SURVEYOR ANDERSON

5.6K posts

SURVEYOR ANDERSON

SURVEYOR ANDERSON

@Magero255

(C.E.O),Surveyor ,GIS expert , Businessman.

Tanzania Katılım Ocak 2023
876 Takip Edilen561 Takipçiler
SURVEYOR ANDERSON retweetledi
Dmake
Dmake@DavidJumon·
@MarekaMalili @Magero255 @M_Sungwa 1. Kwa Africa -kukomaa na Traditional Businesses zenye Cash flow na Margin kubwa, kama Fast Moving Consumer/Goods. 2. Strategic Investments -Kama Modern Irrigation Farming Agribusiness. 3. Long-term Investments -km Private Equities, Stocks, Real Estates, Large scale food Farm
English
0
4
8
351
SURVEYOR ANDERSON retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ngosha @M_Sungwa jana kaniambia lazima uwe na incomes zaa aina 3. 1. Daily income 2. Ya Miezi 3-6 3. Ya miaka 5-10
Indonesia
15
87
494
15K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
@Magero255 Nakuaminia Fanya sasa ule muamala 🤣 Hali mbaya
Indonesia
1
1
2
139
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ukijua namna ya kukusanya hela ndogo ndogo za Maskini ushawin maisha.
millardayo@millardayo

Vunjabei Group chini ya Mtendaji Mkuu wake Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei, leo imezindua rasmi jukwaa jipya la michezo ya kubahatisha lijulikanalo kama Vunjabei Bet, likianza operesheni zake hapa Nchini Tanzania, huku likiwa na mpango wa kupanuka katika Nchi saba za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Akizungumza katika uzinduzi huo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Robert Mbwasi, aliyemwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga, amempongeza Fred Vunjabei kwa jitihada zake za kutafuta fursa za Kimataifa na kuwekeza Nchini, akibainisha kuwa Sekta ya Ubashiri imeendelea kuwa na mchango mkubwa kiuchumi ambapo kwa mwaka 2024/2025 pekee imeingiza takribani Shilingi bilioni 260. Jukwaa hilo jipya linatarajiwa kutoa huduma si tu ndani ya Tanzania bali pia kuvuka mipaka na kuhudumia masoko ya Nchi saba jirani, hatua inayolenga kuongeza ushindani wa kibiashara na kuboresha huduma katika sekta ya ubashiri wa michezo Katika kufanikisha mradi huo, Vunjabei Group imeingia ubia na kampuni ya Kimataifa kutoka Nchini Italy iliyowekeza katika teknolojia ya uendeshaji wa mfumo huo, huku Kampuni hiyo ya ndani ikichukua jukumu la kuwekeza katika miundombinu, usimamizi na masoko katika Nchi zote zitakazofikiwa Ukuaji wa sekta ya ubashiri umeendelea kuwa kichocheo muhimu cha maendeleo ya michezo Nchini, ambapo kupitia udhamini wa Ligi, Vilabu na matukio mbalimbali, Kampuni za kubashiri zimechangia kukuza Vipaji vya Vijana na kuimarisha tasnia ya michezo, huku uzinduzi wa Vunjabei Bet ukitarajiwa kuongeza ajira, fursa za uwekezaji na ushindani katika Soko la burudani Nchini na Ukanda mzima. #MilladAyoUPDATES

Indonesia
19
13
191
34.4K
SURVEYOR ANDERSON
SURVEYOR ANDERSON@Magero255·
@MarekaMalili Alafu ngoja niwe nayo serious kwa half months zilizobaki nitakuja na majibu mwezi 12 tarehe 20.
HT
1
1
2
150
SURVEYOR ANDERSON retweetledi
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Kwenye marketplace huwezi kupokea bila kutoa. Hivyo ndivyo the “Law of Compensation” inavyosema. You got to give something of value before you get something of value. Toa thamani.
English
1
11
47
904
Mbaade 🤠
Mbaade 🤠@Mbaade_·
Wale majaji siku wakikwama kwenye vifungu vya sheria wanampeleka Lissu mahakamani awape somo sehemu walipokwama na mwamba anatoa somo kweli kweli, waanze kumlipa sasa yule Lecture 😂😂😂🙌
Filipino
5
23
75
835
Williard
Williard@prolific_88·
Haka Ka Okello kanajua mpira.
Indonesia
1
1
28
1.2K
SURVEYOR ANDERSON
SURVEYOR ANDERSON@Magero255·
Bad enough tumeshaangalia final tayari.🙆🏽‍♂️
Filipino
0
1
1
25
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Kama uko macho weka handle tufolkow wote apo chini tulio active 🔥🔥🔥 kila mmoja amfollow mwenzake
Filipino
54
36
120
2.2K
danyombeumo
danyombeumo@danyobryan·
Hawa wakiendelea kucheza hivi kuna high 5 leo😀😀sisi na magoli.. magoli na sisi football tutacheza UEFA huko
danyombeumo tweet media
Filipino
1
8
36
564
SURVEYOR ANDERSON retweetledi
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
"..When the cow is not stressed, she gives the best milk".
English
26
171
1.2K
23.5K