LeonarD OM⚡

17.3K posts

LeonarD OM⚡ banner
LeonarD OM⚡

LeonarD OM⚡

@Lleopard_

CONFIDENCE LEVEL: Kanye WEST ON A GOOD DAY. 💪😎 ||UNSTOPPABLE

Tanzania Katılım Eylül 2021
448 Takip Edilen3.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
MWANAUME AMBAYE YUPO SIRIAZI. NA MAISHA Zingatia haya 1. Tafuta Pesa 2. Usilazimishe Mahusiano. 3. Usitake mahusiano na mke wa mtu. 4. Usimrudie mwanamke aliekusaliti. 5. Mwanamke asiyekuheshimu huyo Hakupendi. 6. Ishi na mwanamke Mwenye Akili ...✍ ya moyoni
Indonesia
10
16
103
8.4K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Attention⚠️ Joined 26, chukua hii itakusaidia baadae: - Asilimia kubwa ya hii app ni wanafiki. Wote hapa ni jobless wanaomiliki ndinga. - Sio kila blue tick ana maarifa, 99.6% ni weupe kichwani. - Ukisikia mtu ametekwa, jua aliehusika kutoa ushirikiano ni anae-engage nae.
Indonesia
0
0
0
11
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
HALI YAKE ILIPOBADILIKA, nilishauriwa nifike kigoma X1. Nilipofika mgonjwa akanza matibabu. Nilivutiwa na asili ya mkoa hasa: kilimo, ujasiriamali-KIGOMA ITAJULIKANA! 📌Ushauri muhimu: nenda na shemeji kabsa -SI WANA TU, hii hali hadi GIRLS. Sio wazuri sana ukiwatizama usoni.
LeonarD OM⚡ tweet media
Indonesia
0
0
1
41
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@Noedson_tz Mwanamke huvutiwa sana na aina ya wanaume kihoroleze kama wa kwenye content hii
Filipino
1
0
3
474
NOED.
NOED.@Noedson_tz·
KWA NINI MWANAMKE ADATE NA MIMI.? - Natoa girlfriend Allowance 50k per day - Natoa period Allowance kila mwezi 50k pamoja na zawadi - Namlipia Nauli ya ndege mkoa wowote au nchi yoyote anayotaka kwenda. - Pesa ya kusuka natoa 140k kila akitaka kusuka - Namlipia gym cost zote Wenye visu vikali ndio tunakula nyama ✍️✍️
Filipino
24
22
108
8K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Labda kuongeza upeo kidogo wa SIASA. Tofauti na hapo, huu mtandao (X au Twitter) hakuna kitu utaambulia zaidi ya unafiki tuu🚮
Indonesia
0
0
0
17
Motivation Speaker
Motivation Speaker@Wolfman_Tz·
Yaani naoa mke anatoka kwao na begi tuu anakuta kila kitu kipo nyumba, magari na mali zingine ila kwenye kuachana tugawane 50/50 hii sheria ilitungwa na nani?
Filipino
56
22
326
19.8K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Kijana 1 mitaani alitorosha binti na kumhamishia kwake. Aliporudi kujitambulisha kwa wakwe, waliondoka na ml3 kama mahari. Miezi 6, binti alitoroka ndoa. Ndio maana nasema: Kutoa mahari kwa mwanamke ni uchoko! Tuliambiwa tuishi nao kwa akili, maana wanatuzidi akili&maarifa 🧠
Indonesia
0
0
0
90
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@prossoff Wanaposema utajiri unahitaji maamzi magumu, nipamoja na hayo. Hakikisha unatoboa
Filipino
0
0
11
1.3K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Unajichanga unawekeza kwenye duka la dawa, binti unaemuajili anataka nae ndani ya miezi sita awe na lake. Kukagua huendi mara kwa mara, kidogo mtaji unaisha na haujui kimesepa na kusepa. Ukifungua uwakala napo, yanasepa na float zote. Kidogo umenunua bajaji au boda, hela inaanza kuwa ya simu na vurugu nyingi. Infact madogo saizi jau tu yani.
Indonesia
20
26
391
20.3K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
MTU HANA KAZI, HANA HELA, SIO MZURI NA KUVAA KUSTIRI MWILI TUU. lakini kila siku ananenepeana! Bro, utakufa kifo cha kusikitisha sana. 😔
Suomi
0
0
0
33
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@prossoff Kaka, series ni za kinadada/ kinamama. tutake radhi mwanaume gani hufutilia series?😳
Filipino
2
0
11
812
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Movie wewe. Series hizo wewe. PES wewe. Twitter wewe. Instagram wewe. TikTok wewe. Club umo. Banda umiza umo. Hahaha, bro bro bro. Nimeita mara tatu.
Indonesia
33
42
450
11.5K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@MkulimaKante Sehemu zote hizi nimepita ila dodoma ni sehemu sahihi, ikifutiwa na Arusha. Dodoma Arusha Dar Mwanza
Indonesia
1
0
1
116
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ni vile watu wabishi tu ila kiuhalisia Dar es salaam kuna maisha nafuu kuliko Arusha na Mwanza📌
Eesti
82
37
398
17.3K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@Roma_Mkatoliki Watu wamezoea vifo vya watu wengi kama ya Oct 29, kwa mmoja moja hivi mioyo ya watu haitishiki; wanaichukulia kama k-birthday tuu.
Indonesia
0
0
0
807
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Hii ya viongozi wakifariki linatokea kundi kubwa linatoa maoni (comments) za kufurahia msiba huo au kuonyesha kutokujali kifo hicho!! Lilianzia wapi hili!!??? 🤔 Nani alilileta? Au Kulisababisha? Lakini pia sikuiona hii kwa baadhi ya viongozi walipofariki, niliona taifa likihuzunika pamoja!! Mfano kwa Mwinyi!!
Indonesia
80
94
1.1K
87K
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Hivi ni serikali gani hii ambayo haitaki mwananchi wake apumuue? Usajili tena?.. Kwamba, mnataka kuhoji CAMERA mtu anayoifunga inamlenga nani/kusudio lake ni lipi? Taratibu tuu, mpaka maghala ya mazao ya matumizi ya chakula nyumbani yatasajiliwa.
Swahili Times@swahilitimes

