Genius Fulani.

9.2K posts

Genius Fulani.

Genius Fulani.

@RoadLofa

I'm in love with Tech,Digital economy, Copywriting & Closing skills,Accounting,Auditing,Tax&Music

Tanzania Katılım Ocak 2015
625 Takip Edilen543 Takipçiler
millardayo
millardayo@millardayo·
Hamdani Hussen ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Shangazi iliyopo Wilayani Lushoto, Mkoani Tanga, anakwambia tangu ameanza kufundisha Wanafunzi wake kwa kutumia nyimbo za Bongofleva na za nje ya Nchi, utoro wa Wanafunzi umepungua kwa kiasi kikubwa sana shuleni hapo. Akizungumza na Mwandishi wa @AyoTV_ aliyefika Shuleni hapo, Mwalimu Hamdani amesema alisukumwa kutumia mbinu hizo kutokana na mazingira ya Kijiji hicho kuwa Milimani, hali inayowafanya Wanafunzi kukutana na changamoto mbalimbali zinazoathiri swala zima la kujifunza pamoja na ufundishaji. Ameeleza kuwa sababu nyingine iliyomfanya kubuni mbinu mbadala ni uwepo wa kasumba katika Jamii ya kuwafanya baadhi ya Wanafunzi kujifelisha, hususani katika mitihani ya darasa la nne na la saba, kwa lengo la kubaki nyumbani na kufanya kazi za ndani hali inayochangiwa na ugumu wa maisha. #MillardAyoUPDATES
Filipino
15
12
230
21.5K
KIPEPE 💊
KIPEPE 💊@kipepe123·
Hizi Familia Muda Mwingine Zinapata Laaana Mtu Nina Degree Natumwa Kusaga Uji Wa Lishe..?
Filipino
10
12
236
7.1K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@blackLGX @k_mjege yah iyo issue ya mafuta walitakiwa kuijua baada ya kuanza tu vita ya iran,sema pia ni fursa kwao na usikute wao pia wanafaidika bei kupanda.
Indonesia
0
0
0
19
Matata
Matata@blackLGX·
@RoadLofa @k_mjege then ulivyo jua? hata ukijua kama inchi haina mfumo sahihi bado ni kazi bure.
Filipino
2
0
0
8
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Sasa tunakubaliana kuwa somo la uchumi liwe la lazima Kuanzia shule ya Msingi? Ili kila mpiga kura awe na uelewa mpana kuhusu masuala ya uchumi
Indonesia
5
17
82
2.3K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
🚨Nimerejea IG muda huu. TUONDOKE.🚀
Eesti
27
101
862
34.9K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@MkulimaKante magroup kuna muda miyeyusho wanaingizaga chaka sana watu,watu wengi wanatoboa tu wenyewe baada ya udhoefu wa muda fulani au baada ya kupewa ushauri wa jinsi ya kujiandaa na watu walioshawahi fanya interview na kufahuru.
Indonesia
2
0
5
752
Kante
Kante@MkulimaKante·
Wale wataalamu wa maabara wameitwa kwenye usahili na ajira portal tarehe 10 hapo nina mwanangu nae kaitwa sasa namna anavokesha kusoma hadi nimeogopa🤣🤣🤣 Afu yupo kwenye magroup ya kudiscuss yana watu hadi 2000 huko kuna muda namuonea sana huruma yapo active 24hrs Siku hizi kupata kazi imekuwa kazi sana💔
Filipino
15
9
137
9.5K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@Roma_Mkatoliki ndo maana wanatakiwa kuwa na ithibati,na wengi wanaajiriwa bila kuzingatia profession ,ndo maana industry kadhaa tz haziendelei kutokana na kuupuza profession ,filamu,music na utangazaji
Indonesia
0
0
2
441
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Msanii fulani kaenda radio kufanya interview ya kutambulisha na kupromote wimbo wake maskini ya Mungu anajipambania. Anafika radio mtangazaji anamuuliza kati ya finale na happy ipi ngoma kali na kwanini😁😁😁 Wanabishana hiyo topic dakika 10 nzima, then anaambiwa haya cha mwisho cha kumalizia kwa fans wako muda umetutupa mkono!! Dogo anaishia kusema tu wimbo wangu unapatikana kwenye digital platform zote subscribe! Tuna industry katili sana😁
Indonesia
127
161
2.4K
126.3K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@INFLUENCERjr sikuhizi wamewabrand wanawaita Maafisa usafrishaji na wengine wanatetea boda ni Ajira
Indonesia
0
0
1
130
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Bodaboda zinamaliza nguvu kazi ya Taifa 💔
WHYMYCATISSAD tweet media
24
21
484
