Muddya Foreal

769 posts

Muddya Foreal banner
Muddya Foreal

Muddya Foreal

@Muddyaforeal

Don't say bad. international truck driver | former cells & driver https://t.co/xoKl55njWH product &bottles Ltd.

Katılım Şubat 2022
238 Takip Edilen41 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
Mwaka 2022 nilipitia Hali mbaya sana ya Msongo wa mawazo. Naishuku @cloudsfm kupitia kipindi chake Cha #powerbreakfast walifanya mahojiano na @KalunguG Mwanasaikolojia pia mwandishi wa vitabu kwa kipindi hiko aliandika kitabu kinaitwa afya ya akili Aliniletea mpaka nilipo.......
Filipino
2
2
3
247
Muddya Foreal retweetledi
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
Muddya Foreal tweet media
ZXX
0
1
1
21
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
Leo nimeuthibitisha ule msemo. Ukijikuna tako usikate kucha kwa meno.🤣🤣🤣
0
0
0
6
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Azam Media ili kuleta chachu kwenyw radio yao ya UFM, wangefanya rebranding ya jina kutoka UFM kwenda Azam FM kisha wakaboresha muonekano wa studio kuwa wakisasa wangetisha sana. Kwanza ingesaidia sana watu wengi kuijua na kuiamini kwa mara ya kwanza sababu ya jina ‘Azam’.
Filipino
52
43
896
28.3K
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
Mwaka 2022 nilipitia Hali mbaya sana ya Msongo wa mawazo. Naishuku @cloudsfm kupitia kipindi chake Cha #powerbreakfast walifanya mahojiano na @KalunguG Mwanasaikolojia pia mwandishi wa vitabu kwa kipindi hiko aliandika kitabu kinaitwa afya ya akili Aliniletea mpaka nilipo.......
Filipino
2
2
3
247
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kijana aitwaye Hugo Rodrigo kutoka Brazil alilazwa hospitali Kwa siku mbili huku akiwa amepoteza fahamu, hata baada ya kuzinduka alijikuta kapoteza Kumbukumbu. Madaktari katika hospitali ya Copa D'or Wana sema kijana alipelekwa hospitalini hapo akiwa kapoteza fahamu, baada ya siku mbili alizinduka, hata hivyo hakuwa na Kumbukumbu, jitihada za matibabu ziliendelea na baada ya siku tatu Kumbukumbu zilirejea. Kijana alisimulia kwamba kilicho tokea ni kuwa alikuwa kwenye faragha na mwanamke wake, kitendo cha huyo mwanamke wake kutumia mdomo kumny*nya kilifanya kijana aishiwe nguvu na baada ya hapo hakujua kilicho endelea mpaka alipo jikuta hospital hapo. Madaktari Wanasema vipimo vya awali vilionyesha kwamba mapigo ya moyo ya kijana yalisimama ghafla hivyo endapo angecheleweshwa hospital alikuwa anapoteza maisha. Wanawake ujumbe wenu huo hapo mpunguze ufundi mtawaua watoto wa wanawake wenzenu.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
7
2
31
8.1K
Life Of Vike
Life Of Vike@Life_of_vike·
Wayback 2023 ! Nilipata MAMSI MOJA age imeenda kidogo ilikua ya 1992 hivi ! Bhasi Mkali Urefu ukanipa kiburi nikarusha kamba akaingia Box pale ! Ile Mamsi ilikua inafanya kazi Hospital moja hivi hapa mitaa yetu ! Bhasi ikawa ikitoka Job inapita pale UWANJANI NYASAKA PRIMARY 😃
Indonesia
73
33
365
27.3K
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Mi Ni Mtembezi Kidogo ila Huwa natembea Na Bike ina Cc 200-9 Ngoja Nikuelezee Km 80 nilizowahi kutembea 👇🏿 Dar - Bagamoyo ni km 80 Arusha - Moshi ni Km 80 Mwanza - Usagara ni km 80 Dodoma - Chamwino ni Km 80 Mbeya - Mbalizi ni Km 80 Morogoro - Mikumi ni Km 80 Tanga - Muheza ni Km 80 Kigoma - Ujiji ni Km 80 Iringa - Mafinga ni Km 80 Songea - peremiho km 80
Myunani tweet media
Indonesia
87
10
155
29.3K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Maisha yanaenda kasi sana 2025 Agosti HK alikua Mbunge na alikua anawabana Mawaziri, jana 11/05/2026 HK kaingia Bungeni kama MVIZIA MICHONGO ili apate Uteuzi wa ujumbe wa bodi.
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
4
0
44
3.5K
Muddya Foreal retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Ukifanikiwa kumdanganya mtu, usidhani kuwa yeye ni mjinga. Tafakari tu ni kwa kiwango gani alikuamini, na wewe ukaivunja imani hiyo. Maumivu ya usaliti huwa makubwa kuliko udanganyifu wenyewe.
Indonesia
25
131
680
10.7K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema wizara inaandaa utaratibu wa kumpa uraia mchezaji wa Simba SC, Clatous Chama ili aweze kuisaidia timu ya Taifa.
Indonesia
159
13
314
93.5K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
