Mwidini_Z_Msang

110.8K posts

Mwidini_Z_Msang banner
Mwidini_Z_Msang

Mwidini_Z_Msang

@DMsangii

|Mjumbe B Ardhi Wilaya 2014-2019|Spain & Madrid....Arsenal.

Tanzania Katılım Şubat 2021
382 Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sara💕
Sara💕@saralexozil·
Mimi ni mrembo ama niache ujinga?😂
Sara💕 tweet media
Indonesia
64
15
92
2.1K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Mara paaaaa ,Mkeka mpya wa bei ya mafuta unatoka na bei zinarudi kwenye nafuu, hata chini zaidi! 😎 Mama hashindwiii.
Indonesia
42
0
32
2.7K
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
Kapelekewa moto vibaya mnooo kumalamaake 🖕🖕🖕. Vijana mjifunze vita huyu bado sanaa 🚮🚮. Kaacha ndala 👋
OSAMA BIN LADEN tweet media
Filipino
20
12
57
2.5K
Muuza viatu🌹
Muuza viatu🌹@Agnesskanje·
Kichuya kumbe bado anacheza simba
Filipino
8
1
30
1K
Mwidini_Z_Msang
Mwidini_Z_Msang@DMsangii·
@EsirEid Mimi mwanzo nilikuwa siielewi ila nilipoanza tu kuitazama saiz ndo shughuli hata nikiwa mbali natazama kwa Azam Max tu 😂
Indonesia
1
0
1
130
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Hapa ni picha tu na Dejembi unashadadia dhuluma akikuteua kuwa mjumbe bodi ya Ewura je? Ww umenunua mafuta 10k kwa lita bei ni 15k tuseme stok ile ile mafuta yakapanda hadi 12k ww inakuathiri nn ukiuza 15K kwa gharama ya manunuzi ambayo huja itumia?
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

Tuseme mtu alikua na Stock kisiman 10,000ltrs aliyonunua kwa 2,500/= 25,000,000/= Bei imepanda anafaa anunue kwa 3,500/= Ili areplace hio lita 10,000 aliyokuwa nayo… Inafaa awe na 35,000,000/= Hio extra 10m anaipataje?? Au unataka afirisike afungesheli? Alafu wewe kesho utapata mafuta wapi?

Indonesia
7
5
65
7.2K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
Tuseme mtu alikua na Stock kisiman 10,000ltrs aliyonunua kwa 2,500/= 25,000,000/= Bei imepanda anafaa anunue kwa 3,500/= Ili areplace hio lita 10,000 aliyokuwa nayo… Inafaa awe na 35,000,000/= Hio extra 10m anaipataje?? Au unataka afirisike afungesheli? Alafu wewe kesho utapata mafuta wapi?
Indonesia
26
2
34
13.1K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Haiwezekani EWURA wakitangaza bei mpya usiku asubuhi kila kituo kimeshabadilisha bei wakati matank yana mafuta ya bei ya zamani. Huu ni uporaji na unanyang'anyi wa waziwazi
Indonesia
53
87
725
27.9K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Bado tuna shida mahala sisi VIJANA . Inaonekana bado ngumu kukubali ule msemo 1: " Hii KEKI ni kubwa sana kila mtu atakata kipande chake na bado itabaki " 2: " Kwani kuna shida wote tukishinda / Kufanikiwa " ? Upatikanaji wa hizi hela unafanya watu kuchukiana/ kuharibiana
Indonesia
172
399
2.2K
68.2K
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Kama serikali ingekuwa na nia mbaya au viongozi wakuu wangekuwa wanahusika moja kwa moja, je, wangeendelea kuruhusu ripoti za CAG ziwekwe wazi kwa umma?
Indonesia
261
3
180
57.7K
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
Hapa @NMBTanzania walitulia aisee 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Trojan Horse 🎭 tweet media
Filipino
67
15
284
29.6K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
TAARIFA KWA UMMA Kati kati ya mwaka huu nitahamisha makazi yangu mjini Dar es salaam. Nawasiliana na management yangu kuona ni mkoa Gani nitahamia
Indonesia
41
65
206
4.1K
OSAMA BIN LADEN
OSAMA BIN LADEN@AllyAssed13070·
nina miaka 45. Namiliki sabufa na Tv ya nchi 32😎
Filipino
15
19
99
2.8K
Imma💊
Imma💊@mnyamafungotz·
Mwanamke akishakuw mweupe Automatic anakuwa na mambo mengi sana
Imma💊 tweet media
Indonesia
18
22
105
3.9K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Week nyingine bila Yikpe wa Uganda😂🐸🚮. .
The champ👑 tweet media
Indonesia
34
26
159
3.6K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) limeitoza faini klabu ya Serbia, FK Crvena Zvezda kiasi cha euro 40,000 kutokana na Bango kubwa (tifo) lililobandikwa na mashabiki wakati wa mechi ya Europa League dhidi ya LOSC Lille. Bango hilo lilionyesha picha ya Yesu Kristo pamoja na maandishi kwa lugha ya Kiserbia yakisema, “Imani yetu ikakuongozeni kupata ushindi.” Kwa jumla, UEFA iliitoza klabu hiyo faini ya euro 95,500, ambapo euro 40,000 zilitokana na bango hilo, wakieleza kuwa lilikuwa “linawasilisha ujumbe usiofaa kimichezo” na “linadhoofisha hadhi na uadilifu wa soka"
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
17
8
173
25.5K
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Vijana wanaoendesha Crown, Subaru na Harrries bora umchukulie demu wake kuliko kum-Overtake barabarani 😀
51
67
852
32K