Mugwe™️

6K posts

Mugwe™️ banner
Mugwe™️

Mugwe™️

@Mugwet

Geologist | Photographer | Cartographer | Graphic Designer

Katılım Mayıs 2011
329 Takip Edilen294 Takipçiler
Mugwe™️ retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️Team Hakuna Kushindwa 🔥 Kwanza nawashukuru sana mlioniandikia DM na hata publicly jumbe za kunitia moyo ❤️ nashukuru mno! Pili mi ni mzoefu wa harakati #ChangeTanzania tulianza 2012! Na sijawahi kurudi nyuma wala kubadili msimamo! Natambua kuwa kwa sasa genge la wauaji la Kizimkazi gang linaniona mi ndo adui na wamelipa machawa kuja kunitukana, kunikejeli na kunivunja moyo Sasa nawamegea siri - I am ANTI FRAGILE Definition of Antifragile (@nntaleb ) - something that not only withstands stress, volatility, and disorder but actually gains strength and improves from them, unlike fragile things that break or resilient things that just bounce back Yaani mnavyozidi kunishambulia si kwamba ninahimili bali ninaimarika na kuwa bora zaidi 😂✊🏽 Ndo maana nawakera mnataka hata kesho mniue ila Mungu amesimama 🙏🏽 Hatuwezi kurudi nyuma wala kusimama na mi nitabaki hapa front kuhamasisha! Nyie machawa kama mnataka fanyeni ushawishi ila si vitisho na matusi! Wapendwa tutabanana hadi mwisho tukamilishe ukombozi na #TutaelewanaTu #J1 #Tumeshinda🇹🇿
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
103
280
1.6K
118.1K
Mugwe™️ retweetledi
💕Mide💕
💕Mide💕@HaYoMiDe_·
Retweet if you love twins🥹🥹🥹
💕Mide💕 tweet media
English
303
4.4K
24.6K
450.9K
I'M LIVING BLESSED
I'M LIVING BLESSED@officialDrHerry·
Ni kitu gani kinaweza kuwaleta watanzania pamoja wakashangilia namna hii???
I'M LIVING BLESSED tweet media
Indonesia
6
0
16
789
Mugwe™️ retweetledi
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Wakati wa vita ya Kagera watanzania walikuwa wanapata habari kupitia BBC, VOA na Radio Deustche Welle kama ilivyokuwa kwenye crisis ya tarehe 29. Issa Shivji anasema kilichokuwa kinatoka kwenye vyombo vya habari vya ndani ni propaganda tuu. Jamaa walizima hadi Reuter telex machine iliyokuwa kwenye lobby ya hotel ya Kilimanjaro iliyokuwa inategemewa na wabongo wengi. Kwakuwa wahariri na maafisa habari walikuwa wamekulia kwenye utawala wa chama kushika hatamu walijifanyia self censorship, wakaminya taarifa sahihi na maoni ya kweli. Baadaye Nyerere alijilaumu.
M A G I R I tweet mediaM A G I R I tweet media
Indonesia
5
75
298
22.8K
Mugwe™️ retweetledi
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
Baada ya mauaji ya Zanzibar, TEC iliungana na BAKWATA na CCT kutoa waraka wa kulaani mauaji hayo (waraka ulitoka Feb 08, 2001) Baada ya hapo TEC ilitoa waraka wake ambapo pamoja na kuonya mauaji ni machukizo, ilitoa uchambuzi wa nini kilipelekea hali ile, na kutoa mapendekezo.
TONY ALFRED K tweet mediaTONY ALFRED K tweet media
Indonesia
11
172
482
28.4K
Mugwe™️
Mugwe™️@Mugwet·
@youwillmakemaps Wish to be your students and learn more qbout making beautiful maps like those. Thanks for sharing those
English
0
0
1
99
Mugwe™️ retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Uwezo wa kumnyamazia mtu wako wa karibu kwa muda mrefu bila taarifa yoyote ya nini kinaendelea; uwezo wa kumuacha mwenzio kimya kimya bila mazungumzo ya wazi kutathmini wapi mmepishana; uwezo wa kumuondoa kabisa kwenye maisha yako mtu mliyewahi kuwa karibu, mkishirikishana mambo ya kina kuhusu maisha yenu na ukafanikiwa kujitenga naye, ukamsahau na hata ukikutana naye mnaweza kupishana kama watu wasiofahamiana, ndugu yangu, hiyo sio hali ya kawaida unayoweza kujivunia. Kinachokusaidia kumpuuza mtu kwa kiwango hicho sio kujitambua, kujua usichokitaka na kuendelea na maisha yako bali kumbukumbu ya maumivu yasiyotibiwa na majeraha makubwa ya kihisia unayoishi nayo yasiyoacha kukukumbusha namna ulivyowahi kutwezwa utu wako huko nyuma, ukaonewa, ukafedheheshwa na kuachwa mpweke asiyeweza kumwamini mtu yeyote lakini mwenye ujasiri wa kumshughulikia ipasavyo yeyote anayetonesha majeraha uliyonayo. Ukitibu majeraha hayo, huwezi kumwuumiza anayekuumiza kwa kumpuuza na kumwacha kimya kimya bila kumpa taarifa kuwa uhusiano wenu umefikia tamati. Ukitibu majeraha hayo unaweza kushindwana na mtu na ukawa na uwezo wa kujadiliana naye kuwa ukurasa wenu wa kuaminiana umefungwa rasmi. Nafsi ikiponywa unaweza kutofautiana na mtu, ukaumizwa, ukakosewa, ukaufunga vizuri ukurasa wenu wa kuaminiana na bado ukamheshimu na ukampa nafasi ya kuendelea kuwepo kwenye maisha yako kama mtu mwingine yeyote bila kisasi, kinyongo wala kutakiana mabaya.
