๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ

33.2K posts

๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ banner
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ

๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ

@MOPenuel

Medical personnel | Data analyst | UI/UX Designer | Klug @AfyaGazette

United States Katฤฑlฤฑm Nisan 2019
5.5K Takip Edilen2.6K Takipรงiler
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
Zechariah 14:9
YouVersion Bible App tweet media
Indonesia
36
352
1.6K
17.6K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
1 Peter 5:8-9
YouVersion Bible App tweet media
English
24
297
1.2K
12.6K
Paps monge
Paps monge@paps_mongeยท
@MOPenuel Mzigo ukifika bongo kuna kodi yoyote ya kulipa iki ukomboe mzigo wako?
Indonesia
1
0
1
331
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ
Mzee Conscious Nilifuata hii procedure, nikaagiza S22 Ultra 5G kutoka USA Machine imenyooka sana Storage 512GB, RAM 12GB, One UI8, Snapdragon 8 Gen 1 Sikusaidiwa na mtu, nilifuata tu maelekezo na mzigo ukafika salama kabisa Be blessed man! Asante sana!
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o@gabyconscious

Bei sio Fixed ๐Ÿ‘‰๐ŸพIngia reebelo.com tafuta bei hutofautiana ๐Ÿ‘‰๐ŸพBaada ya hapo nenda IG Check agent anaitwa "Aquantuo tanzania" akupe address ya kuweka Reebelo ๐Ÿ‘‰๐ŸพAtakusafirishia mzigo wakupe na gharama za usafiri

Indonesia
2
3
21
5.5K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o
BRAND NEW SAMSUNG S26 SERIES ๐‘ต๐‘ฉ: ๐‘ฒ๐’‚๐’Ž๐’‚ ๐’Ž๐’”๐’‰๐’‚๐’‰๐’‚๐’“๐’‚ ๐’˜๐’‚๐’Œ๐’ ๐’๐’Š ๐’”๐’–๐’‡๐’–๐’“๐’Š ๐’•๐’‚๐’๐’ ๐‘บ๐‘ช๐‘น๐‘ถ๐‘ณ๐‘ณ๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜‚ SAMSUNG S26 SERIES Dubai PRICES S26 12/256GB โ€ข White โ€“ 2,324,000 TZS S26 Plus 12/256GB โ€ข Black โ€“ 2,720,000 TZS โ€ข Skyblue โ€“ 2,720,000 TZS โ€ข Cobalt Violet โ€“ 2,720,000 TZS S26 Plus 12/512GB โ€ข Black โ€“ 3,051,200 TZS โ€ข Skyblue โ€“ 3,051,200 TZS โ€ข Cobalt Violet โ€“ 3,051,200 TZS S26 Ultra 12/256GB โ€ข Black โ€“ 3,065,600 TZS โ€ข Skyblue โ€“ 3,065,600 TZS โ€ข Cobalt Violet โ€“ 3,065,600 TZS โ€ข White โ€“ 3,065,600 TZS S26 Ultra 12/512GB โ€ข Black โ€“ 3,468,800 TZS โ€ข Skyblue โ€“ 3,468,800 TZS โ€ข Cobalt Violet โ€“ 3,468,800 TZS โ€ข White โ€“ 3,468,800 TZS S26 Ultra 16/1TB โ€ข Black โ€“ 4,289,600 TZS โ€ข Skyblue โ€“ 4,289,600 TZS Whatsapp: shorturl.at/ItKZY โž  ๐Ÿ“Dubai โž  Delivery: 1-5 Days โž  Shipping fee: 40,000 Utalipia kwa Cargo ukichukua MZIGO NB: Pay-on-Delivery hatufanyiโŒ, kama hutuamini Bora BIASHARA ife.
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o tweet media
English
5
46
103
9.7K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrixยท
Mpendwa Kijana wa Tanzania, Ikiwa hawakufundishi stadi hizi shuleni, tumia muda wako mwenyewe kujifunza. - Time Management - Presentation Skills - Networking - Financial Literacy - Communication Skills (Oral & Written) - Teamwork - Critical Thinking
English
2
31
113
2.4K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
Benix Matrix
Benix Matrix@BenixMatrixยท
Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa tinywow.com Inarahisisha sana kazi. Ina tools kibao za bure kwa ajili ya kutengeneza pdf, image, audio, video n.k
Benix Matrix@BenixMatrix

Kuna hii website nimekutana nayo mtandaoni inaitwa htmldog.com Itakusaidia kujifunza HTML, CSS na JavaScript bure.

