Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1
65.9K posts

Tutuvengele1
@MussaMartin14
Believe in God at all times without fearing man and even if necessary die in that Faith. BECAUSE OF PURPOSE AND LOVE FOR THE GLORY OF GOD.
Nairobi, Kenya Katılım Şubat 2020
1.3K Takip Edilen2.6K Takipçiler
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi

Bora hao wanaomezea macho hiyo Uranium bila kuua wamiliki wa hiyo Uranium (wananchi) kuliko nyie serikali haram ambao mmeua wananchi sababu ya hizo rasilimali mnazojinufaisha wenyewe na familia zenu.
Kuna tofauti gani kati yenu nyie serikali batili na hao mnaowasema? Matter of fact hao mnaowasema wana ubinadamu zaidi yenu.
Hamna sapoti serikali harama mtaipata kwa Watanzania baada ya wauwaji. Watanzania tutamsapoti yoyote atakaetusaidia kuwaondoa nyinyi mliotuua ili tuanze upya.
Indonesia
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi

Je vuguvugu la maandamano Litasaidia kupata Mchakato wa kuleta #KatibaMpya
#KatibaMpya x.com/i/spaces/1djGX…
Eesti
Tutuvengele1 retweetledi

@MariaSTsehai Mwenyezi Mungu akulinde na akupe afya njema. Asante kwa yote unayofanya na kutupagania tusio na sauti. Sitasahau alipotekwa Mzee Kibao wewe ndo ulikuwa mtu wa kwanza kukutafuta unisaidie. You have been consistent in your fight tangu wengine hatujakuelewa mpaka tukakuelewa.
Indonesia
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi
Tutuvengele1 retweetledi

Humuwezi kuzuia sauti za mateso, uonevu na damu kwa lobbying, mnaweza kuzuia sauti hizo kwa toba,haki na uwajibikaji. Suala la kumwaga damu isiyo na hatia ni kisasi cha Mwenyezi Mungu. Anguko lenu limetimia na majuto ni makubwa sana.
Mwanzo 4:10
Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi
Filipino
Tutuvengele1 retweetledi

SERIKALI YA MAREKANI NI KAMA TEC.
Nasema Marekani ni kama TEC nikiwa na maana ya kwamba kupiga picha na Padri Pisa au Father Kitima haina maana kwaba TEC wanakuunga mkono.
Idd Amin Mama na Serikali yake haram na washauri wake wote akili zao ndogo sana na hawajaifunzi kila siku wanarudia makosa yale yale.
Miezi kadhaa walipoona wanapigwa spana kila kona Mwigulu akaenda kurasani akapiga picha na Father Kitima then wakaanza kufanya propaganda zao kwa kutumia picha ya Kitima huku wakisema TEC inawaunga mkono.
Baada ya wiki mbili TEC walikuja na Tamko zito kuhusu mauaji ya watu ambayo Serikali haram ya Idd Amin Mama ilifanya Oktoba 29 na jinsi ambayo Polisi walikuwa wanaenda kwenye Hospital za Kanisa hilo kuomba miili ya watu na kulazimisha majeruhiwa wasitibiwe badala yake wapelekwe Mochwari.
Serikali haram ikaishia kuumbuka 😂
Juzi Waziri haram wa Mambo ya nje kaenda Marekani na kupiga picha na baadhi ya Viongozi wa Serikali ya Marekani then wakaanza kutumia picha izo kufanya propaganda ili kuwadanganya Watanzania ili waamini kwamba Marekani inaunga mkono Serikali ya chinja chinja.
Hazijapita hata siku tatu, Leo Trump kaiingiza rasmi Tanzania kwenye nchi zenye partial travel ban to the US na Idd Amin Mama na wenzake wooote walioshiriki kuua wananchi waliokuwa wanadai haki zao wanaenda kupigwa full ban ya kuingia Marekani.
Yani akina Msigwa walivokuwa wanapambana kusambaza izo picha na vicaption vyao eti “Tuko Marekani tunajenga na Serikali ya Marekani” haya sasa kiko wapi?
Wahenga wanasema unaweza kudanganya watu lakin huwezi kudanganya milele, haya sasa ona mlivoumbuka halafu Girishoni @MsigwaGerson kajikausha kimya kama hajaona vile.😂
Huu ni mwanzo tu, Serikali haram inaenda kutengwa na nchi zote ambazo zinathamini uhai wa watu.
Huwezi kuuwa watu zaidi ya elfu kumi halafu unataka kuact kama hakuna kilichotokea, damu za Watanganyika wenzetu ambao mliwauwa Oktoba 29 zinawalilia mpaka siku mnaingia kabrini.

Indonesia
Tutuvengele1 retweetledi

@HecheJohn Wanajua kama ni VIBAKA na wametenda yote hayo kwa ULAFI WAO WA MADARAKA.
UJINGA WOTE wameufanya wao, harafu wanakuja kututisha raia tunaolipa KODI na wao wanazitumia vibaya.
MUDA NI MWALIMU!!!!!
HATA KAMA HAWATAKI KUELEWA, WATALAZIMISHWA KUELEWA.
Indonesia
Tutuvengele1 retweetledi

Ukimsikiliza Mwigulu na ccm wenzake wanazungumza… utafikiri Nchi hii ni mali yao binafsi na sisi wengine wote ni wapangaji!!
Unawezaje kuiba uchaguzi, ukajitangaza kwa nguvu, ukaua maelfu ya watu na wengine ukawafanya walemavu ili uwe kiongozi usie na ridhaa wala kura za umma.
Alafu unapata ujasiri wa kukemea wale wanaokwambia umeiba, wale wanaotaka uchaguzi uwe huru na haki, wale wanaotaka Mwananchi ndie awe na sauti ya kuweka kiongozi anaemtaka.
Tena unamwambia analeta vurugu na kuchafua Nchi…
Hivi alieiba uchaguzi na kuua watu na yule anaesema utaratibu ufuatwe nani analeta vurugu? Nani anatumika kuchafua Nchi?
Mwigulu Nchi hii sio mali yenu binafsi, wananchi wana haki na mamlaka yote na Nchi yao..
Acheni kutishia wananchi.
Indonesia
Tutuvengele1 retweetledi

Ukisikia maana ya roho mbaya ndo hii sasa! 🙄
Yaani unamweka jela Lissu huna ushahidi hata LEGAL basis huna tena - basi tu ili roho ifurahi!
Ibilisi kabisa!
But Tundu Lissu will be free soon
Sijui kabla ya kilele cha #D25 akachomolewa na Gen Z ?
#FreeTunduLissu
#SamiaMustGo

Indonesia

@MariaSTsehai NLIKUPENDA, NINAKUPENDA NA NITAZIDI KUKUPENDA, MUNGU NA AKUZIDISHE KATIKA MEMA YOTE.
HBD KIPENZI YA WENGI!!!!!
🥰🥳🍇🍿
👏👏👏👏👏👏
Indonesia













