Maalim Nash

4.2K posts

Maalim Nash banner
Maalim Nash

Maalim Nash

@Nashemcee

Maalim Nash. Hip Hop Emcee Representing 🇹🇿. Home of Swahili.

Katılım Ağustos 2012
384 Takip Edilen39.4K Takipçiler
Maalim Nash
Maalim Nash@Nashemcee·
@methodjr Mimi sikua Chaumma pole sana kaka,mimi ni miyeyusho sana. 🤣🤣🤣🤣🤣
Indonesia
3
0
3
175
Maalim Nash
Maalim Nash@Nashemcee·
Pole unampa nani K wewe?
Maalim Nash tweet media
Indonesia
8
18
189
4.4K
amir m.m
amir m.m@amir_muhango·
@Nashemcee Ulamaa katutia matopen Ahal Sunnah Waljamaa☺️
Indonesia
1
0
0
41
Maalim Nash
Maalim Nash@Nashemcee·
Sasa hivi Azam FC wakiwa wanacheza halafu usikie Mtangazaji anasema, WANALAMBALAMBA LEO WAPO UWANJANI WAKIZISAKA ALAMA 3. 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Indonesia
7
8
137
7.7K
S C O O B Y V E L L I 💯
S C O O B Y V E L L I 💯@incredible_nory·
Sema mamae pamoja na mahuzuni yote tuliokua nayo….kuna waseng* bado wanatupa laughters kupitia post zao!!!!!😃
Filipino
5
1
34
997
Mtumba
Mtumba@mtumbaenglish·
@Nashemcee @fivara_ Mashekhe wa nchi hii wanafki sana wakiongozwa na sheikh wao mkuu Beka Zuberi
Indonesia
1
0
10
1K
Maalim Nash
Maalim Nash@Nashemcee·
Sasa fikiria unajiita Maalim halafu unakutwa na mkasa wa kutaka Kuilamba kmmk 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀. @fivara_
Filipino
30
41
406
15.5K
iHumphreys
iHumphreys@iHumphreyz·
@Nashemcee Alitaka acheze michezo yako ya miaka ile kwa Tabia. Sasa sigida siju angeipiga headband wakati huo
Filipino
2
0
2
256
BOB
BOB@BOBmshamba·
@Nashemcee Zee la Bamia mwenyekiti wa malofa na mafala🤣🤣🤣
HT
1
0
0
179
BureBabalia💉
BureBabalia💉@bure_babalia·
@Nashemcee Kuna yule Lufufu ametuma "Mwaaaha", daah! kmmk hawa wasengerema sana. 🤣🤣
Filipino
1
0
0
92
Magokoro
Magokoro@fivara_·
@Nashemcee Sigda kubwa halafu unazama dm, “Huo upaja uko wapi?” 🤣🤣🤣
Filipino
1
0
13
1.2K
Malafyale
Malafyale@MwansasuSnr·
😭😭😭😭😭
GIF
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeapa lazima imkamate Mwanaharakati wa Mitandaoni Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Marekani, kutokana na kile kinachoelezwa kuhamamisha na kuchochea vurugu zilizotokea nchini kuanzia Oktoba 29 mwaka huu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Hamza Johari amesema hayo muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Novemba 05.2025 kuendelea kuongoza ofisi hiyo Amesema ni jambo ambalo halikubaliki kuona mtu mmoja tu anahamasisha uvunjifu wa amani nchini halafu baadaye tena anarudi kutamba na kujiapiza kuwa lazima arejee, jambo ambalo amelitafsiri kuwa ni dharau ya kiwango kikubwa kwa serikali na nchi na kwamba jambo hilo halikubaliki "Haiwezekani mtu mmoja amekaa nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dada tu hata ukimuangalia appearance yake, anawaambia watu wakafanye hivyo na wanaenda kufanya kweli, halafu halafu imetokea anaanza kutamba anasema bado nitakuja kivingine, lazima tumkamate" -Hamza Johari Amesema licha ya kwamba vyombo vya Ulinzi na Usalama linafuatilia suala hilo kwa namna yake na kama sehemu ya majukumu yao ya msingi, lakini ofisi yake pia ina wajibu wa makusudi wa kuhakikisha inashughulikia suala hilo Akizungumzia athari zilizotokana na vurugu hizo, Mwanasheria Mkuu huyo wa Serikali amesema mali za watu binafsi na za umma zimeharibiwa ikiwemo gari la ofisi yake mwenyewe ambalo limechomwa moto huku dereva akikimbia 'waandamanaji' "Tumeona mali za watu binafsi zimeharibiwa, tumeona mali za umma including gari la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, yaani gari la ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali libachomwa moto?, haiwezekani, nimeambiwa kwamba na gari yetu pia imechomwa moto dereva kakimbia, lakini Wanasheria sisi tuko mahiri, najuwa tu tutakuja na solution zuri, kule kwenye MTC kule tunataka tukafikiri namna fulani ili tuweze kuishauri serikali vizur, najuwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama watafikiri kivyao, wao wana sehemu yao, lakini sisi hatuwezi kusema eti lile ni suala la kiusalama tu hapana, lile pia ni suala la kisheria, yaani sheria zimepuuzwa, zimevunjwa" -Hamza Johari Amesema amelazimika kuzungumzia suala hilo kwakuwa muda mfupi baada ya kula kiapo chake, ameitwa na kuelekezwa majukumu ya kufanya moja wapo ikiwa ni hilo, akitakiwa kuliangalia kisheria na kidiplomasia, na kwamba anaamini jukumu hilo linatekelezeka kwakuwa ofisi hiyo ina watu makini na mahiri wanaohitaji muongozo na uongozi thabiti. CC: Radio 7

