My Name

17.8K posts

My Name

My Name

@Kilain7

peace

Miami, FL Katılım Ekim 2019
94 Takip Edilen233 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
My Name
My Name@Kilain7·
@McinikaWaLamar >Hakikisha una Pasport, nyumbani hapatoshi. >Popote ulipo hakikisha unasaport HAKI na ukweli. >Sema ukweli >Zingatia muda (appointment) >Kuwa simple, simplicity is key
Filipino
2
0
2
178
My Name
My Name@Kilain7·
@officialjuvenil Homosexuality ni tatizo kubwa kuliko matatizo yote. Acheni kufirwa wanaume, mnasababisha hasira za mungu maisha yanakuwa magumu, jua kali. Acheni na mtubu
Filipino
1
0
0
35
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Washkaji zako wana NAMBA yako ya simu…. Hio hio NAMBA yako ya simu ndio Unalipia King’amuzi Nyumbani kwako, unalipia Maji,unanunulia LUKU…. Kama huitumii hio namba basi Kuna Favorite namba ambayo unaipigia Mara Kwa Mara Huenda ni Mke,mpenzi au hata Mzazi wako… Au namba umeilink na account zako za Benki ambayo unafanyiemo yote hayo… BADO Kuna minara ya simu ambayo ulifanya mawasiliano mwisho 😅 Na bado kuna vingine vya kijasusi zaidi… Mmmhhhh
YHWH@NikoJMT

Kwahio mnajuaje with absolute certainty kwamba anaishi hapa na atakuwepo muda huu?

