Sabitlenmiş Tweet
KenedyTheRemedy 🇹🇿
13.6K posts

KenedyTheRemedy 🇹🇿
@KenTheRemedy
MC Radio Presenter| Producer | catch me on @XXL and #BongoFleva @CloudsFm The People Station|
Dar es salaam-Tanzania Katılım Aralık 2010
227 Takip Edilen97.7K Takipçiler
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweetledi

Vijana wana nafasi kwenye dunia tuliyopo sasa, Kuhakikisha ilo tunayofuraha kumkaribisha mtangazaji kijana @KenTheRemedy kwenye uzinduzi wa Tanzania Green Summit @tanzaniagreensummit_ . Karibu sana Tuizimie Dunia
📍Mahali: Dar es Salaam Serena Hotel
📆 Siku : Julai 4, 2025
#TGS #TanzaniaGreenSummit #TunaizimiaDunia

Indonesia
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweetledi

London, it’s our house. 😉
Introducing your @NikeFootball Chelsea 25/26 Home Kit.
#LondonItsOurHouse
English

Kutoka Mwanza Mwanza Upeponi mwa ziwa Victoria nipo na Wana kibao anga hizi kwenye XXL YA CLOUDSFM Akina @fredy_boy360 Frank Kachelewa , Izack Mremi , Samu Official, Six Dozen, Eyoo @KenTheRemedy @Neypaul01 Tupo Sana mpka Sana

Filipino
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweetledi

𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗔
1. Tembelea tovuti Rasmi ya WSIS Prizes: itu.int/net4/wsis/stoc…
2. Ingia au Jisajili.
3. Fungua Fomu ya kupiga Kura; (𝙑𝙤𝙩𝙞𝙣𝙜 𝙁𝙤𝙧𝙢)
4. Chagua kategoria sahihi (𝘼𝙇 𝙘7 𝙚𝙂𝙤𝙫𝙚𝙧𝙣𝙢𝙚𝙣𝙩)
5. Kisha tafuta na piga kura (𝘼𝙡 𝙥𝙤𝙬𝙚𝙧𝙚𝙙 𝙚𝙈𝙧𝙚𝙟𝙚𝙨𝙝𝙤 𝙑2)
Kwa maelezo zaidi Tembelea page ya @eGA_Tanzania au piga 0763 292 299 au 0764 292 299
#eMrejesho #V2_Sauti_Yetu_Maendeleo_Yetu
#Turudi_na_Tuzo_Nyumbani #WSIS
#Karibu_tuijenge_serikali_kidijitali
Indonesia

Kaka 🙏 naendelea kujifunza kwenye hiyo list hao wote hapo juu ni maguru sana tundelee kujifunza 🚀
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
Kule YouTube kuna Elimu ya kiFedha kubwa sana inatolewa na watanzania wenzetu. Ukipata muda search hawa watu kwa YouTube 1. Eng Kabenda 2. Edmund Munyangi 3. Emilian Busara 4. Kuna The remedy podcast by my brother @KenTheRemedy . Wherever you are, tycoons, stay blessed! 🙌🏾
Filipino

@KenTheRemedy @KenyanSays Oya
Kesho tubonge kuhusu Ile project
Nasikia madini 😄😄😄
Filipino

Kibiriti changu ukipige maji hivi taa zote kwenye dashboard zinawaka kama za mti wa krismasi 😂
CLEAN CAR CLUB@TheCleanCarClub
Engine wash
Indonesia

Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amedai Mkandarasi wa Kampuni ya Sichuan and Bridge Group Corporation Limited anayetekeleza Mradi wa Uboreshaji wa Miji Tanzania (TACTIC) wenye thamani ya Tsh. Bilioni 22, hana uwezo, hana mtaji na anakosa Wataalamu wa kutekeleza mradi huo kwa ufanisi
Awali, Mkuu wa Mkoa, Martine Shigella, alisema ujenzi umefikia 37%, Halmashauri imemuongezea Miezi mitatu na kuagiza kusiwe na nyongeza baada ya hapo
Ikumbukwe, Agosti 27, 2024 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhandisi Rogatus Mativila, alisema Mkandarasi huyo yupo nyuma kwa Asilimia 26
Januari 31, 2025 Mkuu wa TAKUKURU Geita, Azan Taita, alisema Mkandarasi hana uwezo wa kutekeleza mradi huo na akashauri Mkataba uvunjwe
Soma jamii.app/MkandarasiHana…
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability #Governance
Indonesia
KenedyTheRemedy 🇹🇿 retweetledi

@KenTheRemedy @MalemboLE Hii labda tucheki na dripcheki ya John Jackson kaka😂😂😂

Kazi yetu ni kuhakikisha Tunachunguza na kurekebisha afya ya mnyama wako ili aendelee kufurahia maisha🐕🐈
Tupo Goba center
Tupigie
0765682484
@MalemboLE


Indonesia








