Mwga,

12.2K posts

Mwga, banner
Mwga,

Mwga,

@Mwga20

Web 3, Full automation

Katılım Haziran 2021
354 Takip Edilen103 Takipçiler
Mwga, retweetledi
Mbunge wa Kongwa 2030
Mbunge wa Kongwa 2030@AndersonMbalai·
Code Betpawa-N39R6I3 Odds 103 Mwaga moto kama dragon 🐲 🔥 🔥 Repost mitaa ishibe hela then click link hiyo hapo chini ili kujiunga na channel yetu ya telegram ili uwe unapata mikeka kila siku t.me/+5IItYlM4BlJhM…
Mbunge wa Kongwa 2030 tweet media
Filipino
2
5
40
4.9K
Mwga, retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Kamati Kuu imesisitiza kwamba kesi inayomkabili mhe. @TunduALissu ni kesi ya kisiasa hivyo Kamati Kuu imeazimia kuufahamaisha na kuuomba umma kusimama na wapenda haki kushinikiza Mhe. @TunduALissu kuachiwa huru bila masharti yoyote." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
12
37
105
1.7K
Mwga, retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Katibu Mkuu CHADEMA akisoma maazimio.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
9
92
497
6.9K
Mwga, retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Bongozozo anaendelea kuwanyoosha.
Indonesia
2
41
180
3.8K
Mwga, retweetledi
.
.@TonyJo01·
Mnacheka na foot soldiers wa CCM na kuwapa contact info zenu, siku mmepishana mitazamo wanawateka, mkiambiwa msiassociate nao mnasema tusiwapangie namma ya kuishi. Sawa! You will learn but the hard way.
Indonesia
3
48
163
4.2K
Mwga, retweetledi
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Siku ya Jana ilikuwa njema sana, kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lilifana sana. Vijana walipata madini ya kutosha na kuelewa vema itikadi na falsafa ya @ChademaTZ2 , ni jukumu la Vijana wasomi kupigania nchi yao. Viongozi wetu wamejenga sprit mpya ya mapambano kizazi hiki.
Felius Festo tweet mediaFelius Festo tweet mediaFelius Festo tweet mediaFelius Festo tweet media
Indonesia
4
27
127
1.4K
Mwga, retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Moyo wangu unauma sana toka jana baada ya kupokea taarifa za kutekwa kwa ndugu yangu DAMOUR siku ya jana nyumbani kwao MBURAHATI!! Bado hatujui wamekupeleka wapi na unapitia situation gani wakati huu!! Haya matukio yanaumiza mno familia zetu, na kutuachia machungu yanayojenga hofu na chuki dhidi ya mamlaka zinazohusika na ulinzi wa raia na mali zake!! Haya mambo yanaweza yasikuguse sana kama muhusika hatoki kwenye familia yako, until limkute mtu wa circle yako! Na haipaswi kuwa hivyo! (Selfishness) Imagine unavamiwa na kutekwa na watu 7 wenye silaha unapigwa pingu mbele ya mama yako mzazi, na anakua hajui umepelekwa wapi kila kituo cha polisi wanasema hawana taarifa zako!! Mzazi anabaki na trauma ya milele…..Sad😌 Bado nitaendelea kupaza sauti yangu kukemea Utekaji/Ukamataji holela. #BRING_DAMOUR_BACK_ALIVE. #FREE_NINJA Nakuombea sana urejee nyumbani salama mdogo wangu, Damu ya Yesu kristo ikakufunike na kukulinda huko uliko!!❤️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Indonesia
37
367
1K
19.4K
Mwga, retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
SOUTH AFRICA KILA MARA WATANZANIA WANAUWAWA. Jana amefariki huyu Jamaa anaitwa JOE ZAMU ni mzaliwa wa Arusha. Huyu jamaa amefariki kwa kuchomwa moto mjinj Cape Town akiwa ndani na mwanamke wake wa kiSouth Africa jamii ya Kaladi. Kaladi ni wale machotara wa ki South Africa ambao wengi wao wamechanganya damu baina ya mtu mweusi na Mzungu, Muhindi au Mwarabu kisha akazaliwa mtoto. Joe pamoja na mwanamke wake wamefariki hapo hapo kiasi cha kushindwa kutambulika yupi ni Yupi, na wamechomwa moto na raia wa South Africa 🇿🇦 Mpaka sasa Jamii ya Watanzania wanaoishi