Man Mupaya
5K posts



Jesca Magufuli: Hatuwezi kutegemea mikopo tu kuwawezesha vijana, 'ukweli mchungu'.

Nikiuangalia Uwanja wa Amaan Zanzibar, Najiuliza kwa nini huku Bara tulishindwa kujenga Viwanja Kama Hivi At least Kwenye Majiji yetu Mengine yenye timu Ligi Kuu apart from Dar n Chuga; i.e Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tanga !? Tungekuwa Pazuri Sana !!

1. Famille kikuta - Defao 2. Azaliki awa - Ghato 3. Feux de l’amour - JB Mpiana 4. Cavalier solitaire - JB & Papa Wemba 5. 100kg - Ferree 6. Nakei Nairobi - Mbilia Bel 7. Amigo - Les Wanyika 8. Nadia - Mbilia Bel 9. Vunja Mifupa - Mapangala 10. Dunia kigegeu- Fm academia














@salim_alkhasas Nakubaliana na wewe. Kwa wenzetu wa India, China na wengine, hizi capacity building huanza mapema kabisa….zinajumuishwa moja kwa moja katika ngazi za chini za elimu. Kuna umri ukifika, ni kutafuta tu…si rahisi kumrudisha mtu darasani.