QME
3
0
6
1.4K
Maalim Nash
Maalim Nash@Nashemcee·
@CKinasha Mtoto Wangu hajafa yu hai ila Marafiki baadhi wamepoteza uhai wao.
हिन्दी
0
0
4
267
carola kinasha
carola kinasha@CKinasha·
@Nashemcee Pole sana sana Nash. Inasikitisha sana. Sikuwahi kufikiria nchi itafika hapa. Mola wetu ailaze pema roho ya mtoto wako.
Indonesia
1
0
2
295
Maalim Nash
Maalim Nash@Nashemcee·
Watu wamepoteza ndugu zao,mimi Almanusura nimpoteze mtoto wangu aliyezidiwa kwa Homa kali usiku ikawa ngumu kutoka kwenda Hospital lakini kuna soja jirani alisaidia na Mke wangu alifika Hospital,kwa Hiyo kama huna la kuongea,Nyamaza tu kuliko kutudhihirishia kama wewe ni Msenge.
Indonesia
29
150
771
25.1K
Lexy
Lexy@JiggaMyNiga·
@Nashemcee @iHumphreyz @Wakazi Maalim nje ya Mada,ngoma yako ya Fanani shule ya zamani inapatikana wapi??nimeitafuta platforms zote hakuna
Filipino
1
0
2
296
iHumphreys
iHumphreys@iHumphreyz·
Ukiacha Roma, @Nashemcee na @Wakazi, hawajawahi kupewa maua yao vya kutosha, ila ndio wasanii pekee ambao wamekuwa na tabaka la chini miaka yote, kwa nyimbo zao, maisha yao, na harakati zao kwenye mitandao ya kijamii. Shukrani pekee mnaweza kuwapa, ni walau kununua kazi zao.
Indonesia
7
58
351
9.3K
Maalim Mwesi
Maalim Mwesi@DKabugumila·
@Nashemcee Kyoma,umeandika vema sana. Na kwenye sentensi "Nyamaza tu kuliko....." ukiondoa neno kama ukaiacha sentensi iwe hivyo bado uko sahihi zaidi kaka. Asante. ✊🏿
Filipino
1
0
3
274