#MaraHood

5K posts

#MaraHood banner
#MaraHood

#MaraHood

@MaraHo0d

Agriculturist||Food & Biochemistry Guru||Siyo kila Mzee ana Busara, kumbuka wapumbavu pia huzeeka.|

Miami, FL Katılım Mayıs 2015
362 Takip Edilen543 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
Maisha yanapochukua vingi kutoka kwako, unasalia na kimya tu. Si kwa sababu una amani, Bali ni kwa sababu umechoka. Hakuna mshangao, hakuna hasira, hakuna mwitikio, Hakuna kitu kinachokushangaza tena. Bado, kimya chako kinapaza sauti zaidi kuliko maneno ambayo ungeyatamka.
Filipino
0
0
4
200
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@VungaEl74 Huu wa ndani unahitaji sacrifice kubwa kuupata kuliko ule wa zamani, bora mzungu alikua na ka utu, aibu na kiasi...huu wa sada ni kazi na mtutu unasonga.
Filipino
0
0
0
3
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Nchi nyingi za Afrika zinapambana kupata uhuru wa pili ule wankwanza ulikuwa wa wakoloni wa nje huu wa sasa ni wakoloni wa ndani mapandiliko ya siasa za Afrika yamekuwa magumu
Filipino
4
17
30
483
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@VungaEl74 Uhakika mkuu, nilinunua Hoda CD ya Japan tanguy 2018 mpaka Leo sijawahi kuifungua injini🤣😁 The same na home mzee na bi mkubwa walikua wananunua redio za Sony mpaka wanauza hazijawahi kufunguliwa kutengenezwa.
Indonesia
2
0
1
27
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Kama unataka bidhaa inayodumu miaka 10-20+ bila matatizo na uko tayari kulipa chagua Japan. Kama unataka bei nafuu, teknolojia mpya haraka kutumika kwa hudumu kwa muda mdogo na chaguo nyingi kwa China anabidhaa za kutosha sasa
Filipino
8
11
33
1.6K
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@njiwapori_ Mifumo ya dunia haikuja kumnufaisha mtu ambae hana kila kitu, na haikuundwa ili mtu apate kitu bure, ndo maana hata sisi watu wa kilimo tuliletewa mbolea chumvi na mbegu chotara za kupanda na kuvuna mara moja...ni rahisi kumcontrol mtu ambae yuko kwenye scarcity...siyo abundance.
Indonesia
0
0
0
21
Njiwapori 10k
Njiwapori 10k@njiwapori_·
Nasikia kuna mtu aliwahi kutengeneza gari la kutumia maji wakazuia, sasa walizuia kwanini na wakati robotatu ya dunia ni maji.
Indonesia
4
7
19
991
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@Mwinshehe07 Au la Sativa la kuwatukania kina Girishoni na Daudi😁🤣🤣🤣 kasheshe
Filipino
0
0
0
4
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Nina Account ya followers 4,000/= mwenye 50k aje nimpe details za account chap
HT
29
55
198
3.8K
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@mananajr_ Nilikutana nayo Kahama mitaa ya Nyiogo nilikimbia sana
Filipino
0
0
0
56
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Ndio maana huwa siwezi lipia Guest au Lodge bila kujua ndani kukoje, Kuna jamaa kaenda kulala Guest Tanga kakuta ndani kitanda kimejengewa, yani unalipa hela yako alafu unalala unaota ota kama umekufa l😡💔
Indonesia
2
6
19
861
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@rayasel94 Jamaa anajikuta haelewi kaitiwa nini au ndo mgeni rasmi wa mahafali wanataka wampe kazi ya kukarabati madawati yaliyoharibika?🤣🤣
Indonesia
0
0
3
441
WEST HAM NO. 19
WEST HAM NO. 19@rayasel94·
Sasa haya mambo Rio Ferdinand yanamuhusu na anahusikaje? Hii nchi ya kisenge sana 😂😂😂
WEST HAM NO. 19 tweet media
