kamongo
1.9K posts


Me maisha yakinipigaga sana, afu Presha iwe juu, naenda kuangalia umri wangu kwa Birth Certificate then najua sjafika 30, narudi kulala ndani mwezi mmoja bila kufanya chochote afu kama nina akiba namwita Mwantumu wangu kutoka Chalinze tunajifungia ndani, 😄 🤣, muda wa kufuta makosa si bado upo au

Indonesia

Imebainika kuwa dogo aliyemudu kuvunja security breach ya rais William Ruto na kumkubatia rais huko kaunti ya Kilifi, alikuwa amebeba CV zake ndani ya biblia.
Nia ya dogo ilikuwa kupata attention ya rais ili amtoe kwenye msoto wa ukosefu wa ajira
Walinzi walimhoji dogo na kujua dhamira yake na pale pale rais Ruto alipojulishwa akaahindi kumsaidia
Leo hii dogo amefanikiwa kuajiriwa taasisi ya mamlaka ya bandari nchini Kenya

Indonesia

@AlexSamoja Kwani wewe umekosa uzalendo koote mpk ukakimbizani na wake za watu muwe mnajifunza kwa walio fumaniwa na wake za.wenyewe nn iliwakuta ndipo uanze urafiki na wake za watu ili usije ukaanza kutia hurum mjini...
Indonesia

Kuna hawa wanawake wa WACHIMBA MADINI, unakuta mwanaume yupo mahenge huko mgodini afu mwanamke yupo Morogoro mjini, Kaka ukiona huyo mwanamke ameanza kukusimulia mapungufu ya mume wake, KIMBIA soon atakupa uchape, na ukishachapa ni ngumu kuachana, siku hizi ukifumwa hupigwi mawe kama zamani,
Utalombwa wachimba madini wakatili mno 📌
Filipino

@Engkabora Zote ni poitn nimezichukua cjabakisha tha moko lkn utashangaa kun mtu atashindwa kusom hii habari hta ajifunze kitu hpa ila kwenye mapenzi anasoma san sana..🤝🏻🤭🤭
Indonesia

MWANAUME
Kuna watu wasipo amka asubuhi kwenda kazini basi hawaingizi ata sh mia siku iyo na iyo ndio tofauti ya kipato (ajira) na kitega uchumi
Kipato kita kupatia pesa baada ya kufanya kazi tu
Kitega uchumi kita kuzalishia pesa ata kama uki ugua, uki lala, uki safiri au ukawa buy bado ita endelea kukutengenezea pesa
MWANAUME
Mwanaume hawezi Kamwe kutengeneza pesa zaidi ya kiwango chake Cha kufikili kadili unavyo zidi kujua mambo ndivyo una ongeza kiwango cha kuzalisha pesa
kama una tamani kukuza kiwango chako Cha uchumi zaidi basi tuliza akili zako fikilia vema wapi una kosea na wapi unapaswa kuji rekebisha, jifunze mambo mapya ya kiuchumi kila siku kadili mungu anavyo kujalia
MWANAUME
Wanaume dhaifu Wana wapapatikia sana wanawake wanao ji kweza mbele yao
Wanawake Wana vutiwa sana na wanaume wasio na muda Wala ku husudu wanawake
Ivyo ndivyo mchezo ulivyo uwe una taka au hutaki
Mwanaume kamili unapaswa kuongoza maisha yako Kisha mwanamke ata fuata mfumo wako wa maisha ili aende sawa na ww
MWANAUME
Kama mwanaume hupaswi ku muomba Wala ku mlazisha mwanamke wako aku heshimu
hupaswi ku gombana nae kuhusu kuvaa mavazi ya staha na kusitili mwili wake
Usi gombane nae uki mkataza kuzoeana sana na wanaume wengine
Usi gombane nae kuhusu kuwa remove wanaume anao chart nao kwenye mitandao ya kijamii
Mwanamke atafanya ayo yote yeye mwenyewe bila ww kuongea chochote kama kweli ame kupenda na ame chagua ww uwe mwanaume wake wa maisha
MWANAUME
👉 Ume chagua punyeto na porn badala ya mwanamke halisi
👉Ume chagua video game badala ya michezo halisi itakayo Jenga misuri ya mwili wake pamoja na afya ya akili
👉 Ume chagua kuangalia vichekesho story za udaku habari za siasa mipira na vipindi vya mahusiano redioni na mitandaoni badala ya kusoma vitabu na documentary
👉Ume chagua kuvuta bangibpombe Kali na madawa ya kulevya badala ya kufanya mazoezi na kuishi maisha ya mpendezayo mungu
👉Ume chagua kua mnyang'anyi uki dhurumu Mali na maisha ya vijana wenzio ili upate pesa uka ishi vzr ww na familia zako uki ziacha familia za wanaume wenzio ulio wa dhurumu zi teseke
Alafu una jiuliza ni kwa Nini maisha yetu vijana wa sikuizi ni mafupi kuliko wazee wetu yani sisi tunakufa mapema kuliko wazee wetu wakati sisi wenyewe tume fanya machaguo mabovu kwenye maisha na ndio yanayo tu maluza
Indonesia

