THUG LIFE🚬💨

16.8K posts

THUG LIFE🚬💨 banner
THUG LIFE🚬💨

THUG LIFE🚬💨

@ModdohClassic

MAN OF THE PEOPLE/Gym Rat/Work Hard Pays/Range Rover In My Blood. #ElimikaMwanaume.

Where Respect Is Earned 📍 Katılım Temmuz 2023
3K Takip Edilen3.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
THUG LIFE🚬💨
THUG LIFE🚬💨@ModdohClassic·
For the first time naaga mwili wa marehemu, halafu ma father. So sad 😭😭. Pumzika Kwa Amani Baba yangu, daima utaishi mioyoni mwetu sisi wanao. Hatuwezi kuzuia alilolipanga Mungu 😭😭😭
THUG LIFE🚬💨 tweet media
Filipino
132
73
740
41.8K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
ARTIFEX 🎨🖌🧸
ARTIFEX 🎨🖌🧸@artifex_s17·
Unajua zamani kuna ile unatembea na mama unasikia rafiki yako anapigwa na mama yake jirani mama yako akisikia tu analia na sababu anakusindikiza na kibao cha kisogo na wewe kua kama yeye🤣🤣🤣 Good morning people
Filipino
11
14
24
252
THUG LIFE🚬💨
THUG LIFE🚬💨@ModdohClassic·
Nilitaka nihame kwa wazazi mwezi huu ila bado nawaza naona kama nitawaacha wapweke sana.
Filipino
2
1
3
54
SPOON
SPOON@TonnyUnfiltered·
Mungu ni mwema sana Kanipa uwezo wa kudinda na kuunganisha bao la 1 na 2.🙏
Filipino
35
47
83
7.3K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Acha kulala sana bila sababu. Acha kulalamika sana. Acha Kupiga nyeto . Acha kulaumu watu. Acha kuahirisha mambo. Acha visingizio — anza kazi. Acha kuogopa kuanza. Acha kusikiliza maneno ya kukatisha tamaa. Acha kujilinganisha na wengine. FANYA MAMBO YAKO . Good Morning.
Filipino
21
54
163
2.6K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
Pharm Iddy 💊💉
Pharm Iddy 💊💉@FanuelIddy·
Usiku wa kuamkia leo mke wangu amefanikiwa kujifungu watoto mapacha Nashukuru sana kwa zawadi hii nzuri..
Polski
29
33
104
1.3K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
-Jifunze kujielezea. -Jifunze ku-communicate na watu. -Jifunze ku-network na watu kimkakati. -Usipoteze uaminifu kwa watu wanaokuamini. Good morning everyone.
Filipino
12
21
57
609
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Wekeni zile kozi ngumu madogo wastuke wasije wakaingia Mkenge 🤣🤣🤣
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
99
35
485
72.3K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
Ambele Young
Ambele Young@Ambele_Young·
Good morning everyone 🌅🌅
English
55
54
93
2.5K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
Chapo Guzmán 🇹🇿
Chapo Guzmán 🇹🇿@GuzmnChapo1·
Mungu ni mwema kila wakati, kila dakika, kila siku akakutendee mema leo Good morning friends
Filipino
33
32
57
569
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
Church Boy✝️🇹🇿
Ukipata nafasi ya kusali sali sanaa ombea shughuli zako za kujipatia kipato vita ya umasikini haijawahi kuwa nyepesi...👏🇹🇿 Good morning familia.
Indonesia
52
57
120
1.1K
THUG LIFE🚬💨
THUG LIFE🚬💨@ModdohClassic·
Je ni sahihi mtu kuacha kazi na kuanza kupambania ndoto yako?
Filipino
0
3
7
99
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Katika Safari Ya Maisha kuna barabara lazima upite pekee yako, hakuna ndugu wala marafiki wa kuongozana nao Bali ni wewe na MUNGU Good morning X Family 🙏🏾
Filipino
51
61
109
1.4K
THUG LIFE🚬💨 retweetledi
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Kila mtu anapata pesa tatizo lipo kwenye kuitunza na kuifanya izae!!📚🗝️
Indonesia
13
39
120
1.6K