Indonesia
74
35
307
12.3K
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Mwanafunzi wangu wa 6 leo anasukuma ndinga Mazda CX5 mimi Nipo bize nataka katiba mpya,yaniiini 😆. Asubuhi nampigia hivi ili nimshobokee 🫵😂,ananiambia “Sir,subiri kidogo nakupigia,naingia sheli hapa na nataka nilipe kwa simu” Mimi hoi na libaiskeli langu la AVON🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Filipino
5
4
51
2.1K
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@Mwinshehe07 Miaka 13 bila kombe lolote mchezo?...viungo lazima viume.
Lietuvių
2
0
0
14
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Saivi nalala sana usingizi Mzito usioisha yaani kama mtu anaefanyakazi ngumu na kuchoka kinoma akilala nikama amekufa sio mchana sio usiku, shida itakuwa Nini?
Indonesia
31
21
68
2.3K
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@kishoka_ Mungu asaidie sana isitokee kabla ya wana wanaotegemewa hawajaweka mambo sawa
Indonesia
0
0
0
23
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Ushawahi hudhuria msiba ambao mtu anayezikwa ndo alikuwa tegemezi la familia? Unaweza kujikuta unatoa machozi. Mama, baba, dada, mke, watoto matumaini yote yamezimwa kwa wakati mmoja. Na wakati huo aliefariki ndo alikuwa anajaribu kuitoa familia kwenye umaskini. Sad moments 💔
Indonesia
3
6
23
808
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Kipindi nimeoa, kuna siku niliacha elfu 12 nyumbani halafu nikaingia town kusaka michongo. Niliporudi usiku nikakuta wife amepika ugali na mrenda na hela imeisha. Ile siku ndo niliamini ndoa siyo ya kila mtu. #KataaNdoa
Filipino
32
37
258
12.8K
Williard
Williard@prolific_88·
Majamaa yako down kinyama yanashangilia kikawaida sana kmmk ngoja siku United abebe kombe.
Indonesia
26
17
196
5.3K
japhet mmbaga
japhet mmbaga@kighera50·
@VungaEl74 @AlexSamoja Mimi nikiwa mdogo tukitumia vitu vingi vya mchina, Thermos inakaa mpaka ukiigusa inamong'onyoka ile plastiki na bado inadunda, kupooza sahau, vikombe vya dongo vinamong'onyoka juu sio kupasuka, njoo sasa kwenye Baiskeli Phoenix, flying pegion, na Shang- sheng, wasukuma wanazijua
Indonesia
1
0
2
64
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Usidanganywe na watu wanaosema “Zaa mapema” Malezi ya watoto ni gharama sana Tafuta pesa kwanza na ujipange kwajili ya mtoto wako ambaye bado hujamzaa, mwandalie bima ya afya, elimu bora, mahali pa kuishi bila usumbufu wa wenye nyumba na uhakika wa mlo kamili daily Usiwe mjinga
Indonesia
22
42
126
2.5K
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
@MaraHo0d Kama mshahara haukutoshi ukiwa pekeako unadhani ukiwa majukumu ndo utatosha mahitaji? Ni vile tu Africa tume normalize kuishi kienyeji ila tulitakuwa kudhibitiwa hata uzazi, Mtu Hana kazi maalalum yupo kwenye nyumba ya kupanga anazaa watoto sita, kama sio ujinga ni Nini?🚮
Indonesia
1
1
2
45
#MaraHood
#MaraHood@MaraHo0d·
@kishoka_ Hakuna mtu kasema mtoto anakuja na baraka mi napinga tu kwamba kusubiri mpaka ujenge bila usumbufu wa mwenye nyumba, na mzunguko wa pesa na mishahara ndo hii hii.
Indonesia
1
0
2
21
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
@MaraHo0d Maisha ya mtu sio ya kubetia ni Bora kuhakikisha ushaandaa mazungira mazuri ndipo ulete watoto duniani kuliko kubeti kwamba " mtoto atakuja na baraka zake" Ujinga🚮
Indonesia
1
0
1
95