Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29
137.4K posts

Unforgettable MO29
@Ndyojha
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2014
1.5K Takip Edilen2.1K Takipçiler
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi

Butiku acha uhuni wewe mzee
Unasema umeonana na Polepole mara mbili, sasa maelezo ya Murilo na Msigwa wanasema Polepole yuko Cuba, kwa nini ukutoka kusema umeonana na Polepole kukanusha hayo maelezo yao
— Kwa nini wewe ambaye ni swahiba wa Samia ujamshauri uchunguzi huru ufanyike kusafisha jina lako kama hujui polepole halipo
— Mbona usemi kama uliongea na Fadhali na Haji Omari Kheri ( kikosi cha mauaji cha Samia ) kabla ya polepole kupotea siku chache baada ya nyie kuonana
— Kwa nini usemi kwamba serikali ( ikulu) ilikufuata kuhusu suala la polepole na mliongea nini ?
— wewe umetoa wapi mabilioni uliyogawa kwa watoto na ndugu? Fedha ukizogawa kwa watoto umetoa wapi ? Unaweza tueleza !?
— Kwa nini Samia anakupatia fedha ? Una kazi gani umemfanyia ?
— Polepole alituambia kuna wazee amelipwa kufanya matukio kama unayofanya sasa kutetea serikali na maridhiano , alisema wastaafu mtaibuka ukaibuka wewe baada ya uchaguzi, wewe mzee unatuchukulia vipi kwani ?
x.com/Jambotv_/statu…
Indonesia
Unforgettable MO29 retweetledi

Happy birthday my good friend Tundu Lissu 🎉
You remain one of the very few people that I truly respect, trust and I really miss our conversations
Uko duniani kwa jukumu moja kubwa na ngumu na umeikubali na kuibeba bila kulalamika - hatuna cha kukulipa 🙏🏽
Ila muda wako umefika Mungu ameshatuonyesha - endelea kusimama imara! Tunakaribia kumaliza!
Mungu akubariki zaidi na zaidi na akujalie maisha marefu SANA upate kuona matunda ya kazi yako!
FYI nyie madhulmat wauaji waovu wenye roho nyeusi - hamuwezi kufunga akili na roho ya mtu- Lissu atabaki kipenzi chetu watanzania
#HappyBirthdayTunduLissu
#FreeTunduLissu



Filipino
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi

Mzee Edwin Mtei pumzika kwa AMANI Asante kwa kutuletea Chama ambacho kinasimama upande wa wananchi-CHADEMA.
Sauti zetu na vilio vyetu vingekuwa sawa na machozi ya samaki ndani ya maji, ila kwasababu ya CHADEMA yako uliyoiasisi leo ndio kimbilio letu sisi wapenda HAKI.
MUNGU akupe pumziko la milele-jina lako litaandikwa kwa wino wa DHAHABU siku tukipata UKOMBOZI wa hili taifa.
R.I.P MZEE MTEI 🕊
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎

Indonesia
Unforgettable MO29 retweetledi

Happy Birthday to Tanzania’s Nelson Mandela. @TunduALissu
He has been in jail for almost a year now on sham treason charges. He has refused to sell his soul for his own freedom or money.
Tanzania take heart, we shall win against the evil CCM regime that has survived for so long by terrorizing its own people.

English
Unforgettable MO29 retweetledi

HAPPY BIRTHDAY CHAMPION
1.Magereza hayajawahi kuwa mateso kwa wenye haki au waliofungwa bila hatia.
2.Ubaridi wa sakafu na magodoro ya ft3 x ft6 gerezani hayajawahi kumnyima mwenye haki usingizi.
3.Maji ya kikopo ya kuoga kwa mwenye haki gerezani yanastarehesha kuliko "swimming pool" za makatili au wadhurumati.
4. Siku 300 za gerezani kwa mwenye haki na walioonewa ni sawa siku 3 za kuishi uraiani.
5.Kimwili upo pekee yako lakini kiroho upo na mamilioni ya Watanzania. Wanakupenda.
"Huwezi kukikomoa chuma kwa kukipitisha katika moto mkali"
We shall meet again Chairman.

