MariaSarungiFans Shangazi

56.4K posts

MariaSarungiFans Shangazi banner
MariaSarungiFans Shangazi

MariaSarungiFans Shangazi

@MariaSarungiFan

Dear God🙏🏻

scotland,Sweden Katılım Eylül 2019
414 Takip Edilen11.4K Takipçiler
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kauli hii ya KIPUMBAVU inashusha hadhi ya Ndoa na Mwanamke. Mapenzi si “show” ya kununuliwa kwa iPhone, ni wajibu wa kiungu unaojengwa kwa upendo na heshima. Ukianza kujenga ndoa kwa zawadi, ujue umeiweka rehani. Leo iPhone, kesho akipewa G Wagon nje anakuuza bila hata huruma. Ndoa si biashara, ni agano. Ukilifanya soko, usishangae bei ikipanda na wewe ukauzwa. Achaneni na hizi INJILI za Tik Tok.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
325
285
2K
105.3K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kuweni makini na balozi za Tanzania na hizi delegation! Mkikaa vibaya wanaharakati na hata diaspora mlioamini kuna uhuru wa kujieleza kwenye nchi mnayokaa mnaweza kuumizwa! Ni washenzi hawa! The 🇹🇿 diplomatic missions are not safe for critics of the ruthless regime and these "delegations" are not to be trusted. I would advise civilized countries to be very cautious issuing visa to groups who are reportedly going as "delegation" under Suluhu regime organized trips. Y'all don't want a Khasoggi like situation in your country! Y'all are officially warned! #SamiaMustGo
Indonesia
14
131
629
34.2K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Chadema imemwandikia barua Katibu Mkuu wa @UN , bwana @antonioguterres , ikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana nae, Parfait Onanga-Anyanga, alitumwa rasmi na ofisi yake kufuatilia matukio ya kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025 nchini Tanzania, kufuatia taarifa mbalimbali zinazoeleza kuwa hakutumwa na ofisi ya Katibu Mkuu.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
15
182
729
27.8K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kweli tumeshindwa kuwajua hawa wauaji? Majina na location yao muhimu tuipate Kwa sasa mtu asilete general info kuwa “niliwahi kumwona” - tunataka majina mawili yao - full stop! Tuma DM kwa sasa kuna kazi tunakamilisha!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
56
212
1.2K
155.6K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
The Influence Kule 🇺🇬🇰🇪🇹🇿🇧🇫
Sometimes the eyes say what words cannot. You look at @HEBobiwine today and you see the weight of a nation on one man’s shoulders. The struggle, the betrayals, the pain of seeing your people beaten, imprisoned, and silenced yet still standing. You see a man who could have chosen comfort, but instead chose the difficult road of fighting for freedom. The lines on his face, the growing beard, the tired eyes — they are not just signs of time… they are marks of sacrifice. But history has always shown that those who carry the pain of their people also carry the hope of their future. And one day, that hope will prevail. We shall be free ✊🏿 Just time!
The Influence Kule 🇺🇬🇰🇪🇹🇿🇧🇫 tweet media
English
43
112
723
16.5K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huyu binti anaitwa Christina John Richard alikuwa Dereva wa Lori. Aliuwawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya Idd Amin Mama Oktoba 29, 2025. Aliacha mtoto mdogo huyu mnae muona hapa ameshikilia msalaba. Na huyu Mama aliyevaa nguo ya maua maua ndo Mama ake Mzazi wa Christina. Idd Amin Mama anajua ni maumivu kiasi gani ambayo anapitia huyu Mama? Anajua ni kwa kiasi gani huyu mtoto anateseka kwa kumkosa Mama ake katika umri mdogo kama huu..?
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Filipino
48
294
1.5K
83.4K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
BOBI WINE
BOBI WINE@HEBobiwine·
📌 Luganda Version of my message!
English
583
2K
10.4K
122.9K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Kuna habari kubwa ninayo zaidi ya mwezi sasa, nawashwa kuiachia ila nawaza kama nikiiachia sasa hivi itakuwa na impact kubwa kama nikiiachia at the right moment. Kuna kitu nimejifunza kwenye hizi harakati, kupata information is one thing na muda wa kuiachia ili iwe na impact is another thing. Mfano kuna someinformation ambazo niliachia kipindi cha kampeni ila nilikuwa nazo miezi kabla na kuna moja nilikuwa nayo karibia mwaka mzima kabla ya kampeni ILA nilijikaza na kuziweka moyoni nikisubiria the right moment. Nilijua nikiachia muda mrefu kabla ya kampeni wananchi watasahau na hasira zitapungua so I sat on the information till when I thought it would have maximum impact. Sasa ndio hii habari niliyonayo sasa hivi. Nawaza how to pick the right moment kulipua hilo bomu, especially kwa sasa vile siko instagram naona kama impact itakuwa ndogo although habari niliyonayo sasa hivi ya tetemeko la ardhi na ina ushahidi wa hali ya juu, wauwaji watapita kimya kimya, hakuna mtu atapinga.
Filipino
100
263
2.2K
116.3K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
