Benitho Mwapinga

866 posts

Benitho Mwapinga banner
Benitho Mwapinga

Benitho Mwapinga

@MwapingaBenitho

Katılım Şubat 2022
101 Takip Edilen142 Takipçiler
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Huyo ndio FATHER KITIMA Ndio maana wakati wake pale SAUTI UNIVERSITY Tulipata wakina HECHE wengi sana,]Bravo👏👏👏
Filipino
0
0
1
6
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Hayo ndio maoni waliyopeleka kwenye Ile Tume yao
Filipino
0
0
2
13
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Kwaheri Dodoma Ila tutarejea tena. Na safari hii tutarudi kwenye kata zetu, majimbo yetu na mikoa yetu tukiwa na kombe la ushindi. #STRONGERTOGETHER ✌️
Sheila Mchamba tweet media
Indonesia
13
39
325
3.4K
BarakaWambura
BarakaWambura@barakawamb·
Wakili Msomi Shaban Marijani
Indonesia
2
15
14
731
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
MACHAWA katika ubora wao,wa kumtumikia aliyewapa KANDARASI.HUYU anaitwa MKYUBA
Benitho Mwapinga tweet media
Indonesia
0
0
2
42
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Nani atavilipa hivi sasa?Maana kazi yao ilikwisha October 29
Filipino
0
0
1
14
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Sikuiz askiki popote pale jasusi wa mbinguni kwani yuko wapi ?
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Indonesia
12
2
31
4.6K
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Mlikuwa wapi kumkamata?Acha spana ziwaingie,mtatoa milio sana ila huyu dogo anakoelekea siko kabisa.Siku zinakuja atasema yote aliyowatendea watanzania iwe kwa wema au ubaya wake
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2

Lema @godbless_lema kabla hajawa mbunge alikuwa ana miliki genge la majambazi Arusha likihusika na uporaji wa Dhahabu na ujambazi kwa Ujumla.

Indonesia
0
0
1
36
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
♦️Hivi kwa nini vijana siku hizi huwa mnapenda kuficha ukweli wa jambo kwa kauli za kejeri? 🥾Tambua kijana mwenzangu huko sio kulisaidia Taifa ili litoke kwenye huu mkwamo ambao tumeuingia. 💥Bali yatupaswa kulisaidia Taifa bila kukejeri kauri za wazazi.
Irene Darton@DartonIrene

🚨 TIBAIJUKA, UMEKOSA HAYA? MAHAKAMA NI CHOMBO HURU NA MUHIMU, OMBA KADI YA CHADEMA LAKINI SIO KUHAMASISHA VURUGU 📍Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka @AnnaTibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. ‼️Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea dharau dhidi ya mhimili wa mahakama. Kauli zake, zinazo hamasisha vurugu, fujo na uasi kama njia ya kufikia malengo ya kisiasa, si tu zinapotosha historia ya harakati za uhuru, bali pia zinahatarisha amani na mshikamano wa taifa. ⭕️ Kauli za namna hii si za kubezwa, ni mbegu za machafuko. Ni fikra hatarishi zinazoweza kuligharimu taifa kwa damu, mali na mustakabali wa vizazi vijavyo. Hakuna kiongozi mwenye akili timamu anayeweza kusimama hadharani na kuhalalisha vurugu kisha ajione yuko sahihi. 🔻Cha kushangaza zaidi, inaonekana Tibaijuka anaamini kuwa athari za vurugu hazitamgusa, kwa fedha zake anaweza kukimbilia nje ya nchi na kuyaacha madhara kwa wananchi wa kawaida. Huu si tu mtazamo mufilisi, bali ni dharau ya wazi kwa Watanzania na uhai wao. 🔷️ Na si mara ya kwanza kwake kuonyesha dharau na kauli za hovyo. Historia yake imewahi kugubikwa na tuhuma nzito za ufisadi, ambazo alizipuuza kwa kauli nyepesi akidai fedha hizo zilikuwa “hela ya mboga.” mtu huyu anapaswa kutazamwa kwa jicho la kipekee. 📌 Tangu alivyoshindwa katika harakati zake za kisiasa amegeuka mbogo na yuko tayari kwa lolote, ikiwemo kuhamasisha vurugu. Aina hii ya siasa za jazba na kejeli kwa taasisi kama Mahakama haina nafasi katika taifa linalojenga misingi ya utawala wa sheria na maendeleo endelevu.

