Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com

225 posts

Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com banner
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com

Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com

@MethodM3165

Politician

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2023
90 Takip Edilen3 Takipçiler
Gungu Ranger
Gungu Ranger@mturutumbi03·
@mangekimambi Dear Mange huku ni X sio Kule Instagram kwa mazezeta ambao hata ukijamba wanasupport Jamii ya watu wa X ni jamii ya watu wenye akili sio mazezeta
Indonesia
4
0
1
1.5K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Watanzania soon mtapata habari njema ambazo kidogo zitatufanya tuone dunia inajali mauaji ya kikatili tuliyoyapitia. Bookmark this tweet.
Indonesia
178
706
5.2K
162.7K
The best
The best@MohamedNze68428·
@mangekimambi Mange kimambi wewe ni mbwa ambaye huitaki mema tz
Indonesia
29
0
11
9.1K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@millardayo Je kulikua na tangazo la Tanesco juu ya kukata uememe? Nakama.halikwepo ilikuaje umemenukatike na Padre avamiwe! Do you see the connection?! Baada ya hapo Tanesco walitoa pole kwa wateja wao kwa kukata uememe kwa dharura? Pia uchunguzi w hao walio mvamia Father Kitima umefika wp?
Indonesia
0
0
1
224
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema Mkoa wa Dar es salaam chini wanalaani vitendo vya utekaji na wamejipanga kuvikomesha akisema hiyo ni moja ya sababu ambayo inawachukiza Wananchi. Akiongea na Wahariri leo December 05,2025, Chalamila amesema “Pamoja na malalamiko mengine ambayo yapo ambayo yanadaiwa kuongeza chuki, moja ya jambo linalodaiwa ni utekaji, mambo yanayosemekana kuleta chuki katika Taifa moja ni utekaji, kukosekana kwa ajira kwa Vijana, Wananchi kutosikilizwa, Viongozi kuishi maisha ya starehe, matumizi mabovu ya rasilimali za Umma, matumizi ya nguvu kupita kiasi, haya ni baadhi ya mambo ambayo Wananchi wetu wanasema wanayachukia” “Ni kweli kabisa sisi katika Mkoa wetu wa Dar es salaam, tumejipanga na wenzetu hata sisi tunalaani sana vitendo vya utekaji” “Pale Kiluvya kuna Mabwana walikuwa wanamchukua Bonge (Tarimo) kumuijgiza kwenye gari, ukilichunguza ni jambo la kimapenzi, tulipotangaza wakakimbia tukawakamata, kinachosema mbona hamzungumzi kwa sauti kuhusu utekaji” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
42
4
104
34.2K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@KenyanSays Chalamila tunategemea utatusaidia kuhusu uchunguzi wa hao wasiojulikana je wamejuliakana ,,Siyo Father kitima mumwache njia panda na mkifikiri wa Tanzania tutasahau. Tendeni haki haki huzaa Amani ,,hizi braha braha ni sawa kumwaga petrol kwa moto ,,huu ni wakat wa ukweli na uwaz
Indonesia
0
0
0
368
The Kenyan Vigilante
The Kenyan Vigilante@KenyanSays·
The Tanzanian government reportedly intends to arrest Fr. Kitima, a Catholic priest, for speaking out against injustices in the country, according to the Dar es Salaam Regional Commissioner Mr. Albert Chalamila!
English
59
86
288
32.1K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Ujumbe wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika (AUEOM) ulioongozwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Botswana na Kiongozi wa Misheni hiyo, Mhe. Mokgweetsi Masisi, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar.
