Sehun

7.5K posts

Sehun banner
Sehun

Sehun

@KingHmself

Katılım Aralık 2016
366 Takip Edilen1.6K Takipçiler
Sehun
Sehun@KingHmself·
@Akidahustle sema mwanangu we na Mondi inabdi mkae mmalize tofauti zenu
Indonesia
1
0
1
51
ZEDD-Enigma
ZEDD-Enigma@sisuyasuke·
Mwanetu huko aliko asaivi anajisonya mara tatu tatu 😂😂 uenda hakutegemea hili 😂😂😂 Crown kama Crown 👑 🤪 Yeeeeee baba!!
Eesti
7
10
104
3.6K
Sehun
Sehun@KingHmself·
@MethuMussa Kusaga ana ugomvi gani na Almas...Infact huez fungua media kubwa bila kushirikiana na any Mogul kwenye hiyo business...kitu kingne watanzania tubadilike Hakuna biashara utaifanya peke ako utoboe
Indonesia
1
0
1
50
Sehun
Sehun@KingHmself·
@Iam_denie @fumbokhanJr Account yake hyo hua inapost video na pic exclusive tu,ambazo kwenye main page yake huzikut wala huzipat popote
Indonesia
0
0
0
50
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Breaking news KING Diamond platnumz kaachia Ujumbe Huko😂😂
Fumbo Khan tweet media
English
28
23
764
54K
Sehun
Sehun@KingHmself·
@kimolorama8 @DullahTheking2 mbosso ataenda wapi na wewe,Alipofika Mbosso ndio final ya uwezo wake hana pakwenda zaidi ya hapo...Ni miaka zaidi ya mitano career yake imeganda hapo hapo..Haendi mbele wala arudi nyuma
Indonesia
1
0
0
27
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
👉🏽Hizi lebo kuna muda zinachangia kumchelewesha msanii na kuna muda zinamuwaisha zaidi, binafsi naona hii ishu ni 60/40..... Utaamua mwenyewe ipi iwe 60% na ipi iwe 40% 😅🤝🏽 👉🏽Mwanetu "Macvoice" alitambulishwa kwa ukubwa kinoma na nafasi yake kwa industry ilikuwepo kabisa... Changamoto ikaanza pale ambapo Boss akaanza harakati za kujipambania yeye kama yeye na akakisahau kile alichokianzisha { makosaaaa} kwa sauti ya DJ AFROO 😅 Olo ini olo MacVoice ni msanii mzuri na ana kila sababu ya kusikilizwa , ipe sikio "NAMBIE"🎶.....Halafu turudi kuiRate hapa 🤝🏽 "MacVoice~Nambie"🎶🔥 #ParachichiFM
Dullah_theKing🎧 tweet mediaDullah_theKing🎧 tweet media
Indonesia
17
28
176
13.8K
Sehun
Sehun@KingHmself·
@TillahBlessed @Neypaul01 Mbona cjawahi sikia mtu akisema Castor Dikson anavaa vinjunga kwenye media wakata Sakim kikeke anavaa suit.... Humu ilimradi agenda iende mbele
Indonesia
2
0
1
191
Sehun
Sehun@KingHmself·
@prossoff @TillahBlessed ume tweet nonsense unataka kufananisha mavazi yaNews Anchor na Entertainment personalities alafu hii ni 2023 bado mmekazania mavazi tu,Utadhani ndio mara ya kwanza mna yaona...Ilimradi tu Agenda
Indonesia
1
0
0
137
Dunia🌍
Dunia🌍@DuniaSlaveDunia·
Huyu Bidada alikua anajificha sana hashirikiani na ma ccm sasa kaumbuka kweupe Mungu Anajua sana kufichua Wanafiki kwa njia Nyingi sana Nilowahi Comment kwa kumkosoa kwenye Post yake ya Wimbo wa #SULUHU @JideJaydee na @zittokabwe walinishambulia sana kwa siku nzima , Sasa siung
Dunia🌍 tweet mediaDunia🌍 tweet media
Indonesia
85
30
390
51.8K
Sehun
Sehun@KingHmself·
@VanySimba @DullahTheking2 My concern ni kua WCB haina uwezo wa kumtengeneza msanii kua na brand kubwa nje ya East Africa..Wanaweza tengeneza hits mbili tatu zikavuka border ila bado as an artist unakuta hana brand kubwa Africa....Zuchu was their best investment but they ruined her..
Indonesia
1
0
1
18
Sehun
Sehun@KingHmself·
@VanySimba @DullahTheking2 Kwann niwatoe kwenye lawama wakati wao ndio wanashindwa kuwa brand wasanii wao...Zuchu hakutakiwa kua hapa alipo ila boss waWCB ndio kamuweka busy na Mapenzi.
Indonesia
0
0
0
17
Qubvan🦁
Qubvan🦁@Vanysimba·
@KingHmself @DullahTheking2 Ungeiweka sawa hivii, kwanza ungewatoa wcb ktk lawama afu ukasema industry yetu imeshindwa kumantain ukuaji wa soko la mziki wetu nje ya east africa kwa sababu at some point tulishapiga step kwnye African market or even global market lakn Nd’s soko lipo stagnant. Hatuendi mbele
Indonesia
1
0
0
16
Sehun
Sehun@KingHmself·
@VanySimba @DullahTheking2 Huja ni prove wrong...Coz nitajiemara ya mwisho Zuchu kutoa hitsong kubwa Africa zaidi ya Sukari,Rayvanny mpaka leo Tetema ndio analia nayo..Mind u hizo ngoma zina numbers za kawaida mno ukifananisha ngoma zinazotoka tu saiv na wasanii wa kawaida
Indonesia
2
0
0
26
Qubvan🦁
Qubvan🦁@Vanysimba·
@KingHmself @DullahTheking2 Ww umesema wcb wameshindwa kuvuka east africa, me nimekuprove wrong. kuhusu nani ni mkubwa kuliko nani haijustify mtu mziki wake kuvuka eneo flan.
Filipino
1
0
0
26
Sehun
Sehun@KingHmself·
@4_savage_tz @DullahTheking2 TZ hakuna label zaidi ya WCB lakini hiyo hai maanish mapungufu yao yasisemwe..Na ndio maana nikasema WCB inaweza kumfanya msanii kua mkubwa East Africa ila sio Africa...Na ukitaka sabab nitakupa...
Filipino
0
0
0
73
Qubvan🦁
Qubvan🦁@Vanysimba·
@KingHmself @DullahTheking2 Zuchu anaperform hadi nigeria kwenye matuzo, rayvany kafanya ngoma adi na kina maluma, kina jason derulo, harmonize kablow africa kapiga magoma na kina burnaboy we east africa gan unayoizungumzia labda🤔project iliyofeli ya wcb ni lava lava tu.
Filipino
2
0
1
125