



INTERIOR ZOO🛋️
30.8K posts

@InteriorZoo
Transform your space with bold and beautiful designs.. Discover the magic of eclectic interiors.🛋️🛋️🦜✨ #InteriorStyle #DecorTips . DM for Credit/Remove





@Muddyaforeal @InteriorZoo Kama ni hivo yeye ndio angekuwa na uwezo mzuri wa kujiandika,vipi kwa Hawa wengine nani aliwasomesha mpka wasisahau hadi kuamua kujiandika! Nani aliwapa mamlaka ya kuiandika









@Mudimabiriani Anayewadanganya kwamza ukihama kwenu na kwenda nchi nyingine maisha yanakuwa mazuri mnatakiwa kumkamata na kumkabidhi polisi. Kama huna juhudi za kutafuta, hata uende wapi, maisha yatakuchapa tu.

Huyu jamaa sijui anaitwa nani ila ananishangaza yeye mlinzi kwenye muvi anayocheza ila anapiga ngeli hatari kuliko wenye hela. Ila Bongo muvi hazina uhalisia 😀

Kuna mikoa kama Ruvuma, Mtwara, na Linda unakuta mpaka sasaiv hakuna aliyeamka yani mkoa mzima wamelala 😂🙂🙌

Mwenyekiti alilipiwa Fomu kwa hela iliotoka kwenye KAMARI ko kama kampuni ilikua ni Sportpesa ya Tarimba wa CCM ni KOSA? Mnielekeze vizuri wajuzi.

@InnocentJLS Na sasa wanawashirikisha wasanii ambao ni wanachama wa CCM kwenye kazi zao🤣🤣🤣 Kweli maskini hana kiapo

Nikikumbuka wanaharakati walivyokupika hapa🤣 Wanaharakati jau sana aisee