#BreakingNews Leo tarehe 06, Machi 2026 Mahakama ya Wilaya ya Magu imetoa hukumu katika kesi ya jinai namba 2037/2026 inayowakabili Peter Jackson Masulya na wenzake sita, kwa kuwaachia huru washitakiwa wote baada ya Mahakama kubaini kuwa hawana hatia. Washitakiwa hao walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuchoma moto majengo ya Serikali kufuatia vurugu zilizotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Awali, walikuwa wameshtakiwa kwa kosa la uhaini, ambapo upande wa Jamhuri ulieleza kuwa upelelezi wa kesi hiyo ulikuwa bado unaendelea. Baadaye katika mwaka huu, Jamhuri iliwasilisha hati nyingine ya mashitaka ikidai kuwa washitakiwa hao walihusika pia na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa, Mahakama ya Mwanzo Kisesa, pamoja na Ofisi ya Katibu Tarafa. Hata hivyo, katika uamuzi wake uliotolewa leo, Mahakama imeeleza kuwa upande wa Jamhuri umeshindwa kuthibitisha mashitaka dhidi ya washitakiwa hao pasipo kuacha shaka yoyote. Kutokana na hali hiyo, Mahakama ikaamua kuwaachia huru washitakiwa wote.
Filipino
12
101
387
13.2K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🚨‼️ WALIOTAKA KUMTEKA MSHABAHA MAHAKAMANI‼️ Pamoja na changamoto zao, majirani 🇰🇪 wako mbele sana! Watekaji walikuja kibabe sasa ni rasmi wamegeuka kuwa watuhumiwa mahakamani! Acha Mungu aitwe Mungu 💪🏽 Jamani huyu Aziz Hama mtanzania anaonekana design mzenji kabisa - leteni taarifa zake kwanza - isijekuwa huwa anajinasibu kama mtu wa maana kumbe gizani ni mtekaji! Huyu lazima ni genge la Abdul Thank you 🇰🇪 👊🏽 Nasema #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
34
116
579
31.5K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Thadei Mhabuka
Thadei Mhabuka@mhabukat·
Tunaposema nchi inahitaji mabadriko ya kiutawala kila mahala ni pamoja mambo kama haya mtu anakuwa askari police halafu tena anakuwa diwani muwakilishi wa wananchi hapo maamzi yatafanyika kiupendeleo watu wameenda kuripot kituoni halafu wanapotea mwisho wa sku polic cccm anao.
Thadei Mhabuka tweet media
Filipino
0
16
52
2.2K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya. Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU. Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania). Watekaji hawani sehemu ya GENGE la Samia Suluhu ambalo limetumwa kila mji wanaodhani kuna Watanzania wakosoaji. Kazi yao ni KUTEKA na KUUWA wakosoaji. May they ROT in jail for their heinous acts!!
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
17
109
540
27.9K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Sengo
Sengo@kato_lubu·
Pichani ni ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Mussa Salumu Mbungu, huyu ndo aliwakamata Vijana wanne wa BAVICHA wakiongozwa na Ibrahim Myovella ambao walienda kuripoti kituo cha Polisi Central Iringa mjini. 0754212627. TFF tutakufikia popote ulipo wewe na genge lako.
Sengo tweet media
Indonesia
5
64
176
6K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Nafikiri TITOK imekuja kupunguza sana MLUNDIKANO wa watu wa MIKOANI kuja Dar kusaka FAME. Nikiwa nafanya Mazoezi huwaga naweka tiktok videos kama sehemu ya kunisaidia kusukuma muda nisichoke HARAKA. Nimekuja kugundua watu wa mikoani hasa hii mikoa ya kusini “MBEYA, SONGWE, NJOMBE, IRINGA” hawa jamaa wameamua kuenda town wakiwa huko huko. Kuna HADI MEDIA zao kabisa zinahoji mastar wao wa mikoa yao. Na ukiangalia namba zao zinaenda mbali inamaanisha watu wanafuatilia. Nimefurahi sana na kunyooshea mikono juu MAHOME BOI kukataa unyonge na kuamua kuleta huo unyama wa majuu mahome. SAFI WANANGU TUPO NJE YA MUDA.
Indonesia
15
66
1.1K
56.1K
MariaSarungiFans Shangazi retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
HUYU NDO OFISA WA POLISI AMBAE ANATEKA NA KUPOTEZA WAPINZANI MKOA WA IRINGA! #Pichani ni ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Mussa Salumu Mbungu, huyu ndo aliwakamata Vijana wanne wa BAVICHA wakiongozwa na Ibrahim Myovella ambao walienda kuripoti kituo cha Polisi Central Iringa mjini. Baada ya kuwakamata na kukaa nao Central siku moja, kwa maelekezo ya RPC wa Mkoa wa Iringa aliwahamishia kituo cha Polisi Ifunda then akawatoa Ifunda na kuwapeleka kwenye Kambi ya CCM Ihemi- Iringa, ambako wanateswa usiku na mchana na mtu ambae anaongoza kikosi cha mateso ni huyu Mussa Mbungu na majambazi wenzake. Nimejulishwa kwamba huyu Mussa Mbungu ukiachilia mbali kazi yake ya uPolisi pia ni Diwani wa CCM kata ya Ruaha. Musa Mbungu ndo anaendesha genge la kuteka wapinzani Mkoa wa Iringa na kama wakikosa wa kumteka huwa wanavamia na kuwaibia pesa Wafanyabiashara wa Mkoa wa Iringa na wakikuibia hata ukienda kuwashitaki huwa wanachukuliwi hatua zozote. Hizi ni namba zake simu tumpigie tumwambie amuachia Ibrahim Myovella na wenzake 0754212627. Mwisho kama kuna mtu anamjua mke wa huyu jamaa, Dada/Kaka zake na wazazi wake naomba anisaidie picha na majina yao ikiwezekana na namba zao za simu.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Filipino
43
189
600
38.6K