MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus
#TANZANIA: NAIBU KATIBU WA KANISA LA ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA BAADA YA WAUMINI KUPIGWA MABOMU
Naibu Katibu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Maximillian Machumu Kadutu maarufu Askofu Mwanamapinduzi hii leo Juni 29, 2025 amefunguka mazito sakata la Waumini wa Kanisa hilo kupigwa vibaya ana wengine kukamatwa na Jeshi la Polisi, adai walienda kusali Kanisa lingine la KKM lililopo jijini Dar es Salaam, "tulisali kanisa la KKM, watu walikuwa wengi, nilikuwa nawatuliza, Polisi wakataka kunikama, Wakristo wakazuia"
Zaidi: youtu.be/NNtXvWUuPSg