𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐

26.7K posts

𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 banner
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐

𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐

@LudoFredrick

▪️Radiation Oncology, Radiotherapy ▪️RAOTA president 2025-2028 ▪️Corporate host🎤 “I love football” ▪️Instagram: ludotz_

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2015
3.3K Takip Edilen5.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐
SARATANI ZA MAENEO YA KINYWA (ORAL CANCERS) 1/5 Hizi ni saratani zinazoweza kutokea kwenye lips za mdomo, ulimi, mashavu, kuta za mdomo (juu na chini), taya na maungio ya nyuma ya kinywa. Vichochezi vyake hasa ni kutokana na mitindo ya maisha.
Indonesia
10
42
106
0
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Prof. Mohamed Janabi
Prof. Mohamed Janabi@ProfJanabi·
Great exchange today with @nsanzimanasabin, Rwanda’s Minister of Health, in Kigali. Proud of the bold strides on #UHC, local manufacturing, primary health care & emergency preparedness. Ambition, progress & real impact on lives. @WHO stands with you to go further on #HealthForAll.
Prof. Mohamed Janabi tweet mediaProf. Mohamed Janabi tweet mediaProf. Mohamed Janabi tweet media
English
1
50
189
10.4K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Taifa la Mungu Tumsifu Yesu Kristu. 🙏
Lietuvių
5
2
13
478
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ninatoa pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili na kuweka rekodi ya Taifa katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon), kwa mara ya pili mfululizo. Umeendelea kuipeperusha vyema bendera ya Taifa letu, ukilitangaza jina la Tanzania kimataifa katika moja ya mashindano mashuhuri zaidi duniani, na umetuletea heshima kubwa katika ulimwengu wa michezo. Mafanikio yako ni chachu ya matumaini na hamasa kwa vijana wengi. Watanzania wote tunajivunia.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
36
105
373
18.6K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
OCEAN ROAD TUNZENI VIFAA HIVI WATANZANIA WANUFAIKE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka uongozi wa Taasisi ya Sararani Ocean Road (ORCI) kutunza mitambo ya kusaidia uchunguzi wa wagonjwa ikiwemo mtambo wa Pet-Ct Scan kwa kuwa mitambo hiyo imegharimu fedha nyingi zilizotoleea na Serikali pamoja na kutoa huduma bora kwa wananchi. Rais Dkt. Samia ametoa maelekezo hayo leo Aprili 16, 2026 wakati akitembelea baadhi ya mabanda kwenye Mkutano wa pili wa kimataifa wa shirikisho la jumuiya ya madaktari wa upasuaji wa ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. “Mwaka 2022 nilitembelea Hospitali ya Ocean Road nikakuta hali ilivyo Ocean road na wagonjwa wanavyopata tabu dawa hakuna na dawa zilikuwa bei ghali, nilitokwa na macho baada ta hapo nikasema hospitali hiyo inahitaji kujenga na kuwa hospitali ya mfano na ndio maana tukafanya juhudi za kutafuta mitambo hii mikubwa, ombi langu kwenu ni kuitunza hii mitambo lakini pia watakuja watu wengi hapa kupata huduma," amesema Rais Dkt. Samia
Indonesia
0
5
7
951
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Moffitt Cancer Center
Moffitt Cancer Center@MoffittNews·
Registration is open! Join us for a summit featuring breakthroughs in the cell therapies space and hear global thought leaders share their perspectives on the current and future state of the liquid & solid tumor cell therapy landscape.
English
0
7
6
76.9K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐
The Double Bell Chinese Type 56 AEG na The E&L AKS-74U Essential SMG ni bidhaa zinazozalishwa na taifa la China. Ni miongoni mwa fire arms zinazotumika sana kwa vikundi vya wahalifu na ugaidi Africa. Sijui nimewaza nini au sijaelewa nini.
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 tweet media𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 tweet media
Eesti
0
0
0
80
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo jijini Dodoma. Tumepoteza kiongozi shupavu, mahiri, mwenye uzoefu mkubwa, mzalendo na mtumishi wa umma aliyelitumikia Taifa letu kwa uadilifu, weledi na kujitolea. Mchango wake mkubwa katika ujenzi na maendeleo ya Taifa letu utaendelea kuenziwa na kukumbukwa siku zote. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
242
134
762
67.9K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Bunge la Tanzania
Bunge la Tanzania@bunge_tz·
Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge leo Machi 24, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Dodoma.Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka 2026/2027.
Bunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet mediaBunge la Tanzania tweet media
Indonesia
18
13
87
14.9K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐
Je, itagharimu kiasi gani kama nchi za Africa zitaamua kuwekeza kwenye mabomba ya mafuta yanayounganisha bara zima kutokea kwenye mataifa yenye utajiri wa mafuta?
Indonesia
0
0
0
63
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
Shirikisho la soka la Senegal (FSF) 🇸🇳 limeomba radhi kwa mashabiki baada ya kupost jezi mpya zenye nyota 1 kwenye mitandao yao ya kijamii 𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗨:Puma ilianza kuzalisha jezi mpya Agosti 2025 kabla hawajabeba ubingwa wa pili wa AFCON ✅ Zenye nyota 2 zitatolewa Sept. 2026
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
4
13
451
13.5K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐
Kwa kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini Nigeria, wananchi hao kwa sasa wanalia USA peke yake ndio msaada wanaotegemea. Naamini ni suala la muda tu, Rais Trump atachukua hatua, vilio hivyo na hadithi itabadilika sura. ECOWAS na AU, wapo!
Indonesia
0
0
0
28
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Mike Pence
Mike Pence@Mike_Pence·
“Do not be anxious about anything, but in every situation, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God. And the peace of God, which transcends all understanding, will guard your hearts and your minds in Christ Jesus.”(Philippians 4:6-7)
English
442
551
4.2K
185.4K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
Sean Parnell
Sean Parnell@SeanParnellASW·
If you kill Americans — we will hunt you down, and we will kill you. Iran is learning the hard way that President Trump means what he says.
English
2.6K
2.5K
12.9K
496.2K
𝗠𝗧𝗔𝗔𝗟𝗔𝗠𝗨🌐 retweetledi
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Usisahau Kusali Rozari ya Mateso Saba ya Mama Bikira Maria. 🙏
Indonesia
1
10
42
857