Paz 16

12K posts

Paz 16 banner
Paz 16

Paz 16

@MikePaz255

NEVER LOOK BACK 🪜 "Profit maker"

Paz city Katılım Ocak 2024
1.6K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo jijini Dodoma. Tumepoteza kiongozi shupavu, mahiri, mwenye uzoefu mkubwa, mzalendo na mtumishi wa umma aliyelitumikia Taifa letu kwa uadilifu, weledi na kujitolea. Mchango wake mkubwa katika ujenzi na maendeleo ya Taifa letu utaendelea kuenziwa na kukumbukwa siku zote. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
209
118
676
53.8K
Paz 16
Paz 16@MikePaz255·
@444holywitch Mikundu kama nyie sijui mlipataje smartphone
Indonesia
1
0
2
222
Paz 16
Paz 16@MikePaz255·
@bonifacejoseph_ @Makaveli_255 Kaka siku nyingine ukiwa unawaelekeza tumia na michoro maana hawana akili dini nzima. Wote wameishia madrasa.
Indonesia
3
0
1
98
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
@Makaveli_255 Mungu ni Nafsi, zipo 3 . Mungu baba, Mungu Mwana & Mungu Roho Mtakatifu. Nafsi Moja ilikuja kutukomboa Kutoka kwenye utumwa wa Dhambi
Indonesia
16
4
25
2.4K
Abdul
Abdul@Abdul69005875·
@Makaveli_255 Sio siku tatu tu Kaka dunia ilikaa miezi 9 wakati Mama maria akiwa na ujauzito wa mungu
Indonesia
12
2
18
2.1K
Paz 16
Paz 16@MikePaz255·
@Makaveli_255 Mikundu kama nyie sijui mlipataje smartphone. Yani unamaanisha Mungu hawez kujifanya mwanadamu na akaendelea kufanya mambo yake ya Kiungu na kibinadamu?
Indonesia
0
0
0
122
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Huu ni zaidi ya ushetani🥹
DevotaTweve tweet media
हिन्दी
77
37
319
23.8K
Shababi a true leader
Shababi a true leader@blazadadee1·
Kwa meseji nilizosoma jana ni wazi siku ya Eid nilitombewa. Dah 💔
Indonesia
54
51
512
31.7K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Mkataba bajaji ya umeme ni 25K per day kwa miaka2 732 × 25K = 18.3M Unachaji kwa 3K unawash bolt unafany kazi 150K per day Kwenye 150K Toa 35K bolt Toa 3K ya kuchaji Toa 25K hesabu ya bosi Toa 12K chakula + Emergency ndogo ndog Jumla ni 75K 150K - 75K = 75K 75K × 30 = 2.2M
Real Nigger tweet media
Indonesia
12
3
58
4.7K
mmasai1
mmasai1@GeemParsalaw·
@swahilitimes Hii ipo sahihi asilimia 100,funga julisha jamii
Filipino
7
0
1
2.9K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania (PDPC) imesema ni kosa kisheria kwa mtu au taasisi kutumia kamera za usalama (CCTV) pasipo kusajiliwa kisheria na tume hiyo. PDPC imefafanua kuwa watumiaji wanapaswa kuweka tangazo au taarifa kwamba eneo husika limefungwa kamera za CCTV ili watu wajue, na pia mmiliki kuepuka kushtakiwa kwa kuingilia faragha na kudhalilisha utu wa mtu.
Swahili Times tweet media
Indonesia
235
50
609
135K
Paz 16
Paz 16@MikePaz255·
@mentor209 @msakhara_senior Iyo misikiti walikuwa wanasali wakina nani? Maana uislamu umekuja miaka kadhaa baada ya yesu kurudi mbinguni
Indonesia
0
0
1
61
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
@msakhara_senior ni kweli ila sio kanisa nasema msikiti kwasababu misikiti na sinagogi na mahekalu ndio yaliyokuwepo
Filipino
3
0
3
1K
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Yesu hajawai kuwa mkristo ila waebrania walimwita masihi “mpakwa mafuta” . Yesu ni mhayudi na alizaliwa Palestine 🇵🇸 wakati huo ikijulikana kama judea alizaliwa katika mji wa betleemu Yesu aliishi katika Torah ya musa. Pia wakati wake hakuwai kusali kanisani wala hakukuwa na
Indonesia
129
51
386
46.2K
Paz 16
Paz 16@MikePaz255·
Silaha za kivita zinajulikana 15:30 ☠️ 6MHTEE
Paz 16 tweet media
3
1
11
394
Paz 16
Paz 16@MikePaz255·
@humbleQueen02 Wew ndo mwanamke wa ndoto zangu, lakin uwe mweusi tu.
Indonesia
1
0
0
88