
@ProsperDeo37479 @mhdhamad Hakuna kitu unajua wewe.
Iko hivi, kumwamini Yesu na kutofwata mafundisho yake ni sawa na kutomwamini.
Soma MATHAYO 7:24-27
Kama una akili kichwani, utaelewa YESU alisema nini hapo.
Indonesia
Gamba Massano
5.4K posts




Waislamu acheni kusema Yesu alikuwa Mwislamu au Mpalestina Yesu alikuwa Myahudi, alizaliwa Bethlehemu, na aliishi Yudea. Uislamu haukuwepo.















