
Mshato
1.3K posts

Mshato
@Mshato02
Betting & Sports visit South Africa 📍
Katılım Ocak 2025
411 Takip Edilen511 Takipçiler


Kiungo wa zamani wa Kenya na Vilabu vya Tottenham na Southampton Victor Wanyama leo ametangaza rasmi kustaafu kucheza Soka akiwa na miaka 34.
Wanyama amecheza Soka kwa miaka 19 akiwa amewahi kuzitumikia timu za Beerschot ya Ubelgiji, Celtic ya Scotland, Southampton na Tottenham Hotspurs za England, CF Montreal ya Canada na Dunfermline ya Scotland.
Victor Wanyama ameacha rekodi kadhaa ikiwemo mchezaji wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kucheza EPL.
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia

Mshato retweetledi
Mshato retweetledi






















