Alexander Philip
7K posts

Alexander Philip
@Lyimo__Jr
Never give up| @Arsenal, @Fcbarcelona @SimbaSCTanzania
London, England Katılım Mayıs 2021
1.1K Takip Edilen685 Takipçiler

@EzbornSpeaks Waache wale wengine ya beki kuteleza, tunakuja kuambiwa alipigwa chenga
Indonesia

Hili goli la Chama limevuka mipaka ya Bongo, now linasoma anga za mbele tu 🙌🏾
Men in Blazers@MenInBlazers
BABE, WAKE UP, THEY'RE SCORING WORLDIES IN TANZANIA 🇹🇿

@PampegeleMulemb @wikoloBilal @privaldinho Wewe ndo unayedakia. Kiufupi mpunguze viherehere mambo ya simba hayawahusu🚮
Indonesia

@Lyimo__Jr @wikoloBilal @privaldinho Unadakia hoja hujaelewa wanamaanisha nini mwisho wa siku mnaishia kuumbuka tu.
Indonesia

@wikoloBilal @privaldinho Ndo nimeuliza yeye kamwe yanamuhusu? Si ndo aliyekuwa anatoa ripoti kama mfanyakazi wa simba
Filipino

@INFLUENCERjr Na kina benzema wana mechi moja mkononi, alafu mechi ijayo wanakutana wao kwa wao
Indonesia

@privaldinho Vipi nyie kupeleka mechi yenu kule zanzibar haikuwa kukomoa? Si ndo nyie mliotangaza uwanja kabla hata bodi ya ligi haijatangaza? Au umesahau mr kisauti
Indonesia

Wameleta mechi Isamuyo kutukomoa. Magoli yote mawili wachezaji wao wameteleza. Karma
MichaelMwebe@MichaelMwebe
Inawezekana changamoto ya dimba imetunyima ladha zaidi katika moja ya mechi kali kwenye historia ya watani wa jadi.
Indonesia

Unamfahamu Haruna Nionzima vizuri au una tweet kwa mihemuko
Farhan Kihamu Jr@FKihamu
Haijawahi kutokea kwenye historia ya Ligi Kuu Bara Mchezaji kama Clatous Chota Chama, The Greatest ever.
Indonesia

@TriciaAbou Hapo ni kushukuru leo mvua haijanyesha, mpira unadunda mara moja tu
Indonesia

@Dominicksalamb1 Wewe subiri dk 90 uje uongee ujinga wako usiokuwa na kichwa wala miguu
Indonesia

@PresenterNoah Wewe mwenyewe mara ya mwisho kumfunga arsenal lukaku alikuwa mchezaji wenu
Indonesia

@HecheJohn Alifanya mapema sana kumtoa saka, bora angemuacha hata mpaka kwenye dk 60 au 70
Indonesia

Huyu Brother anaitwa JOHNSON MANYAMA NYASEBWA kijana mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Ilala Almarufu kama Akili Brain mmiliki wa ma parody yasiyopungua matano na kuendelea humu. Na yana Fanya kazi kwa nyakati tofauti kutapeli watu.
Vuta kiti, kaa rada kujuzwa usiyo - yafahamu.⤵️


Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰@Tinahcristiaan
Mtumishi muunge hyo dogo bando ..Pesa ameshakutumia sasa badala ya kumuunga una mblock unataka mtu akueleweje? Hela yenyewe nimetoa dada ake mantile hapa..Hata mgongo haujapoa kusukuma chapati😅
Indonesia

@privaldinho Na tunawakumbusha tarehe 3 marefa wote sio wale mnaowahonga, sio wale kipa wenu anayewagombeza na kutaka kuwapiga
Filipino

Tumeona kashfa kwenda kwa waamuzi, kejeli na lugha za maudhi. Hizi kauli huwezi kusikia waandishi wa habari wala wachambuzi wamimkosoa mtoaji kauli. Lakini fikiri angezitoa Ally Kamwe… Vyombo vya habari vingemshambulia na kamati ingempiga rungu.
Tukiamua na sisi kufanya wanachokifanya hatutaki vilio
Indonesia

@privaldinho Kwa hiyo mnaiga kila simba wanachokifanya sio?
Filipino
Alexander Philip retweetledi
