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
1
3
21
3K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@MariaSTsehai Nchi hii ikija kurud yaani WAHUNI wote tutawapiga ndani na itakua historia kwa Dunia na kwa WATANZANIA ,,,naiona hiyo siku ikija ambayo hata ABDULI na mama yake hawataamini. Ipo inakuja
Indonesia
0
0
0
748
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨PIN THIS🚨‼️ ‼️USIPITE BILA KUSOMA - TAARIFA YA WHISTLEBLOWER KUTOKA MGODI WA MAKAA YA MAWE‼️ Rostam! Rostam! Rostam! Nakuita mara taru! Whistleblower amekuja na taarifa amesema kama unabisha sema aje na data na picha na ushahidi zaidi! Mgodi wa makaa ya mawe unaiendesha na pia unashirikiana na wachina ila NDC wamegoma! Ujumbe naweka hapo chini - una right to respond - karibu unitumie response yako nitaweka 🙌🏽 ila MSINITEKE! 🙄 AS RECEIVED IN DM: 👇🏾 Rostam analipa mishahara Kwa wafanyakazi wote, kulikuwa na deni la billion la NSSF Intra ameacha, yeye kalipa na mwaka ambao Intra inaondoka yeye alilipa mishahara huku wafanyakazi wakiwa hawafanyi kazi. Karibia mwaka na miez 8 yote kalipa wafanyakazi. Akaanzisha uzalishaji 2024 kaleta vifaa vyake vibovu sana triple 777,komatsu PC 1250 hii mpya, ADT dumper truck nazo mbovu tuu. Akaona akodi mashine Kwa mchina. CSRG. Anachofanya ameleta kampun ya Taifa ndan ya huo Mgodi wa Ngaka mitambo mibovu Kila kukicha watu wanaacha kazi. Amepanga uongozi ngazi za juu. CO,GM na wengine wote ngazi ya taifa. Na kajaza wahinid kibao na virabu kibao. Mwaka Jana mzungu mmoja expart anaitwa Devid alijinyonga ndan ya mgodi huo katika vyumba vya kulala. Kisa akijulikan. Aulizwe kama ajaanza kazi huyo mzungu alikuwa kampuni Gani? Anasubiri documents Gani? Wakati uongozi wa Tancoal ambao unasimamiwa na NDC ameuboboa na ameshafukuza wengine CEO Arafat ayupo,Benjamin muhasibu mkuu ayupo aliwalipa wakasepa kwa sababu zake. Za ndani huyu mtu dalali kweli nasikia mgodi anatumia kukopea. Na waje watu wachunguze huo mgodi kama c kweli ameanza kazi. Kwa Sasa uchimbaji wake ni tan 200k kushuka chini. Leteni vyombo vya habari kama kweli ajaanza kazi. Kwa Sasa anaendesha mgodi GM ni bwana Derick na ngazi zote amepanga yeye anasemaje mgodi ajaanza kuchimba tapeli huyu? Video ya kwanza hapo ni pit ni north pit, tarehe 29/5/2024 Hapo anachimba yeye Taifa (Rostam) pamoja na wachina hapo wanaondoa overburden then wanakuta mkaa mita chache. Mchina anazo excavator mbili yeye yake moja PC 1250. Ambapo Kwa Sasa mchina ametoa mashine zake sababu ya kuona hamlipi akajiondoa. Amemuacha yeye na mashine moja. Ila mafuta anatoa yeye, mishahara anatoa yeye. Na this time anataka kumleta mchina achimbe ndan ya vitalu alivyo navyo yeye. Rostam mpango wa kuchimba makaa Hana na atokuja kuwa nao sababu moja. JPM alichukua vitalu vyote vilivyokuwa vinamilikiwa na Intra energy akavigawa lesen alizo acha pamoja na iyo inayo tumika saiz..ila kuna lesen moja anatumia Dangote ambayo Ipo chini na NDC kupitia Tancoal. Hiyo ni TL610 iyo Ipo jiran na Ngaka. Alivyo kuwa dalali mzuri hataki kuleta mitambo mipya anamleta mchina kampun ya Yongda. Ashaleta washakuja kufanya tathimin ila NDC nasikia wamegoma. Na wanamwambia tumekupa wewe lesen kwanini uje ulete mchina?? Kama uwez rudisha ila majibu yake ni kwamba..... Anataka kufanya uwekezaji Kwa Mashart arudishiwe lesen zoteee pamoja alizo chukua JPM akawapa jitegemee holding walisema mladi wa Chama. Hili @mangekimambi anayo story yake
Indonesia
34
178
494
50.1K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@PolepoleHumph @mtanganyika__ Yaani hiyo siku ya hukumu sitalala nitafanya sherehe,,maana huku dar mwendokasi ishaanza kufa! Wamejiwekea utaratibu wa card ambazo wanajua watu wengi hawana Sasa wanatembea na card zao alafu wanakutoza book badala ya 750,Sasa hiyo 250 wanaweka mfukoni mara wateja 2000
Indonesia
0
0
0
8
Kassim Ally
Kassim Ally@KassimAlly90417·
@PolepoleHumph Wanu ni m2 poa sn sn sn huyu hana roho mbaya kabisa polepole acha ujinga kila zama na wa2 wake unaumia sn mzeee hii sio awamu yk Makonda aliwekwa pembeni akanyamaza hakuongea sn ww zamu yk jiheshim
Indonesia
2
0
0
1.6K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@Jambotv_ Mwenye namba za Mzee malisa tafadhali,,huyu Mzee akate rufaa sisi wa Tanzania tupo nyuma yake waliye karibu nae wamwambie tpo tayari kuchangia tafadhali tupo seriouse ,,wakaribu wamwambie ajtokeze atpe namba yake pia @Mwabuk2Boniface muungeni mkono pia wekeni namba tumsuport.
