Syankisu

2.2K posts

Syankisu banner
Syankisu

Syankisu

@1ernestnene

Haijalishi paka ni wa rangi gani muhimu tu anakamata panya.

Katılım Şubat 2024
682 Takip Edilen104 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Syankisu
Syankisu@1ernestnene·
Matajiri Wengi Wa Hivi Karibuni Sio Mfano MzurinKwa Jamii Kwa Sababu Ya, Rushwa Dhuruma Damu Biashara Halamu Wizi..... Kwa Mfano Mtumishi Wa Serikali Awezi Kunispire Kuwa Tajiri Najua automatic ni Mwizi Na Mla Rushwa.
Indonesia
1
0
1
391
Syankisu retweetledi
𝐓𝐡𝐞 𝐇𝐢𝐦.
Yule rafiki yako aliyefariki akaacha na familia umewaza kwenda siku moja moja kumcheck mke wake kum bless mtoto wake japo nguo za Shule na Viatu au alivyo fariki na wewe undugu ndiyo umekwisha?!
Filipino
20
69
560
17K
Kibayasi FS 🇹🇿
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF·
Mwamba ofisini analia kama mtoto. Usiku amelala, Afisa Upekenyevu (wife wake) akaanza ukaguzi wa simu. Akapiga screenshot mazungumzo yote na michepuko, akaenda kuyaprint design kama magazine. Halafu asubuhi ya leo, wife akamletea ofisini ushahidi wote...🤓🙌
Filipino
14
10
278
20.6K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ukiwa mkoani na una ndugu yako huko Dar mtumie hata debe la unga na viazi, Wakazi wa hilo jiji wanapitia mengi sana
Indonesia
17
16
86
1.6K
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Kama uliweka mabanda kwenye masomo uliyotumiwa vitabu hivi, mshahara wako una koma moja.😂
Mtoto wa Mungu🤲🏽 tweet media
Filipino
19
15
155
10.3K
Mtwa-Outfit
Mtwa-Outfit@MtwaMng·
@MkulimaKante Hakuna matajiri kule, ndo maana njombe hakuna mjini. Pesa huwa inajionesha tu katk maisha ya mtu. Kama una pesa halafu huli maisha wewe ni mshirikina kaka..
Indonesia
5
0
15
1K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Vijana wa Njombe ukiwaangalia kwa haraka haraka unaweza hisi ni maskini wa kutupwa ila vitu wanavimiliki vitakushangaza. Unashangaa kijana wa miaka 22 tu anavaa zake koti moja zito suruali pana na magumboot kichwani wanapenda kuvaa mizura. Ila sasa unashangaa ana ekari tano za viazi mviringo, msitu ekari moja na ekari tano zingine za maparachichi. Hamna hamna thamani ya anavyovimiliki inafika milioni 50+ na hapo unakuta ashajenga tayari🙌 Njombe kuna vijana matajiri mno tena wanainuana kwa kutengeneza vikundi vya ujasiriamali📌
Indonesia
18
23
189
12.1K
Syankisu
Syankisu@1ernestnene·
@MarekaMalili Nilikuwa nmwambie Malaya Mmoja ivyo, Sasa Anaishi Vizuri Tuu Mkoani
Indonesia
0
0
1
92
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Bongo ndio nchi nyepesi sana kuanza upya maisha. Ukitoka Dar, ukaenda Wilaya mojawapo ya Morogoro, unaenda kuanza maisha upya bila mtu kukujua na matendo yako umewahi kufanya 😆
Indonesia
58
92
1.1K
76.3K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Mwamba alikuwa mbele ya mudaaa!! Alikuwa anajenga zake Nyumba yake ya Underground!! Wampe kibali chake aendelee tu!! Angalia alivyojenga.... Screenshots kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
35
24
610
99.5K
Syankisu
Syankisu@1ernestnene·
Tuwafunge Man City Ngapi Haters?
Filipino
0
0
0
2
Syankisu
Syankisu@1ernestnene·
@swahilispark Bodaboda Zinawaua Sana Pale Mto Wa Mbu,Mnadani,Engaruka Na Mkuyuni.
Indonesia
0
0
2
63
CandyLove🍭
CandyLove🍭@DazylingQueeen·
My husband keeps dating every maid we hire. What can I do to stop this?¿ I’ve already fired my ninth maid.😭💔 I need your opinion.
English
