Samwel

2.6K posts

Samwel banner
Samwel

Samwel

@MbaiSamwel

SDA member,,/ born to be a leader/ Yanga fans 💚

Arusha tz Katılım Kasım 2019
2.4K Takip Edilen2.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Samwel
Samwel@MbaiSamwel·
Side hustle+ Mchongo wa kuajiliwa Tunashauliwa tukiwa na michongoni especially kwenye employment tufanye namna kuwa na side hustle coz lolote linaweza tokea..@Ephra01
Samwel tweet media
Filipino
4
7
23
0
Samwel retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Msanii Matonya anatuhumiwa kubaka uko Kenya, Amemuingilia kwa nguvu mwanamke mmoja uko Kenya bila ridhaa yake na pia alimgusa mwanamke mwanamke huyo sehemu za siri bila ruhusa yake. Dhamana milioni 10 kwa pesa ya Tanzania na mdhamini awe raia wa Kenya. Mmmh
Indonesia
14
25
349
12.7K
Samwel retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Nakumbuka tukiwa kwenye early teens tukaanza kubeba nondo home. Tukaweka "facilities" zetu karibu na dirisha la jikoni,mara Bi mkubwa katuona. Alisema "Tafuteni sehemu nyingine ya kula mimi sitawaweza,kwanza mmeshanishinda"🤣 It was like joke lakini kweli tulikua tunakula bwana🙌🏼
Indonesia
27
25
434
26.5K
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Niambie una mtaji wa kiasi gani nikuambie , biashara gani ni sahihi kwako kufanya na ukatoboa ndani ya miezi 3 tu .
Indonesia
35
17
133
8K
Samwel
Samwel@MbaiSamwel·
@sundey_fx Acheni kutushauri vibaya na pressure ambazo hazina tija yaan unashauri kijana mwenzako awe na mtoto kabla haja oa ?? si ungemwambia atafute mke afunge ndoa
Suomi
1
0
2
366
Sunday Victor
Sunday Victor@sundey_fx·
Ukifika miaka 30, unatakiwa kua vitu vifuatavyo; -Passport, -Driving license, -Active bank account, -Smartphone au Laptop, -Ajira au biashara rasimi, -Mtoto hata kama uja oa, -Uwe unaingiza atleast 100k kila siku, Wewe una kitu gani kati ya hivi?
Indonesia
57
22
213
12.7K
Samwel retweetledi
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Kama Wewe Ni Form Four Ya Magufuli!! Waziri Wa Elimu Dkt Joyce Ndalichako Katibu Mkuu Wa Necta Msondee!! Na Ukafaulu Vizuri Heshima Yako👏 Elimu Ilkaza Kuanzia Madaraja, Mpaka Pepa!!
Indonesia
24
32
381
18.2K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Janga lingine litakalo kuja kusumbua ili taifa miaka 10 ijayo ni single mothers.
Indonesia
46
52
501
41.7K
Samwel retweetledi
Dr Reginald Mengi
Dr Reginald Mengi@regmengi·
Mara nyingi nimewahi kuuliza lakini sijaweza kupata jibu sahihi, “Ni nani anawashauri washauri wa viongozi wetu?”
Indonesia
362
1.4K
4.5K
0
Samwel retweetledi
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Huyu dada Clara @slay__storeetz walimpiga risasi ya mbavu akaishia kuvuja damu mpaka umauti ukamkuta wakati wasamaria wema wakimkimbiza hospital . Apumzike kwa Amani. Nchi imejaa wauaji wa raia wasiokuwa na hatia
Indonesia
83
241
1.3K
77K
Samwel retweetledi
Clara.🕊️
Clara.🕊️@slay__storeetz·
Au leo sio tarh 29..!!? Au saa 12 asubuhi bado..!? 🌚
Indonesia
240
305
1.1K
360.6K
Samwel
Samwel@MbaiSamwel·
Boss @jackielawrencem ukiwa kama mmiliki wa chombo cha habari, ambacho kinawasikilizaji wengi zaidi ya 200k kwa siku kweli mmeshindwa kuwapa habari kuhusu kilichotokea kwenye uchaguzi hususani matukio makubwa ya mauaji ?? sasa tutawezaje kuwaamini
Indonesia
0
0
2
139
Samwel retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Wewe Kijana ulieajiriwa; Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani. Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni… fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi, Hawawezi Rithi kazi yako. Kujifunza hakuishi…
Indonesia
165
549
2.2K
124.5K
Samwel
Samwel@MbaiSamwel·
Mkuu siku moja tujadili hii ngoma ya Amerudi- bell 9 yaan,kile kisa ilitakiwa kiwe na mwandelezo yaan jamaa anarudi kwa X wake alaf anampanga demu wake wa mda huo kwamba anaempenda Amerudi tena 🙌
Grayson Gideon@Gplanet5

SECTION C (Marks 45). 5.A) Kama wakati MITUNGI MIKASI -MaNgwea na wenzie inatoka ,Chai na Chapati ilikuwa bati (TSh.200).Kisia kilo ya Sukari na ngano iliuzwaje? B). Kama dereva alidai "Buku 4 tu" kwenda Masaki kwenye bonge la party.Kisia walipandia tax wapi? #Wetalkmusic

Indonesia
0
0
1
79
Samwel retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Ishara nyingine ya kwamba wewe bado masikini na unahitaji kupambana zaidi ili kujiweka sawa ni kuamka na kwenda kazini kwako bila kuoga ile asubuhi. Ni nadra sana kama unaishi poa, uingie mzigoni bila kupiga maji asubuhi.
Indonesia
25
23
475
12.2K