SERIKALI KUMPATIA URAIA CHAMA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema serikali imeanza kuona taratibu za kumpatia uraia kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la Tanzania. Akizungumza katika usiku wa Tuzo za BMT 2025, Makonda alisema kiwango alichoonyesha Chama, ikiwemo bao lake la hivi karibuni, kimeongeza hoja ya kumtaka achezee Taifa Stars. Paul Makonda "Kwa lile goli la juzi, wizara imeanza mchakato wa kuona taratibu za kumpatia uraia Chama ili kuongeza uwezo wa timu yetu ya taifa,” APEWE AU ASIPEWE???
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
116
16
319
27.5K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
QME
8
2
69
4.3K
R.M
R.M@shibobo___·
Pale Yanga kuna mtu hatajwi wala havumi bt huyu mwamba ndio mechanism leader ya Yanga.
R.M tweet media
Indonesia
12
9
190
9.2K
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
@swahilitimes Hivi huko ikulu kuna nini mpaka hua hamtakagi kutoka? Anaejua anijuze kwa upole.
Indonesia
0
0
1
85
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Félix Tshisekedi, amesema anaweza kuwania muhula wa tatu wa urais mwaka 2028 ikiwa wananchi wataridhia kupitia kura ya maoni. Katiba ya nchi hiyo inaruhusu Rais kuongoza kwa mihula miwili pekee.
Swahili Times tweet media
Indonesia
12
0
86
5.5K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
“ Sikiliza Albart , hili ni tukio la kumpa heshima Prof Jay na ni starehe kwa watu wote , nikiingiza siasa hapa , nyie CCM mpo na CHADEMA wapo, itabidi na Mnyika au Heche aje kuongea hapa , kitakachotokea hapa, kesho utafukuzwa kazi, halafu uanze kulilia. Matako yako”
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
64
246
2.4K
62.9K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
@InteriorZoo @Muddyaforeal Akawa amekariri sura 114 na verse zaidi ya 200k+ bila kuandikiwa wala kusoma popote ilhali yeye mwenyewe hakujua kusoma wala kuandika
Indonesia
1
0
0
19
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Sheikh anasema Quran inaposomwa majini husogea karibu kwa furaha, Pastor anasema Bible inaposomwa majini hukimbia mbali kwa hofu, hii imekaaje watu wa Mungu..?! Nani anaweza kunielewesha kwa undani.😁
Indonesia
38
21
158
13.5K
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
@nassor_01 Alifundishwa mdogo mdogo na malaika Gibril akaihifadhiyote nae akawafundisha maswahaba.
Filipino
1
0
0
29
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
@Muddyaforeal Sasa alishushiwaje yaani,kwamba aliletewa kitabu au kushuahiwane ndo nahitaji kueleweshwa hapo,maana tunaposema Quran ni kitabu tayari chenye sura 114 na aya kama 262k+
Indonesia
1
0
0
27
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
@nassor_01 Quran alishushiwa kwa kutumwa kwake maila Gibril pia imeshuka taratibu kwa miaka 23. Ndani ya muda wake mtume aliishi Makka na madina hivyo ndio maana zipo aya za Makka na Zipo Aya za Madina
Filipino
1
0
0
31
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
@Muddyaforeal Muhamed alishushiwaje Quran wakati enzi zake ilikuwa haijaandikwa popote? Yaani alishushiwaje natamani kujua hapo,na kama alishushiwa mbona tunasikia mara aya fulani ilishuka Makkah mara sijui Madina,hebu nielezee kidogo
Indonesia
1
0
0
28
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
@nassor_01 Nadhani utakua umepata mwangaza japo kidogo kutokana na uchache wa elimu yangu. Je kuna sehemu una mashaka nayo juu ya Majini kuisikiliza Quran?
Indonesia
0
0
0
10
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
@Muddyaforeal Hizo mnaita maandiko sijui neno la Mungu me naitaga hadithi,maana ni imagination story
Indonesia
1
0
0
8
Muddya Foreal
Muddya Foreal@Muddyaforeal·
@nassor_01 Jibu la swali la pili. Waislamu wote tunamuamini Mungu mmoja na Muhammad kua ni mtume wake. Haya unayoyaita madhehebu mpaka mtume anaondoka kwenye dunia hii hayakuwepo aliuacha uislam na mafundisho yake tu. Ukiona watu wanabishania madhehebu kwenye uislam ni wao tu na maono yao.
Indonesia
1
0
0
33
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
@Muddyaforeal Kama ni uongofu mbona madhehebu ya kiislamu ni mengi na Yana kinzana kwenye mambo mengi wakati kitabu kimoja?
Indonesia
2
0
0
43