Indonesia
26
23
254
33.2K
My Name retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
James Temba was last seen on Wednesday last week when he left his home for classes at IFM. His phones became out of reach on the same day at 2200 Hours. On Thursday as his manhunt was launched, the family received a call from undisclosed lady working in a stationary asking if James is safe. Thereafter and immediately, this number from a stationary lady ceased to be available. Still working on the scene
Fortunatus Buyobe tweet media
English
14
96
794
58.6K
My Name retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Pengine kichwa cha habari kilipaswa kuwa “ VICOBA 13 ndani vya CCM vyapinga uundwaji wa tume kutoka nje ya Nchi.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
62
121
789
27.3K
My Name retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
85
373
1.2K
57.1K
My Name retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
WATEKAJI WA NINJA WAMEJULIKANA. Kwahiyo @tanpol mmekaa na @Ninja_Damour kwa zaidi ya masaa 24, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi mkakana kwamba sio nyie mliomkamata, saizi ndo mnakubali kwamba mnamshikilia? Ule ni ukamataji wa aina gani, sheria ipi ambayo inaruhusu maofisa wa Polisi kwenda kukamata mtu huku wakiwa wamevaa musk za kufika sura zao na kutumia gari lenye plate number fake? Halafu siku hizi watu wote mnaowateka, mnawapeleka kwenye karakana yenu ya kutesea watu hapo Chang’ombe. Nyie ndo watekaji wenyewe, haya mtuambie na ndugu zetu wengine mliowateka akiwemo Balozi Polepole, @mdudenyagali, @DEUSDEDITHSOKA, @DIONIZKIPANYA25 n.k mmewapeleka wapi..? #FreeNinjaDamour
Hilda Newton tweet media
Indonesia
22
141
508
20.7K
My Name
My Name@Kilain7·
@MwananchiNews Kuna watu wameona hakuna reaction yoyote kuyoka kwa wananchi, sasa wamefanya ni mradi. Ni lazima tujilinde
Indonesia
0
0
0
35
My Name retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: POLEPOLE ANGEZUIA UTEKAJI WAKATI WA MAGUFULI, YASINGEMKUTA LEO - HECHE Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche leo Mei 02, 2026 akiongea na Wanafunzi wa Vyuo vya kati na Vyuo Vikuu ambao ni Wanachama wa CHADEMA (CHASO) amekemea vikali sakata la utekaji. Aidha, Heche amesema kama Humphrey Polepole angekemea utekaji wakati wa Rais Magufuli akiwa na madaraka leo yasingemkuta ya utekaji, "Humphrey Polepole angezuia utekaji wakati wa Magufuli, yasingemkuta leo" Heche amewasihi vijana na watu wote kukemea maovu bila woga. Zaidi: youtu.be/Nop5seZxlU0
YouTube video
YouTube
Indonesia
10
41
172
7.1K
My Name retweetledi
Iran Force
Iran Force@IranArmystan_·
🚨 BREAKING : Iran claims 500 intercontinental ballistic missiles are on standby for any possible attack.
Iran Force tweet media
English
444
2.1K
17.6K
861.9K
My Name retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Si tumekubaliana tunaanza upya sio?!😎 #TAITA
Suomi
30
150
1K
25.2K
My Name retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Exactly one year ago, armed men broke into Mdude’s home injured him and carried him away bleeding People recognized police officers but @judiciarytz dismissed the Habeas Corpus application despite evidence It is clear Samia Suluhu ordered his #EnforcedDisappearance and we want them to set him free #FreeMdude Mwaka mmoja kamili uliopita polisi walimteka Mdude na kumwumiza na kutokomea naye! Tunajua wauaji na watekaji wa Dola mnaye Mdude na tunataka muachieni mara moja Hatunyamaza wala kukaa kinyonge Tunasema #FreeMdudeNyagali 👊🏽🔥
Maria Sarungi Tsehai tweet media
English
8
127
252
8.3K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Arusha ikifika saa 3 usiku maduka yamefungwa, watu wamelala na maskini ni wanahesabika. Dar watu wanafanya kazi usiku na mchana, pale Buguruni saa 8 za usiku unapata pilau la Moto kabisaaa lakini bado umaskini NI mkubwa Sana Shida inaweza kuwa NI nini?
Indonesia
62
36
489
27.4K
My Name retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
DAMURU apatikane. Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu. Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika. Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka. Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi. Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka. Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza. Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea. Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake. Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi. HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa. BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
15
291
744
15.3K
My Name retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama yeye kasoma degree ya mambo mbalimbali huko Pakistan. Sasa angalieni CV ya huyu kilaza mwenzake aliyemteuwa kuwa Naibu Waziri haram wa ajira, hivi kweli huyu anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani? Waziri haram anacertificate 3 na zote ni za online halafu vyuo vyote alivovitaja kwenye CV yake hata ukiingia google kuvitafuta havipo isipokuwa kimoja tu maana yake yuko na Certificate za kununua pale Karikakoo kwa Machinga wa vyeti vya Taalum.😂 Kwamba Waziri haram mwenye certificate za mchongo ndio ataongoza wizara ya ajira? Mtu kama huyu atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira? Waziri gani ana udaktari wa mchongo ule wa kununua kama ule wa Babu Tale? Nduli Idd Amin Mama kaamua kujaza vilaza wenzake ndani ya Serikalini haram maana hapendi kabisa maana watu wenye akili maana anajua watamchallenge. Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze halafu hapa mtegemee nchi itasonga mbele.🚮🚮🚮🚮
Hilda Newton tweet media
Indonesia
39
76
319
23.9K
My Name retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo umetimia mwaka mmoja tangu Mdude Nyagali avamiwe nyumbani kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ambao walimjeruhi na kisha walimteka na kuondoka nae mpaka leo hatujui wamempeleka wapi. Tukikomboa nchi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga watatuambia waliko mpeleka Mdude.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
7
166
566
9.4K
My Name retweetledi
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Othman Chande, mwenye umri wa miaka 74, aliyebahatika kuwa na watoto na wajukuu, anataka watanzania waamini kwamba eti mtoto huyu alikuwa anatishia uhai wa Askari hivyo wakaamua kujihami kwa kummiminia Risasi ya kichwa. Kama si ushetani ni nini basi?
Rose Mayemba tweet media
Indonesia
14
100
350
6.3K
My Name retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Maazimio ya KAMATI KUU
Indonesia
14
139
751
8.3K