Indonesia
12
46
126
11.7K
Mugwe™️ retweetledi
I'M LIVING BLESSED
I'M LIVING BLESSED@officialDrHerry·
Times Man of the Year….
I'M LIVING BLESSED tweet media
English
0
2
7
262
Mugwe™️ retweetledi
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
Ukisikia neno Fratenity ni kwenye Ushabiki wa Simba na Yanga. Huku hakuhitaji fact kuna hitaji hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa. Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa. Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba Askofu Emeritius Stephen Munga wala huku hutasikia Shangazi @MariaSTsehai hajafanya kile. huku kila mtu anakemea,anaonya,anatishia . Huku kila mtu anaweza, anachambua, anatukana anabagaza.Huku hata asiye jua kizungu anafahamu kanuni na mazoeya ya FIFA na CAF. Ni kama vile watu wana hasira fulani na wanatafuta pa kupumulia. I WISH uenda wazimu huu ungetumika kuhoji mambo ya Msingi kama Kupotea kwa watu,Katiba Mpya au maboresho ya Katiba ,Kuwe na Uchaguzi au kusiwe na uchaguzi, Uwekezaji na Maslahi ya Taifa, Suala la Ajira kwa vijana.Sintofahamu katika chaguzi zetu uwajibikaji wa Vyombo vya maamuzi nk. KUMBE kwenye Mambo yasiyo ya Msingi tunamsimamo na tunajiapiza kila Mmoja akiita vyombo vya habari!? It is well and good hebu sasa tufanye haya kwenye mambo ya Msingi pia kama tunavyo fanya kwenye haya yasiyo ya msingi.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
144
179
1.3K
116.1K
Mugwe™️ retweetledi
Mwanamalundi🇹🇿
Mwanamalundi🇹🇿@StephenMagohe·
Babu yangu alikuwa mnyenyekevu na mtumishi wa Tanzania baada ya kuhitimu Chuo cha Kilimo, Durham. Alinifundisha kuwa "Familia isiyo na elimu inaweza kuchezewa kwa urahisi." Tulikuwa karibu sana, na alishangazwa kwamba sikupenda hisabati licha ya yeye kuipenda🤣. Namkumbuka sana.
Mwanamalundi🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
1
6
178
Mugwe™️ retweetledi
I'M LIVING BLESSED
I'M LIVING BLESSED@officialDrHerry·
Baada ya maongezi na majadiliano ya muda mrefu na mzee wangu amebariki na kuniruhusu nigombee Ubunge Wanging’ombe… Nimeahidi kuendeleza yale yote mazuri aliyofanya kwenye jimbo hili kwa miaka 10 aliyohudumu. Wale wajumbe wote mlionifuata nyumbani kuniomba nasema NITAGOMBEA
I'M LIVING BLESSED tweet media
Indonesia
43
23
298
37K
Mugwe™️ retweetledi
I'M LIVING BLESSED
I'M LIVING BLESSED@officialDrHerry·
Wizara ya Kilimo ianzishe Agriculture Development Fund ili kusaidia kufund miradi ya kilimo Tanzania… Hizi pesa za Ushuru na kodi lukuki tulizoweka kwenye kilimo inatosha kabisa kuchukua 50% iwekwe kwenye ADF
Indonesia
8
13
56
2.2K
Mugwe™️ retweetledi
Mwanamalundi🇹🇿
Mwanamalundi🇹🇿@StephenMagohe·
Zoning in a pyroxene Credit: Dr Charles Meso (UDSM petrography lab.)
Mwanamalundi🇹🇿 tweet mediaMwanamalundi🇹🇿 tweet media
English
1
2
7
920
Mugwe™️ retweetledi
Tanzania Geological Society
Tanzania Geological Society@TGSTanzania·
We concluded our Tanga adventures with the TGS Annual Meeting, closing an incredible chapter of learning and collaboration. See you next year in Mbeya for more exciting discoveries!
Tanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet media
English
0
2
11
347
Mugwe™️ retweetledi
Tanzania Geological Society
Tanzania Geological Society@TGSTanzania·
Day 1 of the TGS 2024 Annual Conference is going strong! Prof. Nelson Boniface, DVC Research at the University of Dar es Salaam, gave a keynote speech on Tanzania’s Strategic Mineral Deposits. It was a great start to the panel discussions. More updates coming soon! #TGS2024
Tanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet media
English
0
3
9
292
Mugwe™️ retweetledi
Tanzania Geological Society
Tanzania Geological Society@TGSTanzania·
Evening highlights from Day 1 Attendees visited Kakindu to examine Middle Karoo-equivalent rocks in the Nairobi area, Gombero. The day concluded with a discussion at Sigi Bridge, focusing on Middle Karoo limestones, tectonic features, and the continental-marine transition.
Tanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet mediaTanzania Geological Society tweet media
English
0
3
15
357