Filipino
1
24
49
5.9K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o
Pamoja sana kaka, Me ni kiongozi kwa nafasi yangu Kwenye mikono hii wamepita watu wengi sana Iโ€™m so proud kuona naeza kuwa sehemu ya kuleta Changes ambazo ningetaka kuona bila kufanya SIASA๐Ÿซก
The Oddest.๐Ÿ‰‘๏ธ.@DanieliCreed

Mtu kama @gabyconscious sio wa kupuuzwa,anaishi kuleta 'impact' kwa jamii. Nashangaa sana watu wanamchukulia jamaa "simple simple". Ukiachana na kazi kubwa anayofanya,jamaa ana moyo wa kujitoa sana. More Appreciation homie.โœŠ๐Ÿพ.

Indonesia
2
6
37
883
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
2 Corinthians 7:10
YouVersion Bible App tweet media
Portuguรชs
11
181
944
11.1K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
Isaiah 55:8-9
YouVersion Bible App tweet media
Indonesia
15
269
1.2K
13.2K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
Isaiah 61:3
YouVersion Bible App tweet media
Indonesia
10
164
932
10.3K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata ๐—จ๐—”๐—˜ ๐—ฟ๐—ฒ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฒ๐—ป๐—ฐ๐˜† ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii. Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI ๐™ˆ๐™–๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™–๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ ๐™ช๐™๐™ช๐™จ๐™ช ๐˜ฟ๐™ช๐™—๐™–๐™ž ๐™†๐™ฌ๐™– ๐™€๐™ญ๐™ฅ๐™š๐™ง๐™ž๐™š๐™ฃ๐™˜๐™š ๐™ฎ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™ช -Utakuwa umefika Dubai -Umejua kila kona ya Dubai -sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk ๐—•๐—ผ๐—ผ๐—ธ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ธ, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee๐Ÿ‘‡ Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia Chachu ilitoka wapi? โ€œ๐™„ ๐˜ผ๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ฎ๐™จ ๐™˜๐™๐™ค๐™ค๐™จ๐™š ๐™ง๐™ž๐™จ๐™ ๐™ฎ ๐™›๐™ง๐™š๐™š๐™™๐™ค๐™ข ๐™ค๐™ซ๐™š๐™ง ๐™˜๐™ค๐™ข๐™›๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™–๐™—๐™ก๐™š ๐™จ๐™ก๐™–๐™ซ๐™š๐™ง๐™ฎ. ๐˜ผ๐™ก๐™ฌ๐™–๐™ฎ๐™จ.โ€ Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini. Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo. Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa ๐•ž๐•Ÿ๐•ฆ๐•Ÿ๐•ฆ๐•ซ๐•š๐• ๐•Ÿ๐•๐•š๐•Ÿ๐•– tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo Sasa yeye akaanza kwenda ๐˜ฟ๐™ช๐™—๐™–๐™ž next ikawa China Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai. (Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE) Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana. (Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza๐Ÿ‘‰๐Ÿพ youtu.be/lLfA4B5zQpg?siโ€ฆ) Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa. Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu. Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu Kukosa mteja labda nirogwe. Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia. Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi. Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale. Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu. Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa๐Ÿ˜‚ (x.com/gabyconscious/โ€ฆ) Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia ๐™ฌ๐™๐™–๐™ฉ๐™จ๐™–๐™ฅ๐™ฅ. (Learn Whatsapp marketing๐Ÿ‘‰๐Ÿพ youtu.be/1ER2REhfhMM?siโ€ฆ) Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie ๐™๐˜ผ๐™€ ๐™„๐˜ฟ ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu. Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo. Bana Mungu sio Mark Zuckerberg๐Ÿ˜…. Round hii mambo ikajipa Process ikaanza ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
YouTube video
YouTube
YouTube video
YouTube
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o tweet media๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 7.o tweet media
Indonesia
100
404
1.2K
187.2K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
Hebrews 4:9
YouVersion Bible App tweet media
English
15
189
938
9.3K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
Hebrews 6:19
YouVersion Bible App tweet media
English
12
175
1K
10.6K
๐™ผ๐š๐šŠ๐š ๐š’๐š๐š‘๐š’ ืคึฐึผื ื•ึผืึตืœ ๐Ÿฉบ retweetledi
YouVersion Bible App
YouVersion Bible App@YouVersionยท
Zephaniah 3:17
YouVersion Bible App tweet media
CY
37
214
963
11.1K