SarakikyaJr

9.7K posts

SarakikyaJr banner
SarakikyaJr

SarakikyaJr

@Sarakikya5

Sarakikya Expert in Med Marketing, Advertising & Training,Farmer,Enterprenuer( Arsenal fun,Simba sc, Madrid)

Katılım Mayıs 2019
1.5K Takip Edilen470 Takipçiler
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hata waongo nao huzeeka. Huyu aliwezaje kuwa jaji Mkuu?
joseph_selasini tweet media
Indonesia
66
92
469
18.3K
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Hii ni aina ya hotuba ambayo ikienda kwenye vitendo basi tunaweza kujenga uchumi wa dola bilioni 500 hadi trilioni 1 kufikia 2050 kama Dira inavyolenga. Waziri @kitilam wewe ndiye duty-bearer, decision-maker na hata policy-maker wa sekta hii. Tunatumai utaweza kubadilisha hotuba hii kuwa maagizo yanayopaswa kutekelezwa mara moja. Miaka 25 siyo mingi sana.
Eng Octavian Lasway@Octavianlasway

Prof. Kitila @kitilam is showing us a very important direction: we need to rethink how business is done by reducing unnecessary bureaucracy and regulatory barriers. In today’s world, successful businesses are no longer built only in large shops or industries; even a single room can become the foundation of a million-dollar enterprise. This is the time to change our mindset, support innovation, and work toward building a stronger nation.

Indonesia
12
7
48
8.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Donald Trump alitoa kafara ndege za kivita na vifaa vingine vyenye thamani ya zaidi ya dola milioni 600 (takriban shilingi trilioni 1.5 za Kitanzania) ili kumuokoa mwanajeshi mmoja wa anga. Hili ni jambo la KIPUMBAVU sana kueleweka kwa viongozi wa Afrika.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
116
166
2K
56.1K
Nipashe Tanzania
Nipashe Tanzania@Nipashetz·
Mtumbwi una uwezo wa kubeba watu wanne tu. Nani apunguzwe hapa?
Nipashe Tanzania tweet media
Indonesia
159
9
126
19.9K
SarakikyaJr
SarakikyaJr@Sarakikya5·
@Jambotv_ Muda wa wa Mungu utafika, atatoa adhbu kali sana.
Indonesia
0
0
1
503
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Na Mwandishi wetu; Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa niaba ya Jamhuri amefungua shauri la mapitio juu ya uamuzi wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Akiwasilisha taarifa hiyi mahakamani leo Wakili wa Serikali Mkuu Renatus Mkude amesema taarifa hiyo mapitio imeungwa mkono na kiapo cha Wakili wa Serikali Cuthbert Mbilinyi na imewasilishwa katika mifumo rasmi ya mahakama ya Tanzania leo Februari 24, 2026 na kupokelew Mahakama ya Rufaa ya Tanzania Dar es Salaam kama shauri la mapitio na kupewa namba 7203216/2026. Wakili Mkude amesema chimbuko la mapitio hayo ni shauri la jinai 19605/2025(kesi ya uhaini inayomkabili Lissu) Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam mbele ya Mheshimiwa Jaji Dunstan Ndunguru na wenzake wawili. Ameeleza kuwa kwa kuwa shauri limepokelewa Mahakama ya rufani na limepewa namba basi liweze kusimama ili kutoa nafasi kwa ajili ya maombi kuweza kusikilizwa na baadae kurudi kwenye shauri kuendelea baada ya uamuzi wa Mahakama ya Rufani. Msingi wa rufaa hii ni uamuzi wa Mahakama uliotolewa leo na Jopo la Majaji watatu wakiongozwa na Jaji Dunstan Ndunguru kuwa ushahidi wa ziada wa ACP Amini Mahamba ambao jamhuri ilitaka kuuwasilisha mahakamani hajakidhi vigezo vya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai(CPA) kifungu cha 308. Baada ya hapa Jamhuri iliiomba mahakama kwa kuwa tayari kuna shauri Mahakama ya rufaa basi shauri lililopo mahakama kuu lisimame(kama ambavyo sheria inataka) mpaka litakapokamilika shauri la rufaa. Taarifa zaidi tutakujuza
Jambo TV tweet media
Indonesia
11
7
131
14.1K
Planet B
Planet B@M31327Mugisha·
Mindset Transmission Champion. Anamwambia KATUGA asijaribu kumfundisha SHERIA. Leo kumeumana. DPP wanajaribu kutengeneza namna ya kumwingiza TAL kwenye mtego wa matukio ya October 29 2025. Katuga kakubali kufundishwa sheria kwa mara nyingine hapa. Safi sana hii.💪💪😁😁📌📌
Planet B tweet media
Indonesia
3
35
390
17.1K
Hancy Machemba
Hancy Machemba@hancymachemba·
Tukiwa Hospital uliniambia "daddy twende nyumbani sitaki kukaa hapa" Nilikuahidi uongo kuwa tutarudi nyumbani kumbe hautorudi tena. Pumzika kwa amani mtoto wangu Machemba jr😘😘😭😭😭
Hancy Machemba tweet media
Indonesia
1.4K
175
2.1K
85.3K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Kesho Ofisini tutakuwa Wachache kuna watu watashuka Safarini leo haya maumivu ya siku mbili mfululizo ni makali kmmk
Taivina James tweet media
Indonesia
9
11
224
7.8K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Zaidi ya watu 3000 wameuawa kwenye hekaheka za maandamano ya Iran. Katika watu hao zaidi ya watu 2000 waliouawa hawakuwa na hatia. Hii ni kwa mujibu wa serikali ya Tehran. Sosi #DWSwahili NB:Naona Iran imeamua kusheherekea VIFO vya watu wake
Indonesia
9
5
98
5.8K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
👉Ukitoa matamanio ya Rasilimali, USA walitumia madhaifu ya Maduro. 👉2021 kwenye Uchaguzi Mkuu Maduro aliungwa mkono na Vyama 13 Tume ya Uchaguzi ikaprint Ballot Paper yenye sura yake kwa Vyama 13 👉Pia alikua na kikundi cha kuwatesa na kuwaumiza wapinzani kinaitwa Tun Tun
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Filipino
21
1
39
8.1K
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga@ezekiel_kamwaga·
China na Russia hawajali kuhusu kupoteza Syria na Venezuela kuliko kupata Taiwan na Ukraine. Wakati mwingine kubali kupoteza battles ili ushinde vita. Hakuna anayejua mazungumzo haya yalihusu nini. Wala ya Makamu wa Rais wa Venezuela na Putin kabla ya kukamatwa Maduro
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga tweet media
victor.mc✝️@lordmoremi

