Mfereji wa Hormuz
4.2K posts

Mfereji wa Hormuz
@johnramseymallo
Political




Kwahio mnajuaje with absolute certainty kwamba anaishi hapa na atakuwepo muda huu?


@EsirEid @FeliusFesto @ExMayorUbungo @jjmnyika @duahamud @HecheJohn @Adv_innocent You had them glasses on afu ulikuwa una complain internet banking yako ilikuwa na shida ? Pale customer service..





Wasomi wa Vyuo Vikuu Dar es salaam wameitikia kongamano la Chaso.




@Sativa255 Naamini hajaenda bila kulipwa We ukialikwa kwa mafwele betting au samia bet unaweza kwenda? Kama utaweza basi wewe utaweza kwenda kwenye harusi ya alikuulia mzazi wako au mwanao Na hauna tofauti zuchu kwenda campaign ya CCM

Vunjabei wamewin kwenye kumualika @Thereal_taivina kama special guest, kwa sababu mwana tayari ana kijiji cha watu ambao watavutika kwenye kampuni. Tofauti na makampuni mengine yanayotumia comedians au watu ambao hawarelate na betting. Hongera kwa mwanetu @Thereal_taivina kwa kwa kupata hili dili. (NOT AFFILIATED) na sijawauza wapwa😂😂👊






Katika wanasiasa nawaheshimu sana ni pamoja na Halima Mdee. Kwenye usaliti na dhoruba zote amechagua UTU na HESHIMA yake. Angeamua “kujiuza” angekuwa bungeni sasa hivi. Baada ya uchaguzi ndani ya CDM mwaka jana niligundua hata wale COVID-19 walikua na baraka za Mwenyekiti.








