lio

168 posts

lio

lio

@Loiuggg

Katılım Ağustos 2025
30 Takip Edilen8 Takipçiler
lio
lio@Loiuggg·
@vinisuzJr12 @AlexSamoja Ngido ananiambia hapa goti lilikuja kumzingua....sasa kilichomponza yule jamaa madem😁😂 msenge daily alikua anatupiga exile
Eesti
0
0
0
51
vinisuz@Jr
vinisuz@Jr@vinisuzJr12·
@Loiuggg @AlexSamoja Ngido na Vale wote walikuwa watu wa Mali na yule bwna mdogo aliye fariki pale Morena wote wanaujua mpira Ngido yuko Kahama saiv ana Mali(madini) sana mpira kaacha
Filipino
2
0
1
69
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
To be honest wacheza mpira wanabaruza sana dada zetu washenzi wale, nakumbuka miaka ya nyuma pale UDOM, team ya Dodoma jiji walipewa block moja la chuo watumie kama Kambi yao, Pale block 5 social tumepigana sana vikumbo na wale wachezaji. Siku moja......
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
34
21
458
55.2K
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@Loiuggg Wanasema hamna shida cha msingi majina yaendane mpangilio tu
Indonesia
1
0
0
5
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Hv wakuu kama NIDA imekosewa herufi moja kwenye jina kunae utaratibu wa kubadilisha !? na inagharimu sh ngap kwa muda gan anae faham.
Indonesia
31
25
230
25.6K
lio
lio@Loiuggg·
@LifeofSteph_1 Aina nouma kaka ..maana mm kwenye vyeti vyangu vyote vya skuli niliandika jina langu na la baba ila kwenye nida walikuja niforce niandike jina la tatu licha ya kuwaeleza kua mm natumia Majin mawili since day 1
Filipino
1
0
0
34
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@Loiuggg Naenda juma 3 kuuliza nitakwambia ngoja ni bookmark
Indonesia
1
0
0
137
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mimi sio maneno yangu 👐 Msikilize aliyeyasema kwenye video! Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
HT
86
50
689
75.5K
lio
lio@Loiuggg·
@mafolebaraka Sahihi maana naweza jua tofaut ya under 3.5 na over 3.5 nika stake high online nikapata mamilioni
Indonesia
0
0
5
248
lio
lio@Loiuggg·
@emabilly2001 Hizo silah c zilipita hapo dp dunia...hukuziona mwanetu wa dp dunia
Indonesia
0
0
0
35
Beast
Beast@emabilly2001·
From kununua silaha to member of Parliament 😁
Indonesia
3
3
18
809
Symon Goodluck
Symon Goodluck@GoodluckSymon·
@swahilitimes Safiii sana ni chombo kilichokuwa kinachapisha taarifa ambazo hazibalance pande mbili safiiiiiiii TCRA
Filipino
2
0
2
3.9K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kusitisha kwa siku 90 leseni ya maudhui mtandaoni iliyotolewa kwa kituo cha Jambo Online TV, kwa kukiuka sheria na taaluma ya uandishi wa Habari. TCRA imesema chombo hicho kilichapisha maudhui yaliyopotosha umma kuhusu hali ya matukio mbalimbali yanayoendelea nchini.
Swahili Times tweet media
Indonesia
85
38
462
47.7K
lio
lio@Loiuggg·
@Sativa255 Kummke mwaga moto kama 🐲
Filipino
0
0
0
282
lio
lio@Loiuggg·
@mzeemkambunga @Bkubwa45 @mafolebaraka Sawa kamari ni neno tu.tutoke uko.nitajie kazi yeyote inayokupa 100% win...Yani unauhakika ukiwekeza ww maisha yako yote ni faida tu Nb..kama hiyo biashara IPO bac nahic kila mtu angefanya maana huwez fanya kitu huna uhakika nacho.usipo kua na uhakika na kitu tiyar hiyo ni kamar
Filipino
0
0
0
7
Mkambunga
Mkambunga@mzeemkambunga·
@Bkubwa45 @Loiuggg @mafolebaraka SAWA ILA TAMBUA KWAMBA MAFANIKIO HAYAJI KWA KAMARI HILI UNALIFAHAMU NA NGUMU. KULIPOKEA ILA NDIO UKWELI MCHUNGU WACHEZA KAMARI MSIOTAKA KUUSIKIA
Indonesia
1
0
1
110
lio
lio@Loiuggg·
@mzeemkambunga @mafolebaraka Nitajie kazi au biashara ambayo inakupa chance 100% za kuwin? Kila biashara nikutake risk huku ukitegemea bahati kenge ww...kwa nn neno bahati limekuja lenyewe...Kuna Wana wanakaza kutafta Doo lkn bila bila ila wengine wanafanya easy tu na Doo wanazipata..bahati hz janja
Indonesia
1
0
2
231
Mkambunga
Mkambunga@mzeemkambunga·
@mafolebaraka VIJANA WATAFUTE KAZI ZA KUFANYA HUWEZI KUFANIKIWA KWA KUBAHATISHA !!!!UKWELI MCHUNGUU
हिन्दी
7
0
3
2.7K
lio
lio@Loiuggg·
@Thommunkondya Ivi kaka unajua ukishakua ccm unakua huna akili automatically
Indonesia
1
0
0
30
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Kijana yeyote wa CCM akisoma kanuni ya UVCCM ya mwaka 1978, toleo la Mei 2025, hawezi kuwa “chawa” labda kama neno “chawa” litapewa tafsiri nyingine. 😄🤷🏾‍♂️ Fikiria, hizi ndizo hasa kazi ya UVCCM. Tumepewa dhamana kubwa ya kusimamia na kulinda maslahi ya vijana wote nchini.
Thom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet media
Indonesia
30
2
34
3.4K
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Shirika linapata vipi hasara Kila wikiendi treni imejaa..?? By ijumaa asubuhi kupata ticket kipengele.. seats zote zimeisha, mpaka jumatatu.. 🙌🏿 Au mie ndio kiazi, sielewi.. 🤔🤔🤔
Swahili Times@swahilitimes

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema Shirika la Reli Tanzania (TRC) limepata hasara TZS bilioni 3.06 kutokana na ajali za treni zilizofikia 328. CAG amesema hasara hiyo imetokana na uharibifu wa miundombinu na kupotea kwa mapato.

Indonesia
33
4
85
21.9K
warida yahaya
warida yahaya@WaridaYahaya·
@k_mjege Wapinzani ndo maisha waliyochagua 😂😂,Yani kama wehu vile. Sema tusomesheni watoto jamani ,ukishangaa utakuta na wanao anategemea kifo Cha mtu kimpe furaha
Indonesia
9
0
5
2.2K
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Imagine umefiwa Halafu watu wanasema wanashukuru “kwa hicho kidogo”!! Kama jamii kuna sehemu tumejikwaa
Filipino
52
50
498
32.2K
lio
lio@Loiuggg·
@kidimbes @chapo255 Ww Kuma mwanangu aliuwawa akiwa ndani unasema alikua mwizi....dah lolote likupate Kuma ww...mnatia hasira knm kisa pesa tu wananetu.
Indonesia
1
0
2
168
Untraceable
Untraceable@kidimbes·
@chapo255 Nyie na hiyo Oct 29 yenu ni kama turning point.. Wale walikuwa ni wezi tu.. Msiwataftie sympathy
Filipino
19
0
4
3.1K
lio
lio@Loiuggg·
@MickyJnr__ Sema ww Jana kasenge sana
Indonesia
0
0
0
9