@ezekiel_kamwaga China na Urussi kwa sasa hawana say kwenye world order na polarity Ndo maana wamenyanganywa Syria, Venezuela na Iran anafata and they will absolutely do nothing

Indonesia
2
0
4
606
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Kabla ya Kumlaumu Refa kisa tukio la mwisho anza na Wachezaji wenu waliokosa nafasi za wazi Feitoto na Msuva, Game ingekuwa imeisha mapema hii Tatizo la hii Nchi ni kukwepa uwajibikaji
Indonesia
113
24
271
27.4K
SarakikyaJr
SarakikyaJr@Sarakikya5·
@KennedyMmari Bora hizo capitalist interest kuliko Dictator zinazofaidisha kikundi kidogo wakati million of citizens wanakufa na njaa,magonjwa,umaskini.
Indonesia
0
0
1
138
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Tanzania sio Venezuela. Rais Dkt Samia sio Rais Maduro. Tanzania tuna Rais mkarimu, mwana-Demokrasia na mpambania maendeleo ya raia wote. Licha ya wema huu, wanaharakati/wapinzani kutwa humchokoza Rais Samia. Trump, Marekani wanaujua ukweli huu, endeleeni kuota watavamia.
Indonesia
76
1
26
6.8K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
@bajabiri Akimalizana na Venezuela ataigeukia Iran ambayo imekumbwa na maandamano na vurugu kubwa. Pale pia atamchomoa mtu
Filipino
24
5
50
5.3K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Maduro ametangaza "hali ya hatari" baada ya USA kudaiwa kuishambulia Bandari ya La Guaira.
Indonesia
11
15
237
23.2K
SarakikyaJr
SarakikyaJr@Sarakikya5·
@fumbokhanJr Ni kweli hakuna kitu chenye thamani Kama uhai wa Mtu. Vip waliokumbwa na kutekwa na kupotea,vp waliokufa Oct 29 au hao Hawa kuwa na Uhai? Utakiwi kulalamika unatakiwa kujifunza
Indonesia
0
0
0
85
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Sema Hii moment tulifika ni mbaya sana, mtu anapata ajali Watu wanaulizia Usalama wa Ng’ombe like seriously? Wakuu tusiruhusu kufika huku, tofauti za Kisiasa zisifikishe Watu huku kabisa. Hakuna Kitu cha thamani Kama Uhai wa binadamu.
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
371
23
384
57.9K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Watanzania wametangaza kutoa milioni 100 kwa kila goli litakalofungwa na Taifa Stars kuanzia mechi dhidi ya Uganda.
Indonesia
162
9
133
26.5K