Sabitlenmiş Tweet
Kyando
4.1K posts

Kyando
@Unclevirus_01
🌟Medical Laboratory Technician
Tanzania🇹🇿 Katılım Ocak 2020
2.6K Takip Edilen1.6K Takipçiler

@fumbokhanJr Hakikisheni kikosi chenu kipo timamu ili kupunguza idadi ya magoli
Indonesia

@PresenterNoah Ya kwanza ni kuturn upande wake wa kushoto anafoot walk nzuri angeweza kupita pili yeye winga akireceive mali safu ya ulinzi inarelax ni option mbovu kurudisha
2. Angempa beki wa kati
3. Angehamisha uwanja kwa kapombe
4. Angecut through kama vile anaingia ndani
5. Angempa kocha

Indonesia

@YoungAfricansSC mwenda alikua Hana uhakika wa namba black star mbona amekuja anacheza yeye as vita alikua anacheza Leo Hana utimamu wa mwili mbona mnatuona km sisi hatujuw football 🙆
Indonesia

𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬
"Jonathan ni mchezaji mzuri sana, jambo la kwanza tunalopaswa kufanya, bila shaka, ni kumfikisha kwenye kiwango cha utimamu wa mwili tunachotaka. Kwa sababu si tu kuhusu utimamu wa mwili, bali pia kuhakikisha kwamba hapati majeraha. Ikiwa hana utimamu wa kutosha na anahitaji kukimbia kwa kasi kwenye mechi, kuna uwezekano mkubwa wa kuumia, na hilo ndilo tunalotaka kuepuka.
Lakini bila shaka yeye ni mchezaji mzuri na katika siku zijazo atatusaidia sana" Sead Ramovic
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko

Indonesia

@fumbokhanJr wakiitoa Simba Simba hawashangilii kwa sababu n team ya kawaida ila hao waarabu walikua wanajua ugumu wa game ya wao na Yanga
Filipino

@fumbokhanJr Watu wengi nawaambia wengne wananitukana, n mchezaji anaepoteza sana mipira anatoa pasi za mwisho za hovyo,
Indonesia

Naweza kuonekana siko sawa, naweza kuonekana siko timamu ila sioni haya kusema DICKSON JOB ndie Beki bora zaidi wa kati nchini hivi sasa na nitaanza rasmi mjadala wa moja kati ya Mabeki bora wa Kati hii nchi imewahi kubarikiwa nao, ever dependent, ever reliable, haitumiki nguvu hapa ni akili hapa, anajiamini ila hapitilizi.
The Most underrated Centre Back in Tanzania Football History basi tu kwasababu kazaliwa hospital ya Mkoa pale Morogoro, basi tu kwasababu kasoma SUA Sekondari na kacheza Mtibwa Sugar.

Indonesia

Exceptional finishes! 🤩
Presenting some of the best goals of the #TotalEnergiesCAFCL Matchday 4.
English


Our starting lineup for today’s match against TP Mazembe.🔰💪🏽 #CAFCL
#TheClubAboveAll
#DaimaMbeleNyumaMwiko

English

Football is for everyone, and that is why we are proud to support the Rainbow Laces campaign 🏳️🌈
#RainbowLaces

English
















