Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.
Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa Taifa. Jaji Lila atasaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.
Bofya jamii.app/TumeYaKijinai#JamiiForums#Uwajibikaji
Katika tukio la kushangaza na lisilo la kawaida, mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Colnel Magembe iliyopo Wilaya ya Ukerewe, Mkoa wa Mwanza (jina limehifadhiwa), amepatikana akiwa hai baada ya kudaiwa kushambuliwa na kuchukuliwa na mamba takribani wiki moja iliyopita.ippmedia.com/nipashe/habari…
Mwishoni mwa mwaka 2024 nilitengeneza hii package inayolist ya Mikoa yote, Wilaya, Kata na Postcode zake. Mpaka leo inatumiwa na developers 165.
Unaweza install hapa kwa kutumia composer github.com/devmpemba/Tanz…
#TajiriLaKihaya
Manzi Ina Tattoo… mkononi, Kifuani na Hadi kwenye PAJA…
Na zote kachorwa na Wanaume,daaah💔
Bila shaka Pombe na Shisha anapiga huyu…
MACHA KIJANA Msomi mwenye Bright Future… mtangazaji makini kama wewe unataka KUOA BED TO BED MIDFIELDER AKA NGONO KANTE…
Shida Nini kaka?? Tuambie tukusaidie mapema… hatutaki viluo huko mbele…
MAN TO MAN
Maisha yanapokunyookea, usianze kuwaona wanaume wengine kama wasio na maana au wasiojituma katika maisha. Kumbuka muda wowote hali hubadilika jifunze kuwa mnyenyekevu
Mwanaume usichekelee kamwe anguko la mwanaume mwenzako. Wanaume hatupaswi kuchekana wala kudharauliana. Badala yake, tupeane moyo na kushikana mikono katika mapambano yetu, Maana sote tunaishi kwa akili na kula kwa jasho
BRO TO BRO
“Nitafanya kesho" hii kauli ni ugonjwa unaoua ndoto zako polepole.
Hakuna ndoto inayokufa ghafla nyingi zinakufa kwa kuahirisha.
Kila kesho unayosema leo, ni hatua moja nyuma.
Wanaume wengi hawakushindwa sio kwa sababu hawana uwezo, bali walishindwa na uzembe.
Kaa kitaalamu anza sasa hata kama hujajiandaa. Bora ushindwe kwa kujaribu kuliko ujutie baadae kwa kushindwa kujaribu
Ukisubiri mood, pesa, au muda sahihi utazeeka ukiwa na mawazo tu.
Kumbuka Watu wengi wanaofanikiwa hawangoji kesho. Wanafanya leo.
Unajua kwanini Afrika haiwezi kuendelea, hatujafundishwa kuzalisha. Kila mtu kafundishwa kuchukua tu. Kufanya kazi kupata mshahara peke yake. Hakuna ujasiriamali wala utoaji wa huduma ambao unalenga kuboresha maisha ya wanadamu. Kila mtu anawaza taking only. Akili za masikini.
Ukubwa wa Mungu haupungui kwa sababu ya changamoto zako. Badala yake, changamoto zako hupungua unapomtazama Mungu alivyo mkubwa, mwaminifu, na mwenye uwezo wote. 🙏🏼