa makosa kama haya unaongoza 2 halafu unakubali kurudishiwa magoli yoote. I swear Simba jipange kwaajili ya mwakani.
Mr.Mbeya tweet media
Filipino
11
3
130
2.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Yanga Anashangilia Sare kweli haya ni maajabu 🙌
Indonesia
24
6
120
5.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mechi imeisha sare lakini Chama kawafunga goli mwana ukome
Filipino
17
17
131
3.2K
Williard
Williard@prolific_88·
Huyu msouth kakutana na katoto ka uganda kmmk 😅
Filipino
19
16
278
10.2K
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
@prolific_88 Huu mkeka kak uliusukaje tuta aibika apa😂😂😂
Indonesia
1
0
1
1.5K
SABUFA
SABUFA@KITINDE4·
@IAMartin_ Sema kweli tulivyo kuwa wadogo wazazi walikua wana tuahidi kwenda dar kusalimia ndugu na tulikua tuna taman kufika dar ila sasa ivi kijana ukiwa dar nikama uko jehanamu uki kosoa kidogo tu wana kuteka ukiwa pande hizo aiseee jaman kwnini tunafika uku wa TZ
Indonesia
0
1
7
2.1K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nimeona video imesambaa mtandaoni, maiti ya mwanaume imeokotwa ikiwa imekatwa kichwa, inaelea katika bonde la mto Msimbazi eneo la Tabata. Baadae nakutana na chapisho la msanii, Mh. Temba anasema ni mjomba wake anaitwa James Temba. Nchi yangu imeharibika sana. Tumefikaje hapa?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Filipino
56
196
1.2K
48.1K
FREENINJADAMOUR
FREENINJADAMOUR@Mwinshehe07·
Ilikuwa wakati mzuri sana kukutana na vijana wenzetu wa vyuo vikuu Mkoa wa Dar es Salaam tukijadili mustakabali wetu na kupata mwanga wa kiuongozi kutoka kwa viongozi wakuu wa chama chetu
FREENINJADAMOUR tweet mediaFREENINJADAMOUR tweet mediaFREENINJADAMOUR tweet mediaFREENINJADAMOUR tweet media
Indonesia
103
237
797
29.3K
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Am very very happy kuona ndugu zangu Songa na Nikk Mbishi ndio wanamfanyia back vocal Profesa Jay...Its a real definition of hip hop, we love you Jay✌️..haters gonna hate but we move on
English
110
74
1.1K
49.9K
Mafioso
Mafioso@capitanpapilon·
"Lee amejamba" Ila mabroo walitutesa sana
Filipino
131
59
734
51.1K
Eng. Paimen✨️
Eng. Paimen✨️@Captain_Josh47·
Kipindi naishi kwa Wazazi, niliwahi kamatwa bar saa 7 za usiku na Doria. Baba yangu aliwahonga Polisi waniweke lock-up siku 5. Mama alikuja kunitoa siku ya pili😂😖💔😭
Indonesia
76
86
1.3K
42.6K
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
Duuh hii inawezekanaje wazee ?🙂👇🏾
MAESTRO 🎭 tweet media
हिन्दी
40
27
297
28.6K
Barbosa
Barbosa@gratian_barbosa·
Kuna madogo humu hawajui kama zamani tulikua tunaangalia UEFA pale Chanel E ya South Africa na Chanel Ten baadhi ya games na zilikua zinapigwa sa 3 na dakika 45 usiku na sio sa 5 au sa 4 kamili kama siku hizi.😄
Filipino
72
51
660
25.3K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
“Wanasema (Simba) eti refa atakayekataa goli lao ndio tutauona ujinga wao. Sisi tunaujua ujinga wao😂. Ujinga ni kupigwa tano, ujinga ni kupigwa mara sita mfululizo, huo ndio ujinga. Yanga tunaujua ujinga wao,” Ali Kamwe, Meneja Habari wa Yanga SC
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
4
2
128
2.9K