.. " ni vigumu kueleza,baada ya yote yaliyotokea mimi kama Rais niko tayari kufanya makubaliano yeyote na Urussi ilimradi tu kumaliza vita" Volodymyr Zelensky ameiambia CBS
CEO wa Simba SC @bvrbvra amezuiliwa kuingia uwanjani yeye na familia yake. Barbara Gonzalez amesema ameonesha tiketi zote lakini akaambiwa na maofisa wa getini kuwa haruhisiwi
Nitajie gari unaloendesha au unalotarajia kuendesha/kununua siku za mbeleni...
.
Ukishataja mimi nitakwambia kitu kimoja kizuri na Kimoja Kibaya kuhusu hilo gari ulilotaja....
.
Kama nitakosea am stand to be corrected...
.
Twende Kazi
JIFUNZE Jinsi ya kutumia options za Gears Kwenye Gari Automatic.
.
Gari za AT zimekua rahisi sana kuendesha, watu wasiopenda manual wametokea kuzipenda sana na wanazifurahia.
.
Mtu akishapata Leseni tu Utasikia wanakwambia We ingia ukishaweka D ndo ushamaliza Dar Moro hii hapa.
ISRAEL MUJUNI NKONGO alipostaafu alimaliza aina ya Waamuzi wanaojua MAMLAKA yao Kiwanjani. Huyu 'Dogo' kutoka Mbeya aliyechezesha Dodoma Vs Simba alikuwa 'mwepesi' mno. Ameshindwa kuonyesha AUTHORITY YA MWAMUZI KIWANJANI.
"Ahadi zinazotelewa kuongeza motisha zinaharibu mpira hazina maana yoyote, kama huna uwezo huna tu. Kwanini zitolewe wanapokutana na Simba tu? Zinavuruga mpira zinasababisha matumizi ya nguvu yasiyostahili na kutuumizia wachezaji kama ambavyo imetokea Dodoma na Biashara" Magori