South Africa wanawatafuta ndugu zake na Joe ili wawape utaratibu juu ya ufanyaji DNA ili kuweza kutambua mwili wa Joe Zamu ni upi. Hii si Mara ya Kwanza, Karibu kila Mwezi kuna Raia wa Tanzania anauawa South Africa, Na jamii ya Watanzania waishio South Africa hushirikiana Kwa Kila kitu. Joe ana tambulika kuwa nyumbani kwao ni Arusha kwa maelezo ya marehemu kipindi cha uhai wake. kwa yoyote yule mwenye details za Joe Zamu kuhusu familia yake anaombwa kuwasilisha taarifa kupitia namba hiyo chini. +255763005575 Mohamed Taibalh Hamza Msangi
Polycarp The Bibliophile tweet media
Filipino
32
51
271
24.2K
Mwga, retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Maazimio ya KAMATI KUU
Indonesia
11
87
452
5.2K
Mwga, retweetledi
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
WHERE IS NINJA, FREE HIM NOW!! Huyu jamaa sio rafiki yangu, infact ni miongoni mwa watu ambao walikuwa wananikejeli na kunitusi (sababu ya ushabiki wa Wasanii wengine wa Hip Hop). Ila kama kweli mimi ni mpenda na mtetea haki, nitakuwa mnafiki nisipotumia nafasi na sauti yangu kupaza sauti juu ya kitendo cha yeye kutekwa!! SERIKALI HARAMU inawaza tu kuhusu wao kubaki madarakani, na sio majeraha inayowaachia Wazazi na Familia kiujumla kwa kuendelea kuteka na kukamata watu kiholela kinyume na sheria. Nakemea kitendo hicho na naungana na wenzangu kusema FREE DAMOUR NOW !! Kama @Ninja_Damour hajapatikana kwenye vituo vyote vya polisi, basi RPC ajiuzulu kazi leo leo maana ameshindwa kulinda Wananchi hadi uhalifu kufikia kiasi hicho. #WeWantJustice #FreeNinja #MwalimuMkuuMAMAyenu
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Indonesia
3
185
509
13.9K
Mwga, retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Nchi hii imekuwa uwanja wa mauaji huyu anaitwa James Temba alitekwa jijini Dar mwili wake umeonekana Tabata kwenye mtalo wa maji ukiwa hauna kichwa.
Twaha Mwaipaya tweet mediaTwaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
44
130
433
20.8K
Mwga, retweetledi
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Mabadiliko hayajengwi na watu wachache-yanajengwa na kila anayetoa alichonacho. Leo toa tone lako. Kesho tutajivunia nguvu yetu ya pamoja. #ToneTone
Suomi
10
88
390
9.5K
Watu Mikeka
Watu Mikeka@Watu_Mikeka·
Best Team lead any time (1UP) & Over 0.5 Sportybet 🇹🇿🇳🇬 Booking Code👉5HKFGH _______________________________ Green App (WhatsApp)⤵️ chat.whatsapp.com/EzcM1p29gI4EG7… _______________________________ 🍿
Watu Mikeka tweet mediaWatu Mikeka tweet media
English
1
11
19
1.6K
Mwga, retweetledi
Mbishi ⚖
Mbishi ⚖@bizy94·
🚨 TANZANIANS! THIS IS A DIRECT CALL TO EVERY ONE OF YOU! 🔥 Where the hell is Captain John Charles Tesha right now?! Did dictator @SuluhuSamia kidnap him, silence him, and then have him KILLED after his brave video exposed her massive corruption, human rights abuses, and interference in the military?! He vanished into thin air just days after going viral! No trace, no trial, no body nothing! NOW NINJAH is gone. ENOUGH IS ENOUGH! DEMAND ANSWERS NOW! #freeNinjah #SuluhuMurderedTesha #TanzaniaWakeUp #FreeTanzania RT, share everywhere, tag everyone make this impossible to ignore! 🇹🇿
Mbishi ⚖ tweet mediaMbishi ⚖ tweet media
English
3
55
171
9.6K
Mwga, retweetledi
Kadogo551
Kadogo551@Kadogo551·
Sikia @SuluhuSamia muuwaji, Tutaandamana mpaka kieleweke yani ndo tuaanzaa moja haaa!! Mbona ya October 29/25 mbona cha mtoto ? Yani kadri unavyotuteka na kutuuwa ndo kwanza tunapata nguvu wewe ushanuka mavi Ikulu utatoka tu lazima
Taifa kwanzatz@mchina_jr94958

#OperationFreetundulissu Nchi nzima, Free Tundu Lissu

Indonesia
1
8
16
269