Indonesia
0
1
1
24
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Mbona hamusemi mnapoenda kujikomba kwa wakoloni wa zamani ili mpate misaada.Baniani mbaya kiatu chake dawa.
BarakaWambura@barakawamb

CHADEMA Rasmi sasa wamekua chama cha kutetea mashoga na wasagaji Nchini,Serikali inapambana kulinda maadili ya jamii lakini CHADEMA wanapambana kukwamisha juhudi hizo. Ni aibu Mjumbe wa kamati kuu wao @godbless_lema kaamua kutoka hadharani na kukwamisha uamuzi huo kwa kutetea msimamo wa chama chao juu ya ushoga na usagaji kufuatia uamuzi wa serikali kupiga marufuku taasisi nchini zinazojihusisha na mpango huo kwa mgongo wa Dini na msaada. Mtuelewe tu CHADEMA ajenda zao zinatokana na Wakoloni wetu wa zamani

Indonesia
0
0
0
14
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@MarekaMalili Yah utajiri upo kwenye manufacturing companies siunaona ata wakina ,MO,DANGOTE,BAKHRESA nk
Filipino
1
2
5
710
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kuna jamaa kasema, mwenye biashara ni mzalishaji bidhaa, wengine ninyi ni wachuuzi mnaomsaidia kufikisha bidhaa yake kwa wateja 😆 Chungu ila fresh 🤛🏼
Indonesia
22
47
404
14.5K
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Sasa wewe unataka tujirekebishe ili tusiwe kama kuku aliyekatwa mkia?SERIES!!!Acha kutuchora hiyo ndio kandarasi uliyopewa ili ulipwe furahia tukifikia huko.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿@_zack255

TWAHA MWAIPAYA: CHADEMA ISIPOJIREKEBISHA, INA HATARI YA KUWA KAMA KUKU ALIYEKATWA KICHWA. Chadema iko katika hali mbaya mno kwa sasa, imefika wakati vijana ambao ndio tegemeo la chama wamekuwa wendawazimu, TWAHA MWAIPAYA badala ya kujenga hoja na kukosoa kwa fact, yeye anawaza kujirekodi akipiga punyeto na kutuma mitandaoni(Japo anajitetea kuwa ni bahati mbaya). Leo Twaha, ameshindwa kutofautisha maendeleo ya awamu ya sita na kipindi awamu ya tatu ya serikali ilipokuwa inaanzisha Taasisi mbalimbali baada ya kufanya ubinafsishaji wa mashirika. Mfano wa Twaha Mwaipaya unaibua maswali juu ya umakini na uelewa wa masuala ya kitaifa, hasa pale anaposhindwa kutofautisha muktadha wa maendeleo ya sasa na vipindi vya nyuma vya serikali. Siasa zinahitaji hoja, si mihemko. Tangu Machi 2021, Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mageuzi yenye msingi wa 4R (Maridhiano, Mageuzi, Ustahimilivu na Ujenzi upya), akilenga kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kipato cha juu ifikapo 2050. Huu ni mwelekeo wa kimkakati, si maneno matupu. Uchumi umeendelea kuimarika kwa kasi, uwekezaji wa nje umeongezeka, ajira zimezalishwa, na sekta kama madini, kilimo na utalii zimepata msukumo mpya. Haya ni matokeo yanayoonekana. Serikali imewekeza kwa nguvu katika miundombinu mikubwa kama reli ya kisasa (SGR), Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), pamoja na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari, jambo linaloifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika Mashariki na Kati. Katika sekta ya afya, ujenzi wa hospitali, upatikanaji wa vifaa tiba na mpango wa Bima ya Afya kwa Wote umeongeza huduma kwa wananchi na kupunguza changamoto za matibabu. Elimu nayo imeimarishwa kupitia mageuzi ya sera, ufadhili wa masomo na uwekezaji katika rasilimali watu, hatua inayojenga msingi wa taifa lenye ujuzi na ushindani. Kilimo kimepata nguvu mpya kupitia miradi ya umwagiliaji, pembejeo na masoko, hivyo kuongeza uzalishaji na kipato cha wakulima, ambao ndio uti wa mgongo wa uchumi. Wanawake na vijana wamewezeshwa zaidi kiuchumi na kushirikishwa katika uongozi, huku diplomasia ya kimataifa ikiimarishwa na kuleta fursa zaidi za uwekezaji na ushirikiano. Kwa ujumla, Tanzania inaonyesha mwelekeo thabiti wa maendeleo unaohitaji kulindwa. Vyama vya upinzani vinapaswa kurejea kwenye siasa za hoja na sera; vinginevyo vitapoteza dira na imani ya wananchi na hapo ndipo mfano wa “kuku aliyekatwa kichwa” unakuwa halisi. @Twaha_Mwaipaya