@blazadadee1 @Adv_innocent Weeee acha zakoo za hovyoo wanasemaga ukikosea kuoa ni maishako imeshaweka rehani hta km uko na mali uwez enjoy tenaaa ni bora ukosee msing w nyumba utabomoa lkn usikosee kuoa amezaa nae wtoy wangapi...? Km ni mmoj apige chin aanze upya..
Indonesia

Kuna jamaa yangu kaoa miaka minne iliyopita, yeye ni mwanasheria juzi kaniuliza swali kwamba hivi ingekuwa mimi mke wangu anaomba hadi chumvi na ana degree na nlishawahi kumpa mtaji over 12M akaingia hasara!! Ningefanya nini?? Nikamuuliza ulivyomuoa ulichunguza hayo,,,? Akasema hapana nikamwambia basi sina jibu...akasema mke wake hana anachojua usafi, Dada wa kazi hadi kufua nguo Zake za ndani ni Dada wa kazi ....mwishoni nikagundua kapata mwanamke mwenye sifa anazolalamikia....
Kifupi jamaa aliangalia uzuri akasahau Kuna maisha baada ya dimpoz.
Indonesia

@mirowakwanza @mreno255 Dm iko wazi km vpi maji kwisha mwagika haizoleki nisambazie tuu boy au ni aje budaa..
Indonesia

@Malengo25 Ukiniaambia ktk hya mashindan yaliyo malizika na. 3 bora ktk hya mashindano ni hii full back ni hatari sana.. ina kasi ten yenye akili
Indonesia

@nassor_01 Hyo ni code km ujasoma Ghuba uwezi elewa kwa haraka...🫢🫢😜😜🤭🤭🤭
Indonesia

@Chopawang Kun maji yamemwagika pahali sambazen n sis huku mikoani tuyaone bandugu...
हिन्दी

Si Ungepost Hii Ambayo Tupo Wote 😄

HAPPNES MLAY@Happinesmlay
Kuna namna jicho langu moja ni dogo sijui kwanini?
Indonesia

@KingDaeJoyong @Umahili_gaozao Ikikupendeza haun ubaya n mntu weka pale dm pan spaice kuubwaaa pako wazi kabisa..!!
Filipino

@Engkabora Wat km haa huaga wanakujaga kuangukiwaga na jumba bovu ile mbayaaa hta uwez amin kw macho babulay.... lilinikutaga wallah...
Indonesia

Kuna pisi moja nlifukuzia mno na aliniingiza gharama mno za hapa na pale ili nimset nimle lakin wap tukifikia mada ya midinyano anachomoa tena anakua mkali.
Sasa Siku moja nkamtoa out sio mnywaji so tukala fresh, nkamuomba tuzame chemba siku iyo alikua kalainika sana hakutaka kuni disappoint maybe basi nkazama nae room, iyo room Hakuna cha short time ni unalipia full day 40K.
Kidume nkatoa Tunafika Room huko kwan anatoa mzigo? Eti akawa mkali hataki kabisa akaomba nimpishe nikawa natia huruma maybe atanisamehe Kumbe Ndio kwanza akasepa zake wowowo akinitingishia.
Nkaishia kuita pisi ingine nkala kupooza machungu. Kumbe Yule fara alikua bikra na za ndani Kabisa Nilizipata ,Kua mpaka ndoa imemshinda kaachika hadi mmewe kashindwa kula mzigo dogo anaogopa mgegedo.
Niliamua kuashirika la Umbea Duniani ili Kufuatilia maish yke ...ila mwisho niliona nikauke tu

Indonesia

@SharifaSabrina Kumbe kum mtu. Alikuacha dah may be aliteleza me cwezi acha bint mremb kaa wewe haki kwan kulianda aje..? Hyo nafas iko wazi ni2me maombi.🤣
Indonesia

@kishoka_ @AlexSamoja Kun ck utaishiw ndio utajua kiban matumizi ni vzri mkuu
Indonesia

Kipindi nimeoa, kuna siku niliacha elfu 12 nyumbani halafu nikaingia town kusaka michongo.
Niliporudi usiku nikakuta wife amepika ugali na mrenda na hela imeisha.
Ile siku ndo niliamini ndoa siyo ya kila mtu.
#KataaNdoa
Filipino

















