
Planet B
4.1K posts









Bongozozo tunakuheshimu sana, tafadhali usijaribu kuingilia mambo yasiyokuhusu. Ulisema umejiondoa kutangaza utalii na hatukukulazimisha ufanye hivyo maana sio lazima. Serikali imefanya matangazo na watalii wanakuja Tz kama kawaida sasa usituchanganye fanya maisha yako





YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain



Mwambie Muuaji Mkuu wa Taifa kamati yake ya maridhiano hii hapa! 🙄 Hawa ndo wahanga wa awali aanze nao alafu itakuja kamati ya #MO29 aliowaua akimaliza atakuwa amepata majibu! Asituone wajinga Upunbavu wa maridhiano hakuna ❌ #SamiaMustGo #TutaelewanaTu




Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Mh.John Mrema, amesema ana imani kubwa na Tume ya Jaji Chande akieleza kuwa imeundwa na wataalamu wenye weledi wa hali ya juu. Mrema amesema tume hiyo ina uwezo wa kitaifa na kimataifa na ina wajumbe wabobevu watakaotekeleza majukumu yao kwa haki na ufanisi. Ameongeza kuwa kuundwa kwa tume hiyo na Rais ni hatua muhimu katika kusaidia Watanzania kushughulikia changamoto zilizojitokeza, huku akieleza matarajio yake kuwa itatoa matokeo yenye tija.