Indonesia
0
1
4
505
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Masjala Kuu ya Dodoma, imefikia uamuzi wa kutupilia mbali kesi ya kikatiba iliyokuwa ikipinga uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani na Dkt. Godfrey Malisa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro ambaye alikuwa mwanachama wa CCM, dhidi ya Wadhamini wa CCM (mdaiwa wa kwanza) pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho (mdaiwa wa pili). Uamuzi huo ulitolewa na jopo la majaji watatu wakiongozwa na Jaji Joachim Tiganga, wakisaidiana na Majaji Everisto Longopa na Griffin Mwakapeje, ambao walibaini dosari za kisheria katika kesi hiyo wanesema kuwa shauri hilo lilikuwa na ukiukwaji wa masharti ya Katiba, kukosa ulinganifu na taratibu za uchaguzi ndani ya CCM, pamoja na dosari katika nyaraka za kiapo zilizowasilishwa. Miongoni mwa hoja zilizojadiliwa ni tofauti za majina katika kiapo cha mlalamikaji, jambo lililotia mashaka kuhusu uhalali wake. Jaji Tiganga amesema kuwa katika nyaraka tofauti, jina la mlalamikaji lilikuwa likionekana kama “Dkt. Godfrey Fatael Mlamie Malisa,” “Godfrey Fatael Mlamie Malisa,” na “Godfrey Fatael Malisa” – hali iliyoacha mashaka kama ni mtu mmoja au watu watatu tofauti, hivyo kupunguza uthibitisho thabiti wa kiapo hicho kisheria. Kwa msingi huo, mahakama iliamua kuwa msingi wa kesi haukuwa imara kisheria, na hivyo ikaamua kuifuta rasmi.
Jambo TV tweet media
Indonesia
85
23
452
35.3K
Bernard Musase
Bernard Musase@BMusase50017·
@MariaSTsehai Hv kwanini tusiitishe maandamano jamani, najawa hasira sana basi tu
Indonesia
2
0
13
3.1K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🚨‼️MSINITEKE NIJIBUNI🙄‼️🚨 Nimekuwa nikiperuzi mambo ya DP World Tanzania nimekutana na hii taarifa ya shareholding kumbe Tanzania DPW wana asilimia 65.1% tu ya kampuni iliyosajiliwa locally kusimamia bandari Shareholders wengine ni akina nani? 🧐 Msianze kupanga kikosi kazi kuniteka - nijibuni tu Eniwei #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
34
167
654
70.3K
MAYAI POINT
MAYAI POINT@JonizeC52246·
@HecheJohn Nchi hii ccm wanastahili kushtakiwa wezi wakubwa
Indonesia
1
0
0
240
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Alichokisema Polepole aliewahi kuwa mjumbe wa cc ya ccm. Kiongozi wa juu kabisa katika ccm na serikali hakiwezi kupuuzwa. Tume ya Taifa ya uchaguzi ni tawi la ccm haiwezi kusimamia uchaguzi huru katika Nchi hii. Msimamo wa chama chetu ni sahihi na Watanzania tusikubali tena uhuni kwenye uchaguzi. #NoReformsNoElection
Indonesia
123
568
2.3K
50.4K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@HecheJohn Mheshimiwa John Heche wananchi tunakusubiri utoe kauli moja tuu yenye msimamo mkali Nini kifate tupo tayari kuingia barabarani kudai Reforms 😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️Rostam Azizi na kikwete hawana hati miliki ya kututawala watakavyo nimewachukia sana. Tuamke tupo pabaya
Indonesia
0
0
0
113
Hartz MD
Hartz MD@Pollo_Dr·
@HecheJohn MUNGU amlinde Polepole. Hatimaye Balozi amekubali NO REFORM NO ELECTIONS. CCM inastahili kushitakiwa kimataifa. Tukiue kabisa hiki chama maana sasa kimegeuka kuwa Adui waTZ
Indonesia
2
0
4
580
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@swalemusa11 @HecheJohn Tunaamini kwasababu tulishabaini mara kadhaa kua marehemu majina yao yamejutikeza kwenye Daftari la mpiga kura kumbe ni NIDA😭😭😭😭wasubiri hukumu ya Mungu kwa kuwachezea marehemu.
