Mbeya Buses

7.2K posts

Mbeya Buses

Mbeya Buses

@Mbeya_Buses

Home of all Mbeya Buses and Upcountry Buses

Mbeya, Tanzania Katılım Mayıs 2022
50 Takip Edilen3.7K Takipçiler
Beast
Beast@emabilly2001·
Nimeona ubishani kuhusu mzee wa coding @anon_codex kutoka Dar to Moshi katoka Dar saa 7 usiku na kufika moshi' kilimanjaro saa 11 alfajiri...kwa kutumia Toyota crown 👑 mwenyewe anaiita ndege ardhini Je inawezekana kweli kutumia 4hrs to moshi eti?
Beast tweet mediaBeast tweet media
Indonesia
17
0
88
14.1K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Humu ndani nimeona mjadala watu wanasema unaweza kutoka Dar kwenda Moshi ni masaa 4 tu kwa gari. Dar to Moshi ni KM 550 plus Hamna hamna apo humo njiani utembee speed 120 plus Kwa barabara ya Moshi ile miundombinu yake huwezi kwenda speed hiyo muda wote.
Indonesia
44
26
438
24.3K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Barabara ya Morogoro kutoka Dar inawezekana ndio Barabara kubwa na namba moja katika Nchi hii… Hii ni Barabara inayobeba uchumi wa Nchi hii, Magari yote kutoka Dar kwenda Mikoa ya Kaskazini, Magari yote yanayotoka Dar kwenda Mikoa ya Nyanda za juu kusini na Nje ya Nchi Zambia, Congo na kusini zaidi.. Magari yanayotoka Dar kwenda Mikoa ya kati, Dodoma, Singida Magari yanayokwenda Kanda ya ziwa na nje ya Nchi Rwanda, Burundi na Uganda.. Magari yanayokwenda Magharibi Kigoma, Tabora na hata Katavi .. Miaka 65 ni vibarabara viwili tena vimejaa mashimo tupu.. ikitokea breakdown magari yanasimama masaa manne, matatu kila siku. Sijawahi kupita hata nisikute mkwamo, watu wanateseka, uchumi unaharika na hakuna suluhu… pesa zinaibiwa na nyingine zinachezewa kuhujumu Chadema na kumnyanyasa kiongozi wetu Lissu badala ya kuhudumia wananchi.. Safari ya Morogoro - Dar km 180 inapaswa kuwa saa moja na dakika 20 tu… lakini mtu anasafiri masaa matano mpaka sita!!! Utajenga uchumi gani? Nchi gani makini itapitisha mzigo kwenye bandari ambayo hakuna hata miundombinu ya kusafirisha mizigo yao kwa mda.. Shame on you ccm.
Indonesia
435
247
1.2K
42K
Mbeya Buses retweetledi
Southern Highland Buses
Southern Highland Buses@SouthernBuses·
SHZ - Kanda ya Ziwa 📍Uyole Out 684 EMH Ijuka 1338 424 EPZ Johanvia 1339 325 END Chakaby 1340 tuwahi Kanda ya ziwa na ndege
Southern Highland Buses tweet media
Indonesia
1
1
22
501
Mbeya Buses retweetledi
TANZANIA BUSES NATION
TANZANIA BUSES NATION@BusesNation·
Mbeppo Tena Godfirst Tena Marcopolo G7 Assembled by AVA KENYA
TANZANIA BUSES NATION tweet mediaTANZANIA BUSES NATION tweet media
Eesti
9
7
96
3.7K
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Ngoja Rich msafi aamke😅
Djkid_b_____ tweet media
Indonesia
11
8
44
3.1K
TANZANIA BUSES NATION
TANZANIA BUSES NATION@BusesNation·
Intercape South Africa Marcopolo G8 Paradiso Double Decker Ya Kwanza Africa Mende 8x 2 Volvo 510HP EURO 6 MIRROR cam Bei yake Moja $425,000 bila Makato Yenu ya dp World
TANZANIA BUSES NATION tweet mediaTANZANIA BUSES NATION tweet mediaTANZANIA BUSES NATION tweet media
Español
5
11
75
4.6K