Badmnyamwezi

688 posts

Badmnyamwezi banner
Badmnyamwezi

Badmnyamwezi

@M19Mc

God is good,Eng is all about to create

Katılım Kasım 2025
204 Takip Edilen38 Takipçiler
Badmnyamwezi retweetledi
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Kumbe kuna shanga za taa yaani taa ikizimwa kinaonekana kiuno tu ,huu mji 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Indonesia
13
21
93
3K
Badmnyamwezi retweetledi
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Primary nilikuwa na wanangu 2 hao walikuwa ni watu wa falsafa za ubabe sana, walikuwa hawaogopi kuita mzazi au kufukuzwa shule. Kuna siku 1 tulienda ofisini kwa ajili ya kusoviwa swali la hesabu, tukakuta vitumbua 4 mezani alafu no walimu, wale jamaa walivila vyote tukasepa.😂🙌
Indonesia
10
21
198
10.3K
Badmnyamwezi retweetledi
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Hzi stat tuzitumie au team ngamia mtajiskia vibaya? 😁😁🤔
ochola..🦅⚠️ tweet media
18
16
53
2.6K
Badmnyamwezi retweetledi
Badmnyamwezi
Badmnyamwezi@M19Mc·
Ndo wapi jamaaa
Indonesia
3
1
1
135
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
@M19Mc Yeye ukimwambia 832 atajua wap 😂
Indonesia
2
0
1
95
Badmnyamwezi
Badmnyamwezi@M19Mc·
@LifeofSteph_1 @LifeofSteph_1 Oi etu mtu anaeza kuhama kambi?mfano dogo kapangiwa kigoma na anakaa dar so kwa kua mbali anaeza kuripoti kambi za karibu?msaada tutani
Indonesia
0
0
0
63
Badmnyamwezi retweetledi
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Mwanangu 1 primary hakuwa wa kishua, kuna siku during break time naona ananunua misosi mingi sio kawaida, akanipasia ya kutosha. After kumaliza kula nikamuuliza "pesa umetoa wapi?" Akajibu kapewa na bro wake. Tunarudi class nasikia rambirambi tulizochanga mornie zimeibiwa.🙌
Filipino
43
42
498
23.7K
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Kila ikifikaga msimu wa barid lazima nipate homa kali vibaya mno 🙌
Indonesia
15
12
39
3.4K
Badmnyamwezi retweetledi
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anaye mtafuta mwezie tunaishi kuangalia status 🤣🤣💔🙌🏿
Indonesia
25
41
219
8.2K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Tukiweka pembeni dosari chache ambazo miaka mingi zinatukwamisha, mnastahili PONGEZI ZA KWELI. Nyie ni mashujaa haswa. Mlianza mashindano bila mbwembwe mmefika fainali. Mimi siwadai wadogo zangu, nyie mnatudai Baadhi ya hawa nyota niliwaona mashindano ya Yanga Soccer School yaliyodhaminiwa na @emwanicafe . Ama kwa hakika ndugu zetu @agreymorisambros @official_pawasa40 na Kocha mkuu Serengeti Boys mmefanya kazi kubwa. Imetumika nguvu kubwa dakika hizi za mwisho, natamani nguvu hii hii iendelee kuendeleza hawa vijana. Lengo la mashindano ya vijana sio mataji ni kuinua vipaji. Wenzetu hawa baada ya leo vijana kadhaa utasikia wameenda Malmo, Salzburg, Shaktar, Goztep nk Hawa wa kwetu watarudi hapa na baadhi yao tutakutana nao ndondo cup. Si unakumbuka ile ya akina Kevin John? Walikuwa yule Kante wao, alikuwepo Agiri Ngoda, alikuwepo Morice Abraham. Kwanini hawaendi na kubaki huko duniani? Kwanini amebaki Kevin Mwenyewe? Tuna mpango gani? Mwisho wa mashindano haya inapaswa kuanzishwa safari ya kupeleka hawa watoto nje kupata Exposure. Ligi yetu ya ndani haiwezi kutupatia akina Sadio Mane wala Amad Diallo. Hoja za Bico Scanda haziwezi kutusaidia kupata mchezaji anayecheza EPL. Ligi yetu bado ni ndogo. Wizara, Baraza na Shirikisho wanapaswa kuwa na mpango mkakati na sera ya kusaidia hawa vijana kwenda nje. Si tumleta Rio hapa? Tunapaswa kuzalisha na sisi Rio wetu. Kimsingi kama tungekuwa na sera nzuri za kukuza soka nje ya mipaka yetu tusingemhitaji Rio aje hapa. Tulipaswa tuwe na mastaa wakubwa nje kuliko Rio. Vijana wamemaliza kazi yao bado wadau sasa kutengeneza sera na mkakati madhubuti la kuendeleza hivi vipaji. Kwani Senegal na Ivory coast wao wametuzidi? Kimsingi wametuzidi seriousness’s ya kuinua soka lao. Ligi yetu haina exposure na sio legitimate platform ya kupeleka watoto ulaya. Watoto hawa watakwenda ulaya kwa kutumia mashindano makubwa ya CAF kama haya ya leo. Tunapaswa kuruhusu uwekezaji wa kisoka hapa nchi kwa mataifa yaliyoendelea kisoka. Fainali ya Wizara na Shirikisho ni kuhakikisha angalau tuna watoto 10 Ulaya. Hiyo ndiyo fainali yetu. Tumetoa ndege ya kwenda kuwachukua, bado ndege ya kuwapeleka Ulaya. Shalom Shalom
Privaldinho tweet media
Indonesia
14
7
146
9.1K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa neema na baraka zake, katika kazi ya kuendelea kuitumikia nchi yetu na watu wake. Nimewasili jijini Moscow, Shirikisho la Urusi ambapo nimeanza ziara ya kitaifa kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais Vladimir Putin.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
88
140
645
36.6K
Badmnyamwezi retweetledi
underrated
underrated@Nestroytimo·
When you break into a house to rob it and you find them watching a replay of Magalhaes’ penalty
underrated tweet media
English
68
1.8K
9.4K
94.2K
Badmnyamwezi retweetledi
𝗪𝗮𝗺𝗰𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼
Kwa Kijana Anae Jitafuta Boksa Moja Inauzwa Elfu 5 Mpaka Elfu 15 Lakini Chupi Moja Inauzwa Elfu Moja Sijakwambia Ununue Chupi Lakini Hata Wewe Fikiria...!
Indonesia
19
26
218
9.5K