Maryam Kitosi

8.8K posts

Maryam Kitosi banner
Maryam Kitosi

Maryam Kitosi

@Kinara____

Media personality | Entrepreneur | Kinara🇹🇿

Dar es salaam Tanzania Katılım Ağustos 2012
406 Takip Edilen13K Takipçiler
Maryam Kitosi
Maryam Kitosi@Kinara____·
Mida ya kuzungumza na Majirani 🎙️ Tuko live kupitia YouTube pale @CrownMediaTZ kuanzia saa sita mpaka nane mchana kupitia 92.1 Crown. Tusikilize online kupitia radio box/ garden au crownmedia.co.tz na kwenye kisimbuzi cha Azam channel no: 67 📡 #SemaNaKinara
Maryam Kitosi tweet media
HT
0
0
2
232
Maryam Kitosi retweetledi
Barack Obama
Barack Obama@BarackObama·
Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions. Like few other leaders anywhere, he was willing to choose the path of peaceful reconciliation without compromising his core values. Through his life, Raila Odinga set an example not just for Kenyans, but across Africa and around the world. I know he will be missed. Michelle and I send our deepest condolences to his family and to the people of Kenya.
Barack Obama tweet media
English
8.5K
22.1K
152K
13.6M
Maryam Kitosi retweetledi
BeingAidanSeif
BeingAidanSeif@AidanCharlie·
Allahummaghfir li, warhamni, wa ‘afini, wahdini, warzuqni
Indonesia
0
3
14
502
Maryam Kitosi
Maryam Kitosi@Kinara____·
Hedhi ni afya na utimilifu kwa Mwanamke. Upatikanaji rahisi wa vifaa vya kujihifadhi kwenye siku zetu na mazingira wezeshi yanaleta furaha/ unafuu ndio maana tunasema “Wezesha Mazingira ya Hedhi Salama yenye Utu kwa Wasichana na Wanawake Wote”♀️ #InternationalMenstrualHygieneDay
Maryam Kitosi tweet mediaMaryam Kitosi tweet media
Indonesia
0
1
8
145
Maryam Kitosi retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa — Simba Sports Club. Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na awape uwezo wa kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi ili waweze kucheza kwa nidhamu, uhodari, na ushindi. Tumefanya maandalizi yote kwa kiwango cha juu kadri tulivyoweza, tumefanya kazi kwa bidii, lakini sasa tunamtegemea Allah peke yake. Ewe Mola wetu, ni Wewe tu tunayekuabudu, na ni Kwako tu tunakuomba msaada. Hatuna wa kumkimbilia ila Wewe. Tunakuomba utusaidie tupate ushindi katika fainali hii, utukirimu kwa kheri, na utujaalie furaha hii ambayo mioyo yetu inaitamani. Na tunakubali, Mola wetu, kuwa Wewe ndiye mbora wa waandishi wa mipango, na hakika mipango Yako ni bora kuliko yetu. Tunakuomba utupe lililo bora kwa sisi – khair – na tukubali kwa moyo mmoja yale utakayotuandikia, kwa sababu imani yetu iko Kwako tu, ee Mwenyezi Mungu. #NguvuMoja #SimbaSC
Indonesia
128
161
1.2K
58.5K