Indonesia
0
0
0
11
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama alituma wasaidizi wake Gereza la Ukonga. Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba limama lao lipo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano. Mhe. Lissu aliwauliza anisamehe kwa kosa gani wakati yeye ndo aliyenibambika hii kesi ya uwongo? Mhe. Lissu aliwambia sihitaji anisamehe wala kupewa masharti kwamba ukitoka ufanye hivi ila nataka afute hii kesi kwasababu ni ya uwongo na yeye anajua na Dunia inajua kwamba mimi sio Muharifu. So Nduli Idd Amin Mama anatumia kesi ya mchongo ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu ili kumkomoa ndo maana mpaka leo Mahakama ya Rufani haijapanga tarehe ya kuanza kusikiliza Rufaa ambayo imekatwa na Mawakili wa Serikali. Nduli Idd Amin mama anadhan kwa kufanya hivi itafika muda Mhe. Lissu atampigia magoti na kukubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano uzuri Mhe. Lissu alishasema kama wanataka kumnyonga kwa hii kesi ya uwongo yupo tayari ila hatompigia magoti mtu yeyote. Halafu hata hiyo kesi ya Mgawanyo wa mali za CHAMA na mazuio ya CHAMA kufanya shughuli zake za kisiasa ni muendelezo huo huo wa kublackmail Viongozi kwamba mkikubali kuingia kwenye maridhiano basi hizi kesi zote zitafutwa. Nakumbuka wakati wa Uchaguzi Nduli Idd Amin mama na vibaraka wake walikuwa wanasema kwamba “CHADEMA wanajiona wao ni special sana wakati Tanzania Vyama vya upinzani viko vingi” Sasa kama Vyama vya upinzani nchini viko vingi sana kwanini yupo Desperate, anahangaika na kutumia nguvu kubwa kiasi hiki kutaka CHADEMA ikubali kuingia kwenye maridhiano si akaridhiane na hivyo Vyama walivosema ni vingi???😂😂😂😂 Labda tumkumbushe tu Nduli Idd Amin Mama kwamba CHADEMA ni CHAMA CHA WANANCHI WA TANZANIA, IKO MIOYONI MWA WATU. CHADEMA IMEBEBA MATUMAINI YA WATANZANIA WENGI. CHADEMA NDO CHAMA PEKEE CHENYE LEGITIMACY KWENYE NCHI HII SO TUTAILINDA LEGITIMACY YETU KWA WIVU MKUBWA.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
64
278
1.6K
72.2K
Benitho Mwapinga
Benitho Mwapinga@MwapingaBenitho·
Mchawi huwa analia sana MSIBANI
Filipino
0
0
0
11