Lodilofa

39 posts

Lodilofa banner
Lodilofa

Lodilofa

@KipepeeKaka

Powerful man

Kwenyemagazeti😀😀 Katılım Eylül 2020
82 Takip Edilen32 Takipçiler
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Juzi kati dogo aliniomba hela nikamwambia anitumie namba yake ya akaunti ya Bank akasema hana, nitume kwa simu, nikamwambia siku akifungua akaunti aniambie ili nimtumie, akalalamika sana ila nikamwambia sitaki hela yangu ikatwe tozo, jana mchana akaniambia kuwa kafungua akaunti.
Indonesia
76
57
1.2K
0
Salma
Salma@salmakorosho·
Unasema umewahi pata aibu??ushawahi katikiwa shanga barabarani ukiwa unatembea🥺😔😂😂
Indonesia
105
18
874
0
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Chanjo walitakiwa kupewa WAZEE huyu kijana anafuata nini huoo!? Anapewa kwa priority gani! @SecBlinken the vaccines you donated are given to ruling party youth while the elder and vulnerable together with health workers are dying! Shame!! @USAmbTanzania @WHOAFRO @AfricaCDC 👎🏾👎🏾
Chama Cha Mapinduzi@ccm_tanzania

Uongozi ni kuonesha njia ndivyo alivyofanya Rais Samia na ndio maana viongozi na wasaidizi wake tumemuunga mkono kupata chanjo hii ya UVIKO 19 hapa ikulu. Tuwaombe wananchi waendelee kupata taarifa sahihi na wafanye uamuzi sahihi wa kupata chanjo hii. Kinga ni bora kuliko Tiba.

English
41
33
207
0
Genious✍️
Genious✍️@chibelube·
Hivi kwa nini wanawake wengi Warembo Wanaishia kuwa michepuko.?
Filipino
87
25
834
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@kigogo2014 Halafu wanamfunga mbowe wanasahau kuwa anaitwa free man😀😀
Filipino
1
3
29
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Huyu si ndiyo alipitisha haya maujinga haya au?
Kigogo Media tweet media
Filipino
11
14
295
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Huyu anaongea nini?
Indonesia
65
33
388
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
CCM na TISS hata mtembew uchi zambarau hawawezi kuja kuwa chama kijuu vha upinzani kamwe mpaka mwisho wa dunia! Yaani hata wabaki watu wawili tu nchi nzima wapige kura bado hawawezi kuwa chama kikuu cha upinzani 😁😁😁 Ngoja tusubiri Makamu kuke Zanzibar ajiuzulu kwanza
Indonesia
57
155
2K
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@kigogo2014 Wengine wamekosa sare wamevaa jezi za simba😀😀😀😃😃😃😃
0
0
0
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@kigogo2014 Au hela za barabara ndo walizoenda kununulia roli la kimarekani 😀😀😀
Indonesia
0
0
0
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
😁😁 CCM mbele kwa mbele yaani!..
Indonesia
62
79
547
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Muda ushafikaaaaaaaa....😂
189
157
3.8K
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@kigogo2014 @HildaNewton21 Mwambie walianza babuzake walishindwa ajitahidi tu kulinda makalio yake wasije omba rushwa tena😂😂😂
Indonesia
0
0
0
0
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kijana wa Singida ni mpumbavu kama wapumbavu wengine, anajua kuvaa skuna na yale makoti ya funua nijam*e 🚮🚮
Eesti
43
52
1.2K
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@HildaNewton21 @kigogo2014 Lakini pia tukumbuke mungu alijibu tulipo mlilia kuhusu meko ila wamesahau sasa naapa huyu mama atajibiwa na kusalitiwa huku macho yake yakiona sio kama yule ambaye alisalitiwa akiwa mfu. Akumbuke tu mungu sio mwana ccm time will tell...!!
Indonesia
1
1
13
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Mungu uliye hai roho wako mtakatifu atusaidie katiba hili. Tuhudumie katike siku sijazo mbele yetukama taifa na utupe ule ufahamu wako wa kiMungu..Leo tumefika hapa imawezekana waombaji wamenyamaza. Kanisa liliomba kwa juhudi kwa ajili ya Petro ukamsaidia ..Inawewezekana alikuwa
Indonesia
299
277
2.5K
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@kigogo2014 @freemanmbowetz Yaani hakuna damu itakayo walilia kama ya mbowe pindi wakijaribu kuimwaga sisi watanzania sio wanjinga tunaona upuuzi wao
Indonesia
0
0
2
0
Lodilofa
Lodilofa@KipepeeKaka·
@kigogo2014 Mbadala upo na tunao ila tunashindwa kuwapeni kwasababu bungeni tuliwatuma sisi kama wananchi na mawazo mnayo jadili inabidi yatokee majimboni kwa wapiga kura na majibu kurejea sasa mnatuambiaje tuwape mbadala wa mabo mliyojiamulia wenyewe? Yaani viongozi mnazgua mjue sema mda tu
Indonesia
0
0
1
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
😁😁😁 sijui tuliwezaje kufika hapa kama taifa!.
Nipashe Tanzania@Nipashetz

#HABARI SPIKA wa Bunge, Job ndugai, amelizungumzia sakata la tozo za miamala ya simu, akiwataka wanaolalamika kuja na njia mbadala ya namna serikali itakavyopata fedha ili kutekeleza miradi ya maendeleo. bit.ly/36ZEbte

41
41
526
0