Israel Boy🇮🇱
1.2K posts











JUST IN: 🇺🇬🇮🇱 Uganda's Military Chief says "any talk of destroying or defeating Israel will bring us into the war. On the side of Israel." "If Tehran dares hit us with missiles. We shall retaliate with our own missiles."



Yesu hajawai kuwa mkristo ila waebrania walimwita masihi “mpakwa mafuta” . Yesu ni mhayudi na alizaliwa Palestine 🇵🇸 wakati huo ikijulikana kama judea alizaliwa katika mji wa betleemu Yesu aliishi katika Torah ya musa. Pia wakati wake hakuwai kusali kanisani wala hakukuwa na

@EJ_Mwita Mungu anakufaga?

Mzaliwa wa Iringa aliyesoma Chuo cha Ualimu Tabora akapita JKT Mafinga akawa mwalimu. Baadaye akasoma Russia, Degree Marekani na Master Open University. Akawa Mbunge kwa miaka 31 tangu uchaguzi wa vyama vingi 1995. Waziri wa muda mrefu, William Lukuvi amefariki akiwa na miaka 70.



Makanisa bali alisali mskitini ambao inajulikana kama sinagogi. Je ukristo ulianziswa na nani? Ulianzishwa na wanafunzi wa yesy ambao ni petro na paulo wa taraso huyu ndio alipeleka ukristo asia ndogo na ugiriki kisha ukafika roma wakati huo wa roma wanaabudu miungu.

@mentor209 @Mwinshehe07 BIBLIA NI NENO LA MUNGU. SINAGOGI SIO MSIKITI, YESU NI MUNGU, Umesema Yesu sio Mkristo UNAJUA KUA JINA LAKE NI YESU KRISTO NA WAKRISTO NI WAFUASI AU WANAFUNZI WA YESU KRISTO? SIWEZI KUSIKILIZA CHOCHOTE KILICHOKUJA MIAKA 600 BAADA YA YESU KRISTO.