Indonesia
Unforgettable MO29 retweetledi

Kuna taarifa imetolewa na mawakili kuhusu Clement Mwandambo
Baada ya kuteka watu kwa muda mrefu, sasa Samia anafunga watu vifungo vya nje, tumerudi utumwani rasmi
Soma hapa chini kisha comment kama huyu ni mtu huru na kama kuna kosa lolote umeona amefanya mpaka kupewa hii hukumu nzito,
=========== ----- ===============
Clemence Mwandambo mkazi wa Mbeya aliyekamatwa tarehe 29.12.2025 amefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Jana tarehe 10.1.2026 na Jeshi la polisi bila ndugu zake au Sisi Mawakili wake kujua!
Pamoja na Juhudi za kutafuta alipokuwa amehifadhiwa Tangu tarehe 29.12.2025 taarifa za kuhifadhiwa kwake hatukuweza kuzipata kwa sababu ya Jeshi la polisi Mkoa wa Mbeya kutokuwa wakweli juu ya sehemu anayoshikiliwa Clemence Mwandambo.
Jana kapelekwa Mahakama ya Temeke na Kusomewa maombi yanaitwa “Binding over” (Maombi ya Kuwa Chini ya Uangalizi) ambayo upande wa Jamuhuri wameomba Mahakama itoe Amri zifuatazo
1. Kutofanya kosa lolote ndani ya Mwaka mmoja.
2. Kila ijumaa ya Mwisho wa Mwez kuripot Polisi Mbeya ndani ya Mwaka Mmoja kuanzia Jana.
3. Kutoa accounts zake zote za Mitandao ya Kijamii kwa Jeshi la polisi.
Baada ya kusikilizwa kwa Maombi hayo mahakama ikakubaliana na maombi ya upande wa Jamuhuri na kutoa Amri hizo!
Kwa kuwa hakuwa na Wakili wala ndugu na ukizingatia hakuna aliyekuwa anajua alipohifadhiwa baada ya kutoka Mahakaman akapelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe na leo saa sita Mchana ndugu wakapigiwa simu ili wakamdhamini!
Hivyo basi Clemence Mwandambo yupo chini ya Uangalizi baada ya Amri za Mahakama kutolewa hiyo Jana!
Filipino
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi

Saiz ndo namuelewa @Sativa255 kwanin hawapend polis mule kuna mateso makali saana vijana wanapigwa mpaka nanondo wanatupwa mahabusu bila kutibiwa aisee hali niliyokuta inasikitisha mahabusu hawana haki kabisaa.
Filipino
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi

'Intended killings': Tanzania's election violence ensnared unsuspecting victims reuters.com/world/africa/i…
English
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi
Unforgettable MO29 retweetledi

Anaandika Askofu Bagonza (PhD)
"POLISI NA “WAKATOLIKI”
1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa Balozi wa Papa hapa nchini.
2. Nachukulia uvumilivu wao kama ishara ya kuacha kupambana na maoni ya watu na hisia zao. Basi wafute hata kesi za Mzee Mwandambo aliyekamatwa kwa kueleza hisia zake za kidini.
3. Kumbe, msimamo huu wa Polisi ulianza mapema pale walipomvumilia kiongozi aliyesema atakata vichwa vya watakaoandamana. Shikilia hapo hapo Polisi, jizuie kuingilia uhuru wa watu na maoni yao.
4. “Wakatoliki” hawa wasiojua kusoma vizuri walichokiandaa; walioamua kumwimba “Mwamba ni Yesu” badala ya Bikira Maria Mlinzi wa Taifa letu, na waliosahau kuwa Baba Mtakatifu wa sasa anaitwa Papa Leo wa 14; wametimiza haki yao ya kikatiba.
5. Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za vyama nk - hawa Wakatoliki wakiandamana, polisi kuweni wavumilivu kama mlivyokuwa wavumilivu kwa “Wakatoliki” hawa.
Sisi Wajaluo tunaamini kuwa chuki dhidi ya Ukatoliki inayoendeshwa kwa mikakati mibovu, ina nia mbaya dhidi ya serikali kuliko ilivyo na nia mbaya dhidi ya Ukatoliki.
Kupigana na Ukatoliki ni lazima uwe na dini nyingine ndani yako inayokusukuma kupigana vita hiyo. Wajaluo “tusiotahiriwa” tunajiuliza hiyo dini ni ipi"?

Indonesia
Unforgettable MO29 retweetledi

🚨🇹🇿269 days detained! Tundu Lissu, @ChademaTZ2 leader, locked up on treason charges since April 2025. no court date since Nov 12. Case crumbling (key evidence rejected), yet no release.
Where's the outrage from @Amnesty @HRW @UN @EU_Parliament @StateDept?
Tanzanians: Are we waiting for a miracle to free him? NO! We must ACT NOW‼️demand justice!
#FreeTunduLissu #TanzaniaIsNotFree 🇹🇿✊

English