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo. PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.

Indonesia
0
0
0
26
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Kama malaika hawana utashi walitekeleza tu pindi wapokeapo maelekezo, naomba kujua walimwokota mtoto wa majini ( shetani) kwa maelekezo ya nani? Na hao majini ni aina ya malaika au wao walitokana na nini? Ipi sababu au kosa ya uwepo wao duniani, kwa kipindi hicho?
Mwin dadi@AshrafDadi2

@GasperPhilbert @Swahiliurbangfx @Danford_tz Shetani sio malaika ila alikuwa ni mtoto wa majini waliofukuzwa duniani baada ya kufanya maasi makubwa ya kumkasilisha mungu ndo wakamuacha mtoto wao (shetani) ambapo alichukuliwa na malaika na kulelewa huko hadi kakua.

Indonesia
0
0
0
25
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Mwanangu, kama umesave namba ya shemeji yako wa kike au wakiume. kama sio; mnauhusiano mwingine tofauti na ushemeji Ni marafiki nje na ushemeji Mnausiano wa kazi mbali na ushemeji. jitafakari sana.
0
0
0
20
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
Huwezi kuwa handsome ukapata kuoa mwanamke genius, utaishia kuoa kina CHAUPOLE, CHAUSIKU, CHAUMOJA, CHANYAUKOKO & CHAMWALUBELE Hii sawa n timu ya "ARSENAL, mashabiki wa ARSENAL wote wana akili nyingi, ila ARSENAL haina akili timamu na uongozi wake Na huu sio utani.. Maninah!
LeonarD OM⚡ tweet media
Indonesia
0
0
0
21
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
ITAFIKA SEHEM TUBADILI BARAKA KUWA LAANA KUZAA MTOTO WA KIKE; nipo salun wakaja madogo wa kike wa wili (13-14 umri) huyu wa 13 anamsimuli dada yake (14) vile kijana 1 anavyomfuatilia dada ake (14) akasema nimetoka kufuta namba ya kijana mmoja alikua msumbufu IMENILIZA SANA 💔
Indonesia
0
0
0
46
LeonarD OM⚡
LeonarD OM⚡@Lleopard_·
@pastajoshuatz Ungesema mtu asioge chooni, kwambaali Kuhusu kuoga umetizama jua linapochomoza kila siku. ningekuelewa. Zingine hizi ni hadithi tu
Indonesia
0
0
1
810
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Nakupa sheria 5 za kuoga na ukizipuuza usijisumbue kutafuta mchawi nani 1. Kama umepanga nyumba na wapo wapangaji wengi hakikisha uwe ndio mtu wa kwanza kwenda kuoga, ukikuta mtu mwingine kaoga acha kuogea humo najua utapuuza hii point ila sitakwambia kwanini ndio point ya mhimu kwa leo. 2. Ukiwa unaoga anza kwa kujisaidia au hata kukojoa usianze kuoga bila kukojoa au kujisaidia wala usije kukosea umeoga ndio ukakojoa utajutia. 3. Ukiwa unaoga usianzie kichwa, ni kosa kubwa sana anza kwa kujitawaza kisha fuata miguu yako na malizia kichwa kiwe cha mwisho. 4. Ikiwa unaoga tazama jua linapotokea, najua hii kwa imani yako utaipuuza ila ina siri kubwa na kama huamini oga jua linapozamia siku yako itaanza na visaga ni kheri kama unaoga jioni pindi jua linapo zama. 5. Ukiwa unaoga, yale maji yabariki kwa jina la Mungu wa mbinguni kabla ya kuyaweka kwenye mwili wako ukikosea hili la mwisho ni kama imekosea vyote.
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
37
38
252
32.3K