Indonesia
0
0
0
56
S S M
S S M@swalemusa11·
@HecheJohn Je alionesha ushahidi wowote wa video au nyaraka? Kwa nini tuamini maneno yake yasiyokua na ushahidi?
Indonesia
7
0
2
1.4K
Paschal Daniel
Paschal Daniel@PaschalDaniel13·
@HecheJohn Pole pole mnafiki,2020 mmesahau alivyoongoza ccm kuwaibieni kura au mara hii mmeshasahau?,ni vile tu system ya Sasa ilimtoa kwenye mrija lkn hana huo uzalendo unaodhani wewe
Indonesia
20
0
4
1.5K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@ItsKamala NIDA👉CCM👉TUME YA UCHAGUZI,,unampigia kura mtu bila kutaka tupige usipige ufe usife kwakua una NIDA ww nimpiga kura iliyehai. Alafu tutegemee makaanya mawe yasiibwe na wa HUNI huyu ROSTAM AZIZI na KIKWETE wanapaswa kuona aibu. Asante😭😭😭TANZANIA NIYETU SOTE🇹🇿
Indonesia
0
0
0
31
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Kuanzia Nyakanazi, Njia ya Bharamulo- Ngara, Njia ya Bukoba- Mutukula unakutana na magari mengi yamebeba Coal(Makaa ya Mawe) kutoka Songea kuelekea Viwandani na Nchi Jirani, Makaa ya mawe na Chuma kwa Tanzania ni game changer hasa kuhakikisha tunatengeneza Ajira kwa Vijana
Indonesia
2
4
40
1.4K
Rais wawanyonge @ak4tn @gmail .com
@millardayo NIDA 👉CCM👉TUME YA UCHAGUZI🇹🇿🇹🇿daaaah🇹🇿😭😭ndiyo maana shangazi yangu alikufa miaka 20 iliyopita lakini alionekana kwenye Daftari la mpiga kura mara 2 niliwai jiuliza kivipi? Kumbe ndo uhuni huu unatumika 🤔😭😭😭marehemu anapiga kura aisee yaani kwakua unanida tupige uspge ✅😂
Indonesia
0
0
5
548
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewapa Wachezaji wa Taifa Stars zawadi ya Tsh. milioni 20 pamoja na viwanja Kigamboni kama sehemu ya kuwapa motisha kuelekea mchezo wa robo fainali ya CHAN 2024 dhidi ya Morocco utakaopigwa usiku leo. Akiongea Jijini Dar es salaam leo August 22,2025, RC Chalamila amesema anawapa zawadi hizo haijalishi kama watashinda ama watafungwa. RC Chalamila pia ameahidi kuwa kila bao ambalo Stars watafunga atatoa Tsh. milioni 5, huku Mchechaji atakayefunga akipewa Tsh. milioni 1 ambapo kwa upande wa golikipa amesema kama hatofungwa atazawadiwa gari aina ya Toyota Crown. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
76
15
708
58.6K