Dr CARSON

2.6K posts

Dr CARSON banner
Dr CARSON

Dr CARSON

@benonesmo1

Am a student

Njombe ,Wanging'ombe Katılım Şubat 2022
845 Takip Edilen345 Takipçiler
Dr CARSON retweetledi
Sunday Victor
Sunday Victor@sundey_fx·
Ukianza kupata pesa nyingi; -Ajiri mfanyakazi wa ndani -Nunua kitanda kizuri -Nunua laptop yenye kasi -Nunua Wifi yenye kasi ya 5G -Nunua meza na kiti kizuri cha kufanyia kazi -Jiunge gym nzuri -Kula chakula bora Ukifanya hivi, kiwango chako cha pesa kitaongezeka mara 10 zaidi
Indonesia
8
37
270
6.3K
Dr CARSON retweetledi
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Imagine unaumwa, alafu wanaokushikilia wanakana kuwa hauumwi, wanachotaka tu wakuathiri kisaikolojia mwishowe wakikuachia ufe kwa msongo wa mawazo au hata magonjwa,Leo nimemkumbuka TAL , Naomba Ukipata muda muombee, Repost kwa heshima Maombi yetu yanaweza kufanya jambo 🙏
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Indonesia
13
38
180
4.2K
Travis Kitengo🍆👊🏿
Travis Kitengo🍆👊🏿@Iringasiombali·
Weekend hii ukipata muda angalia movie ya Kira Noir inaitwa MACHINE GUNNER hutojutia kabisa. Kuna mkono mwingi sana humu. Best movie so far. Naipa rate ya 11/10🔥🔥🔥
Filipino
4
6
23
574
Dr CARSON retweetledi
Zacky🌠...!!!
Zacky🌠...!!!@zackyblessed·
Ngono haitakuridhisha. Umaarufu hautakuridhisha. Madawa ya kulevya hayatakuridhisha. Pesa hazitakuridhisha. Pombe haitakuridhisha. Mafanikio hayatakuridhisha. Unaweza kuwa na kila kitu duniani, lakini bado ukahisi upweke na utupu. Ni Mungu pekee anayeweza kuiridhisha nafsi🤝
Indonesia
5
16
67
1.2K
Dr CARSON retweetledi
888
888@444holywitch·
Kama unataka kutengeneza version yako mpya inabidi ukubaliane na maumivu ya kuiua version ya sasa uliyonayo. Nje na hapo utakuwa unajidanganya. Wengi wanatamani kukutana na watu ama vitu sahihi maishani mwao lakini hawako tayari kuachilia watu/vitu vinavyoendelea kuwaumiza.
Indonesia
3
30
130
2.1K
Dr CARSON retweetledi
Jalilu Zaid
Jalilu Zaid@jaliluzaid·
Popote palipo na riziki pana vita kubwa sana kimwili na kiroho. Muombe sana Mwenyezi Mungu kukuepusha na mishale ya maadui na asikufanye kuwa adui wa watu wengine.
Indonesia
6
49
255
3.9K
Dr CARSON retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mwanaume ishu ya kupenda ni process (hatua) Kwa wanawake wa sasa. Hakikisha unapata sex kwanza then ndo unapenda. Usiwekeze hisia, muda, pesa kabla hujapata sex kwa mwanamke. Yani hakupi iyo sperm dipository crack na kuna mtu ameipiga hiyo mpaka hana hamu nayo tena wewe unawekewa ugumu mixer una provide smh! Usikubali. NB. Maoni haya ni subjective chakata unavyojua ila huo ndio uhalisia.
Indonesia
10
23
221
8.7K
Dr CARSON retweetledi
888
888@444holywitch·
KUNA MAMBO MANNE MUHIMU SANA UNAPASWA KUACHA KUYAFANYA KUANZIA SASA KAMA KWELI UNATAKA KUONA MABADILIKO KWENYE MAISHA YAKO. Kwanza, acha kujilaumu kwa yaliyopita. Ukweli ni kwamba huwezi kurudi nyuma na kubadilisha kilichokwisha tokea. A THREAD 🧵
Filipino
16
89
333
18.9K
Dr CARSON retweetledi
Adviser💪
Adviser💪@paulambross1·
@444holywitch Hapa mganga ndio kilinge kinakuwa kimekubali 🙌🙌
Filipino
0
1
4
757
Dr CARSON retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Share zaidi ujumbe huu, usikose Tarehe 29.
MO 29 TV tweet media
हिन्दी
11
148
489
7.3K
Dr CARSON retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
UKIFANYA HAYA MAMBO 12 UTAKUWA BINADAMU USIYEKAMATIKA UZI🧵
MWANAHISABATI tweet media
Indonesia
9
23
64
3K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Busara zenu kidogo,mwanamke akiolewa kwa ndoa akifariki anayetakiwa kuamua azikwe wapi ni mume wake au wazazi wake...?
Indonesia
51
39
288
22K
SWAHILI SPARK
SWAHILI SPARK@swahilispark·
@kasesco_tz Maamuzi yatatolewa na wazazi wake, mke ni mali ya Mume pindi akiwa hai, akifariki mume hatakuwa na mamlaka ya kuamua azikwe wapi unless wazizi wa mke wasiwepo (wamefariki) ndio mume atakuwa na mamlaka na maamuzi kamili ya wapi marehemu mke wake azikwe. (Hii ni opinion tu)
Indonesia
11
0
13
2.5K
kide boi
kide boi@kidee_bwax·
@AmanWillz Zile game ulizo weka 2nd half zote zilitoa
Română
1
0
2
154
AmanWillz
AmanWillz@AmanWillz·
Hivi tulibeti NBA au tulibet nini wazee!!!
AmanWillz tweet media
Eesti
21
7
100
3K
Dr CARSON retweetledi
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
Mnapotuombea tufeli kwenye maisha, Basi msiache kuwaombea wale wanao tutegemea Wapate watu wengine wa kuwasaidia.
Filipino
1
8
39
493
Dr CARSON retweetledi
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
Bro To Bro.. Usimguse mke wa mtu, Usitongoze kazini, Usigeuke mara mbili kumtazama mke wa ndugu yako, Usikimbizane na wanawake walio kuzidi umri, Usilale na usiemuamini. Usiku mmoja unaweza kuharibu kila kitu chako.
2
11
50
1.6K
Dr CARSON retweetledi
Mondinho Diallo
Mondinho Diallo@Mondinhodiallo·
Nani mwingine ana ujasiri wa kusema kwamba licha ya changamoto zote ninazopitia Mungu amekuwa mwema kwangu kila wakati🙏🏻
Indonesia
11
43
172
1.6K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kutoka inbox Nimetoka safari ya nje ya nchi Nilikaa miezi 6 lakini nilipolejea nyumbani nimekuta mama watoto wangu anasumbuliwa na ugonjwa huu..Nishaulini nimwambie atumie dawa gani amegoma kwenda hospital anasema anaona aibu nimempiga picha Kwa kumvizia na sio Kwa hiari yake 🙏
Real Nigger tweet media
Filipino
82
6
93
25.2K
Dr CARSON retweetledi
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Mtu anakataa 2.5M ya kampuni anachukua 1M ya serikali et anakwambia anaangalia job security. Sasa wewe job security inakusudia nini mtafutaji ?
Indonesia
56
67
850
40.8K
Dr CARSON retweetledi
papaa
papaa@Allypapala·
@salandis89 Toka lini Mwanaume akashindwa na Mwanamke ?
Filipino
0
1
3
956