6K
724
4.4K
1.6M
Ismail
Ismail@Mofey203·
@JosephBaharia Kuna wanao tangulia byke 2 alafu mzigo unafata alafu kuna ambao wapo nyuma kufata mzigo mamae 🙌🙌🔥🔥🔥
Filipino
2
0
10
1K
Ismail
Ismail@Mofey203·
Hapa Chuga Kuna Vijana Wameamua Kuuza Roho Wanabeba Mrungi Na Byke Wanamwaga Moto Balaa Wamebebana Wawili Wawili Wanakua Wana Mapanga Kama Yale Ya Jumong Hao Jamaa Hata Police Wanawawaza 😂😂😂
Indonesia
50
58
651
29.1K
Syankisu
Syankisu@1ernestnene·
@Mofey203 Yule Dogo Tunamwita GostRider Alisema Ngaramtoni To Namanga 25Minutes.
Filipino
1
0
1
9
Kante
Kante@MkulimaKante·
Assume dada yako ni muuza mbususu na kaamua kukupa mtaji wa milioni tano ili ufanye biashara wewe mdogo wake wa kiume na kaipata kupitia mbususu selling, Utakubali kuipokea???
Indonesia
41
18
136
4.9K
JogooFarm
JogooFarm@ufugaji58com·
@RevocatusMagum1 Dah nimetoka kuuza chupi hapa naingia huku nakutana na hiii! Leo nathibitisha kusema huyu nabiii nimngese Manina zake😆😆
Filipino
2
0
3
467
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Mtoto Wa kiume umetoka huko kwenu Geita unakuja dar kuuza chupi za kike, halafu unabana pua kabisa, eti oooh Chukua hizi chupi dada Zina vutika,, Unatoka sehemu ambayo wanaume wenzio wana chimba madini wewe unakuja dar kuuza chupi? Achana na hizo kazi, Wazungu Wana toka ulaya wana enda Geita halafu wewe unatoka Geita kuja dar kuuza chupi acha ufala. 🗣️Nabii IPM
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
90
37
355
40.1K
Octa
Octa@SanaiTech·
@Sativa2555 People of Mara have the same genotype😀 Look at Mwl nyerere Look at waryoba sinde Look at John heche Yaani hamna kiongozi ambye amewahi kushika nafasi ya juu kutoka mara afu akawa fala.
Filipino
3
1
9
869
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Hakuna mkurya Fala Wakurya ni kabila la watu wenye Misimamo na uthabiti juu ya mambo wanayoyasema. Mkurya akikwambia ntakupiga na atakupiga kweli Ndo maana huwezi kuta mkurya anae jitambua yuko CCM maana kuwa CCM inakuhitaji ukubaliane na mambo Mengine ambayo nafsi yako inakwambia hili Sipendezwi nalo, ila unabidi ukubali kutetea ugali Mkurya timamu kama John heche hawezi kuwa namna hiyo. Huwezi kuta Mkurya anatabia za Akina Zitto kabwe za kimalaya malaya na kukosa msimamo Watu wa aina hii ndio tunataka waongoze nchi hii na sio vinginevyo Repost 340
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
27
110
846
23.5K
Melanin🍫🤎
Melanin🍫🤎@Ms__wealthy·
Nikiendaga sokoni kuna huyu kaka huwa ananibebea mizigo yangu yote ,ni mstaarabu sana and i like his behaviour i try my best to tip and pay him nicely cause najua how hard is for men to get money Ashakua kama ndugu yangu kila nikimpa pesa ananiombega baraka 🥹🙏🏾 Baraka naziona
Indonesia
20
19
113
1.6K
Syankisu
Syankisu@1ernestnene·
@mTusiOriginal Ila Wanaume Wa Dar Wakiwaki Sana So Mmeoa Na Hamjui Majukumu Yenu.
Indonesia
1
1
1
17
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Lema bana kaamua kumkalia kooni Prophet IPM, 😂anadai hakuna kitu kama kikao cha wanaume ni utapeli mtupu. Lakini hadi sasa Prophet IPM hajajibu hizi tuhuma. Hii rada inaonekana kuna kitu kinafichwa. Mimi nasema hivi wacha ukweli utoke wazi. Watu wamechoka kuchezwa. Kama 👇👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
31
15
280
42.6K
Learners Bookshop
Learners Bookshop@Vitabu247·
Nimekutana na swali zuri sana siku ya leo
Learners Bookshop tweet media
Indonesia
5
3
19
3.1K