Kwenye kila harusi inayofungwa, ukumbini kuna yule jamaa ambae alishachapa bibi harusi staili zote, na kadi ya mwaliko ni bibi harusi mwenyewe ndio alimpa 😁😁🚮
@EduTalkTz Vitabu vinsema tumuombe, hapo hapo vinasema anajua maombi yetu kabla hata hatujaomba.. ukiomba asipokupa wabongo wanamtetea mkuu kuwa hakupi unachotaka bli unchostahili..sasa kama nastahili kwnn naomba? Najuaje stahili yangu? Kuna michezo michezo mingi sana humo😁
Nataka kujenga hoja kwamba kumwomba Mungu ni upumbavu.
Kabla haujanishambulia, naomba kukuuliza swali: unaamini Mungu ni mkamilifu na uumbaji wake umekamilika?
If so, nini tafsiri ya kuomba kwako?🤔
Unaomba nini ambacho kipo nje ya ule ukamilifu?🤔
Jifunze kuwa na adabu mimi sio kasichana ka rika lenu usidanganyike na hizo filter mimi ni mama wa makamo nina uwezo wa kukuzaa huku napiga pushups kijana
@Tweener003 Kuna mtu jana nmebishana nae kuhusu hili coz wachezaji5 au zaidi azam walivaa jezi ndo walienda kuvalia medali ila hakuna wa yanga ata mmoja alifanya hivo nkamwambia either hawajui branding zinawabana au wanatamani kucheza timu kubwa na ndo njia walopata ku adress
My young sis yuko form six now,
Nkikumbuka i dated my frst grl akiwa form six, and the stuffs we did 😢😢.
Now dogo namkazia kinoma asome hakuna kutoka toka nje ovyo 😂😂🫵
Kodi ni laki mbili kwa mwezi, duka lina T-shirt nne linanukia lina kiyoyozi pasafi na mwenye duka ana gari kali anapendeza ana IPhone 17 , anaish kwenye apartment kwa mwezi laki tatu , nyiiie people live🙌
Since 2014 you’ve just been scrolling through twitter why???😭😭😂💔
Even if you have just 0 follower.
Just say Hello, if you want people to connect with you.
Mwanaume mwenye nyege anaweza kupoteza kila kitu kwa siku. Anaweza kuamua kusafiri siku nzima ili tu aka lale na mwanamke. Mafanikio yanahitaji nidhamu na tamaa ni adui wa kwanza.