CodeMetal
2.9K posts


Nope. Running actually helps preserve your joints.
If you don’t like to run don’t run… but don’t say worthless nonsense like this.
Lennart🇩🇪@lennartprimal
Running has to be the worst sport out of all: > not fun at all > destroys joints > no meaningful goal > extremely stressful > makes you low T > ages you fast > gives you skinny fat physique > inefficent to lose weight
English

@CodeMetalai @Kamnyeso Nilikua nishaanza kuamin mpk pale nlipokutana na comment yako😂 taifa linahitaji vijana kama nyie, jamaa alikua anatuona kama matako yake😂😂🙌
Filipino

Wasukuma inawezekana wamekaribia hata milioni 20 😂😂😂. Watu wa Tanga wanasemwa kuhusu mapenzi ila ndugu zetu Wasukuma wanazaliana bwana 😃🙌🏾.
Mr. CEO 💰@MrCEO001
Makabila yenye idadi kubwa ya watu nchini Tanzania 1. Wasukuma +10M 2. Wanyamwezi +2M 3. Wachaga +2M 4. Wahaya +1.8M 5. Wahehe +1.5M 6. Wagogo +1.5M 7. Wamakonde +1.3M 8. Waha +1.2M 9. Wazaramo +1M 10. Wamasai +900k Kwa kifupi wasukuma ndio wamejaa kila kona ya hii nchini 😂🙌 Source: Kulingana na takwimu rasmi za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022
Indonesia

@MarekaMalili The whole point ya ponzi scheme ni kutajirisha watu wachachw waliopo pale juu ya pyramid, wakijua fika kuwa lazima eventually ita collapse. It’s not meant to be successful kwa members wa chini!
Indonesia

@CodeMetalai @CasperOnChain Yes sin is exhaustion.
Cant fool god.
Wake up
English

Mike Tyson says he asked his doctor for help quitting coke and the doctor asked for some
"On my children's life, I'm trying to get help. I'm talking to the doctor I got a problem and he's like, 'You got some on you? Can I have some?'"
"Then I go to rehab. I gave the staff guy my last bit of coke, I wanted to be a good person. Then I saw him later acting funny. The motherf*cker took my coke"
English

@joyfullypillow And yet, here you are, asking me if I'm circumcised.
English

JUMBA LA THAMANI LILILOTELEKEZWA
Nyumba hii Pichani ni makazi ya aliyekuwa Rais marehemu Dkt. Hastings Kamuzu Banda inayopatikana huko Kasungu.
Nyumba hii ilijengwa chini ya mlima uliopewa jina Nguluyanawambe, na ni eneo lenye thamani kubwa katika kihistoria ambalo linafaa kutembelewa kama makumbusho.
Nyumba hii Ilijengwa mwanzoni mwa miaka ya 1980.
Jina “Nguru ya Nawambe” linarejelea ushindi ambao watu wa kabila la Chewa walipata dhidi ya wavamizi wa Angoni katika Mlima Kasungu karne ya 19.
Kamuzu Banda alikuwa akitumia jumba hili kama sehemu ya mapumziko mbali na shughuli za serikali, pamoja na kupokea wageni mbalimbali.
Baadhi ya watu nchini Malawi wanaamini kuwa ndani ya Nguru ya Nawambe kuna mizimu au mapepo, ndiyo maana eneo hilo limeendelea kufungwa kwa miongo kadhaa.
Hata hivyo, kwa mujibu wa taarifa na historia zilizopo, hakuna ushahidi wa kweli au uliothibitishwa unaoonyesha kwamba kuna mizimu katika Nguru ya Nawambe, ambayo ilikuwa makazi ya rais mwanzilishi wa Malawi, Dkt. Hastings Kamuzu Banda.
Hadithi hizo za mizimu zimeenea kutokana na ukweli kwamba jengo hilo kubwa lenye vyumba 24 vya kulala limetelekezwa, liko katika hali ya ukimya kwa miongo mingi.
Katika simulizi na imani za jadi za Malawi, majengo makubwa yaliyotelekezwa mara nyingi huzua hadithi kuhusu mizimu na mapepo.
Watu wengi pia walihusisha madai hayo ya “kuandamwa na mizimu” na roho za wapinzani wa kisiasa wa Dkt. Hastings Kamuzu Banda.




Indonesia

@joyfullypillow We’re just conditioned to think kuwa kutahiriwa ndio the right thing, but it’s really not when you actually think of it.
English

@KennedyMmari Sio Dangote, hata mzee Mengi, hotel zake na maofisini mwake aliwaajiri sana Wahindi.
Kaka mi ni software engineer by professional, kuna rafiki yangu alinishauri kufungua Supermarket. Nimeweka wafanyakazi, systems kila kitu ila ninavyokuambia huu ni mwezi wa 6 sasa sijagusa codes
Indonesia

Dangote hires many Asians into critical operational and technical roles across his companies.
That should force an uncomfortable conversation across Africa.
Not about race. About capability, systems, discipline, and industrial culture.
But we are still too emotional to discuss that honestly.
English

@CodeMetalai @AutoBostock Tufanye vile unapenda
Haya unapenda nini mwenetu?🫵😂
Indonesia

@Kamnyeso @AutoBostock Tuelezee jamaa LC300 alikuwa nayo vipi mwaka 2020 wakati ilikuwa haijatoka?
Indonesia

@AutoBostock @Kamnyeso Kupiga kamba ni kazi ngumu sana. Utachochora tu mahali padoooogo😅
Filipino

@MoviePlugHQ Am I the only one who thinks that the main plots were really good but execution was very poor?
English

@suleiman42776 @ayubu_madenge Ukisha sikia neno taharuki na picha mjongeo, umekwisha😅
Filipino

@ayubu_madenge Kenya Iko mbele kidemokrasia. Tz ukizunguka nayo mtaa wa kwanza wa pili haufiki. Unasababisha taharuki maana hili neno taharuki linapendwa sana
Indonesia

@CasperOnChain I dont believe giving a guy coke because he asked, makes you a good person. Many things are not edifying. Good.
No one is a good person besides Jesus.
Tyson, you should look into christ Jesus.
English














