Dopamine

393 posts

Dopamine banner
Dopamine

Dopamine

@MaybachVert

Arcanus Invisibilis 📡 Media & Systems Analysis. Decoding the unseen patterns in tech and society. 👁️ Tunazindua fikra.

Digital Space Katılım Nisan 2026
70 Takip Edilen71 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dopamine
Dopamine@MaybachVert·
Nilichogundua maisha ni: 1. Probability - kupata au kukosa 2. Credit & Debit - Mapato na matumuzi 3. Afya - Akili, mwili, mazingira 4. Kuheshimu na kupendana na watu - Ego, misifa, bully ni kukata channel ya baraka zako. Tuishi 🫡
Indonesia
1
1
3
142
Sarafina
Sarafina@Finah_Business·
Tiktok kuna masaibu jamani😹🙌
Sarafina tweet media
Indonesia
25
14
112
19.4K
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Msimlaumu Rio ferdinand wazee ata kama ni wewe chaka to chaka show unaweza ukapost!!?
Eesti
15
20
47
785
Dopamine
Dopamine@MaybachVert·
HUYU LEO KAJICHANGANYA KWA NIGGA WA MBAGALIAN 😁.
Dopamine tweet mediaDopamine tweet mediaDopamine tweet mediaDopamine tweet media
Indonesia
12
5
14
884
Dopamine
Dopamine@MaybachVert·
@Mwinshehe07 Yah kuna bro angu anafanya hii but yeye anauza baloo so rejareja
Indonesia
1
0
0
187
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Una 2M Benki Umeiacha Pesa Hiyo Ilale wakati mitumba inaweza Kukuzalishia Pesa Kila Siku? Watu wengi wakishakuwa na akiba kidogo huishia kuiacha benki bila mpango wowote wa kuizalisha. Lakini ukiwa na kazi yako ya kawaida au chanzo kingine cha kipato, unaweza kutumia sehemu ya pesa hiyo kuanzisha biashara inayozungusha hela haraka huku ukiendelea na shughuli zako kama kawaida Moja ya biashara zenye faida kubwa na risk ndogo East Africa ni biashara ya mitumba (second hand clothes). Mahitaji yake ni makubwa kila siku kwa sababu watu wengi wanahitaji nguo nzuri kwa bei nafuu na mitumba sio biashara ya kushindwa maisha kama watu wanavyodhani ni biashara inayoweza kukuletea cashflow nzuri sana ukiifanya kwa akili Jinsi Ya Kuanza Kwa Mtaji Wa M2 >Tafuta sehemu yenye watu wengi kama karibu na soko, vyuo au stand. >Nunua mizigo 3–5 ya nguo zinazouzwa haraka kama jeans, T-shirts, dresses, jackets na nguo za watoto >Tengeneza duka au meza yenye mpangilio mzuri na usafi >Ongeza vitu vidogo kama viatu, mikoba au caps kuongeza faida Tumia WhatsApp Status, Instagram au TikTok kuonyesha mzigo mpya (Social media) Makadirio Ya Gharama ↪️Mizigo 3 ya mitumba 1M – 1.3M ↪️Kodi ya sehemu 300K – 500K ↪️Vifaa vya duka 150K – 250K Faida Inayowezekana Profit yake ni kubwa kwa sababu unanunua kwa bei ya chini na kuuza kwa bei nzuri kadri unavyoweka stock nzuri na kuwahudumia vizuri wateja, ndivyo biashara inavyozidi kukua NB: Hata ukiwa na 500k unaweza kuanza kidogo kwa meza au kibanda kisha ukapanua taratibu. Pesa ikilala benki haikuzalishii chochote, lakini pesa ikiingia kwenye biashara inayozunguka kila siku inaanza kukutengenezea uhuru wa kifedha polepole
Indonesia
15
50
113
6.6K
Kondoo wa Sufi
Kondoo wa Sufi@Kondoo_wa_Sufi·
Jana nimelala na mke wa mtu jioni jioni ivi, nikatoka hapo mida ya saa2 ivi akaje binamu angu ghetto tukalala ote. Nimeukja kuamka asubuhi niko fresh ila toka binamu aondoke kama saa 4 ivi tako la kushoto likaanza kuwasha kinoma Hii ni nini wakuu au tayari nishanasa kwa wahenga
Indonesia
6
15
20
575
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Jana usiku tarehe 20 Mei 2026, Msaidi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa David Jumbe alitekwa na baadae alifanikiwa kuwatoroka watekaji akiwa na pingu mkononi baada ya Bodaboda kufukuzia gari la watekaji. Ameumizwa sana.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
46
187
466
9.3K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
X drivers tunatokaje hapa..,Ni Mbele Au Reverse .?🤷🏿‍♂️
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
45
20
121
8.9K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️ALERT ‼️ Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka. Ikumbukwe asubuhi hii chama kilikuwa kinatarajia kufanya press.
Indonesia
11
88
478
10.3K
TARIQ 28
TARIQ 28@Seyran9_·
Dah nimekutana na pisi ina matako road ila jau kisenge Mimi : mambo Mrembo : Poa Mimi : mzima Mrembo : kama unavyoona. Mimi : unaitwa nani? Mrembo : hivi we mzima kweli umesimama unaniambia naitwa nani? Mimi : kuma la mama ako kwani kuulizwa jina kosa?
TARIQ 28 tweet media
Indonesia
8
1
41
6.3K
VYETI VITATU:
VYETI VITATU:@YupacYossouf·
Ukweli Ni Kwamba Sio Kweli Matatizo Uliyonayo Ni Mungu Ana Anakujaribu Bali Ni Ugumu Wa Maisha Ulioletwa Na Serikali.
Filipino
2
2
7
71
Dada Kucha💅🏽
Dada Kucha💅🏽@GraceNguo·
Wataalamu, ni sehemu gani nzuri naweza kukaa na makatatasi yangu nikaandika na kusoma kwa masaa 5 hivi. Penye Wifi speed na utulivu.
Indonesia
20
14
209
14.2K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kama unaamini eti vita ya Maji maji ambayo iliongozwa na Kinjikitile Ngwale watu walidanganywa kuhusu maji basi jipe muda utafakari vizuri, kama ilikuwa ni uongo iliwezekana vipi vita idumu kwa miaka 2? Mtu anaona mwenzake hapo anasema “maji” anapigwa chuma anakufa na yeye anaenda tu? Vita ilianzia Kilwa ikaenda kumalizikia Songea huko, ingekuwa kama ambavyo tumeambiwa vita ingeishia Kilwa hapo hapo na usingechukua hata miezi 6. Na kitu kingine wengi hawajui ni kwamba Kinjikitile aliuwawa mwaka ule ule vita imeanza 1905 so walipata viongozi mwingine wa vita hapo katikati, na wao walikuwa wana wadanganya watu hivyo hivyo “sema maji?” Kuna vitu hawajatuambia
Indonesia
24
24
226
13.7K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Hapa Makumbusho kwenye kijiwe cha Gahawa kuna mzee et anasema tunachofanya ni kumlazimisha kumuoa mwanamke wa mtu😂💔, watu wana maneno sana.
The champ👑 tweet media
Indonesia
21
35
104
4K