19.8K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@St_PatrickII @swahilitimes wenyeji gani ,wakaguzi uwa wanakagua mikataba iliyofanyika na kama kuna mabadiliko uwa kuna kuwa na addendum ya mikataba,usikute hajaona ongezeeko la mkataba kakuta malipo makubwa tofauti na bei/gharama halisi ya mkataba. na hoja uwa zinajibiwa kwa vithibitisho
Filipino
1
0
0
39
PATRICK
PATRICK@St_PatrickII·
@swahilitimes Asa CAG nae alikujaje na ile taarifa bila kuuliza wenyeji wa uwanja😮‍💨??
Indonesia
1
0
1
358
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kuwa gharama za ujenzi wa uwanja wa mpira wa Arusha zimeongezeka kutoka makadirio ya TZS bilioni 187 hadi bilioni 338.54 kwenye mkataba kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya CAF. Msigwa amesema mpango wa ujenzi wa uwanja huo ulianza mwaka 2021 kabla Tanzania haijapata nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027.
Swahili Times tweet media
Indonesia
121
12
271
41.4K
Duda
Duda@K255Leo·
@swahilitimes Makadirio 187----> Mkataba 338---> Halafu mnasema ni vigezo vya CAF?! Kwani aliyekadiria alijua Uwanja ni wa shule ya msingi? Ukiona mtu anakuja kujitetea kwa waandishi badala ya kujibu hoja za mkaguzi (Hadi mkaguzi akaibua madudu) ujue huyo ndiyo mwizi wenu! Now you know
Indonesia
3
5
29
1.3K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@hataweweunaweza @Psiteshio1 ata wakijaza haisaidii chochote na wezi wanajulikana na hawafanywi chochote maana ubadhirifu uwa ni chain ya watu kibao tu kuanzia ngazi za juu hadi uku chini.
Indonesia
0
0
0
14
Unaweza
Unaweza@hataweweunaweza·
@Psiteshio1 Ipo siku watafanyiwa ukaguzi wa mali alizo nazo na mishahara aliyopokea
Indonesia
3
0
3
302
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Watu wamepiga 151B yaani hata kama wapo wengi kiasi gani kuna mmoja hapo kalamba 50B. Sasa nikuulize wewe kijana wa Dar u Es Salaam, NI lini utashika million 1 ya kwako mwenyewe kwa kuuza uduvi ambao faida yake NI 300?
Indonesia
16
15
287
10.8K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Huu mbona Kama Ukweli Mchungu 😂
Fumbo Khan tweet media
Filipino
7
21
380
19.8K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@Narrowbeeflying iyo true nilishuhudia demu mmoja wa kisambaa harusi yake kamwalika X wake na kamshonea suti jamaa ya harusi
Indonesia
0
0
0
20
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kwenye kila harusi inayofungwa, ukumbini kuna yule jamaa ambae alishachapa bibi harusi staili zote, na kadi ya mwaliko ni bibi harusi mwenyewe ndio alimpa 😁😁🚮
Filipino
36
35
360
21.1K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@jinnyX66 Tamaa za manunuzi izo unajikuta tu kitu umekinunua bila mpango ,issue ya pesa ni ya kisaikolojia zaidi
Indonesia
2
0
1
17
SHALIPOPO 🦇
SHALIPOPO 🦇@jinnyX66·
Nimetoka na twenti sasa hivi narudi magetoni na buku mbili moja
SHALIPOPO 🦇 tweet media
5
6
62
971
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@millardayo Anasemwa MWIGULU na SAMIA MILELEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Română
0
0
1
1.6K
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata. Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi” “Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo” “Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali” “Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia” “Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka” #MilardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
227
27
538
80.4K
Ig @william_andason
Ig @william_andason@WiliamAndason·
Mzee wangu alinambia Ukitaka kuoa. 1. Nenda Kasulu Kigoma 2. Tandahimba Ntwara. 3. Lushoto Tanga 4. BABATI Manyara. 5. Pemba Zanzibar 6. Sumbawanga Rukwa. Na akamalizia kwa kusema kama unataka kuishi kwa Amani kwenye Ndoa.. Je hii kuna Ukweli..?
Indonesia
57
14
233
26.5K
Genius Fulani.
Genius Fulani.@RoadLofa·
@WiliamAndason Lushoto nimekaa tarafa ya SONI_MBUMBULI na UMBA kuna mademu wazuri sema kuna imani za ushirikina uganga ni kipaji lushoto
Indonesia
0
0
0
520