Mwa Kitime

1.3K posts

Mwa Kitime banner
Mwa Kitime

Mwa Kitime

@MwaKitime

Active in Pre-communist party of Tanzania formation (Ratibiko)

Tanzania Katılım Mart 2015
747 Takip Edilen863 Takipçiler
Joel Msuya
Joel Msuya@JoelyMsuya·
@ziyeshile 😅Sawa kaka. Tunashusha thamani ya andazi au sio
हिन्दी
1
0
0
68
Joel Msuya
Joel Msuya@JoelyMsuya·
KWA MAONI YAKO UTACHAGUA NINI KATI YA HIVI? A: Maandazi B: Ngogwe (Zambarau) #Repost #Like #Comment
Joel Msuya tweet mediaJoel Msuya tweet media
हिन्दी
73
16
87
3K
Mwa Kitime
Mwa Kitime@MwaKitime·
Ni Wakomunisti ndio watakao waamsha GenZ wa Tanzania.
Jambo TV@Jambotv_

"Yapo mambo mawili magumu kugombana nayo siku hizi, kama una uwezo wa kuepuka huo ugomvi na hayo mambo mawili epuka kwasababu huwezi kushinda. Ugomvi wa kwanza ni kugombana na GenZ, sisi tuna bahati GenZ wetu hapa bado washamba washamba, wamelala hivi lakini haina maana watalala, wataamka wakati wowote na cha pili kugombana na dini. Hakuna bomu, hakuna risasi. Hakuna fedha, hakuna mamlaka yenye uwezo wa kugombana na dini na kuishinda, havipo, hakuna sheria inayoweza kufuta dini kwenye mioyo ya watu. Wakomunisti walijidanganya, wakafuta, wakasema hakuna Mungu, wakatangaza kifo cha Mungu kuwa ameshakufa, hayupo. Nenda Urusi siku hizi uone, makanisa yameshamiri, nenda China, makanisa haya yanashamiri. Kwahiyo hizi rasilimali tunazozitumia kupambana na dini, tungezihifadhi zifanye kazi nyingine. Wakitaka waulize akinababa, sisi akinababa tunaamini mtu mgumu sana kumshauri ni mama aliyemuamini Nabii, yaani mama akimuamini Nabii wewe mwanaume kaa pembeni, usigombane naye hutamuweza. Sasa ni sawasawa na mwanadamu aliyeshiba dini, unapoteza muda wako wote kugombana na dini. Taasisi zote zielekezwe katika majadiliano na kijana wa GenZ majadiliano na watu wenye dini. Bahati mbaya dini nyingine zinaosha watu akili zao na kuwajaza upumbavu ndio unakaa kichwani, sasa huwezi kugombana na upumbavu, lazima utafute njia za kuwasiliana nao, kuweka daraja la kudumu la mawasiliano na watu hawa."-Askofu Benson Bagonza, wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, KKKT, Dayosisi ya Karagwe.

Indonesia
0
0
0
17
Mwa Kitime
Mwa Kitime@MwaKitime·
@JasperKido Nanyi ndugu zangu wa O-LK msiwapuuze wasiotaka kwenda kupiga kura wakiwa conscious maana hiyo ni ishara ya uasi dhidi ya mfumo na sio ujinga.
Indonesia
0
0
0
7
Jasper Kido
Jasper Kido@JasperKido·
@MwaKitime Mapinduzi yepi? Organized vipi? Unamaanisha au unaleta mahaba ndugu Kitime?
Indonesia
2
0
1
198
Jasper Kido
Jasper Kido@JasperKido·
Kubaki na kura yako ni UJUHA! Acheni kujidanganya na kuudanganya umma. Ninyi ninyi mnasema kwamba maisha ni siasa na ninyi ndio mnaonadi kubaki na kura. Mnatofauti gani na mtu anayesema hajihusishi na mambo ya siasa, ili hali hajui kula, kunya na kunywa yake inaamuliwa na siasa?
Indonesia
64
8
31
9.8K
Mwa Kitime
Mwa Kitime@MwaKitime·
@JasperKido Maana yangu ni kuwa kutopiga kura ikiwa wasiopiga ni conscious hiyo inakuwa hatua ya awali. Hatua ya pili ni wao kuwa organized ili kuleta mapinduzi. Hili la pili hata wakuu wa NR-NE hawajalifikia kifikra.
Indonesia
0
0
0
10
Mwa Kitime
Mwa Kitime@MwaKitime·
@JoelNtile AI inakuwa kwa kasi lakini itadhibitiwa na mabepari, hawatakubali i deinstitutionalize private ownership.
Filipino
0
0
0
8
Joel Ntile
Joel Ntile@JoelNtile·
Hebu fikiria baada ya miaka 5 au 10, matumizi ya AI yatakuwa kwa kiasi gani?
Indonesia
2
1
5
347
Mwa Kitime
Mwa Kitime@MwaKitime·
@celestine_mat Iran ikatae kabisa kinachoitwa mazungumzo ya kusitisha mpango wake. Make Tehran the new Pyongyang, heshima iwepo.
Filipino
0
0
0
86
sp
sp@ufntc·
@MwaKitime 🤝🏿🤝🏿 Taste of what they do others. Bado.
English
1
0
0
7
sp
sp@ufntc·
Beautiful sights.
English
1
0
1
97
Mwa Kitime
Mwa Kitime@MwaKitime·
Pale unapoungwa mkono na watu wanaondika hivi 😆😆😆
street PM@gray_ismai55380

@Jambotv_ Kwa kombinisheni ya trump na netanyau, bwana Iran alitakiwa atulie mihula yao ihishe, maana anakoelekea kwa kauli zake ataliingiza pabaya taifa lake, Israel sikuzote hawezi kumvumilia hadui, na irani anaangaika kuifuta Israel, ushauli wangu atulie tu.

Filipino
2
1
1
49
Mwa Kitime retweetledi
sp
sp@ufntc·
So USA divided the Koreas,failed to divide Vietnam ,had literally deposed regimes, and put puppets in South America, the Middle East. But Alas when it came to Tanzania, for it to conquer Zanzibar it had to use Mwl Nyerere 😅. You have to be stupid and have loose nuts to believe
English
3
1
7
276
Mwa Kitime retweetledi
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Si kwamba CDM ni wakamilifu, bali CCM imechoka kiasi kwamba hata kivuli cha upinzani kinaonekana kama mwanga wa matumaini. Hakika, si kwamba Chadema ni chama kisicho na dosari au kwamba ni bora kupita kiasi, bali ni kwamba udhaifu wa CCM umezidi kiasi kwamba hata
Sia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
46
42
380
16.7K