Mwita Chogo

1.6K posts

Mwita Chogo banner
Mwita Chogo

Mwita Chogo

@Mwita_Choggo

Mbele kwa Mbele

Katılım Mayıs 2020
1.6K Takip Edilen180 Takipçiler
Mwita Chogo retweetledi
Ministry of Foreign Affairs - Qatar
Tanzania's Prime Minister Meets Qatar's Ambassador Dodoma | April 08, 2026 HE Prime Minister of the United Republic of Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba met with HE Ambassador of the State of Qatar to Dar es Salaam Fahad Rashid Al Muraikhi. The meeting discussed cooperation relations between the two countries. #MOFAQatar
Ministry of Foreign Affairs - Qatar tweet media
English
0
4
13
2.1K
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
Kuna hatari kubwa UCHUMI wa UK Ukaanguka vereee soon bwana mkimbizi
Filipino
0
0
0
7
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
UNGEJIKITA KWENYE DENI LA NCHI YAKO Deni la UK sasa limefika zaidi ya £2.9 trilioni (zaidi ya TZS trilioni 9,000). Serikali inalipa mabilioni kwa riba kila mwaka badala ya huduma kwa wananchi. Hii si takwimu tu, ni mzigo halisi kwa uchumi na walipa kodi.
Indonesia
0
0
0
31
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
Ungeanza kwa kuhoji deni la hapo UK ulikojificha kama mkimbizi usiyejulikana unakimbia nini.
Mwita Chogo tweet media
Indonesia
0
0
0
39
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
KATELEFONE ALITAKIWA KUWA LUPANGO MUDA HUU. BLACKMAILER IN CHIEF, HAKUNA HATA SENT UTALAMBA THIS TIME. WANAOWEKA MAHELA KWENYE DOLLAR ACCOUNT YAKO YA CRDB TUTAWATAJA VEREEEE SOOON. ACHA KUJIFICHA KWA CAG. WEWE NA MARIA SARUNGI NI ZAO LA FORD FOUNDATION, ACHA UTAPELI DIDIER
Mwita Chogo tweet media
Filipino
0
0
0
74
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
Hakuna hata mia unalama mlawa this time, hatapeliki mtu. Blackmailer in Chief. Tutaweka wazi mambo yote vereeee sooooon
Filipino
0
0
0
26
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
Tango pori alilopigwa diblo limewahangaisha siku tatu mfululu 😄😄😄 Shimba limadelu ndio dawa yenu kenge nyie.
Kigogo Media@kigogo2014

HII NDIYO KAZI YA VYOMBO VYA USALAMA.. HONGERENI SANA📌 Kitendo cha kufutilia mbali safari ya ndege kuruka kutoka Katavi kwenda Geita dakika za mwisho kabisa ikiwq uwanjani na kuamuru rubani kwenda Dar Es Salaam kitabakia kuwa moja ya maamuzi muhimu sana kwa vyombo vyetu vya usalama! Taifa limeepushwa na aibu kubwa sana ya ujinga uliokuwa ufanyike siku ya leo pale Chato ambapo watu walikodishwa na kusombelewa na ma coaster kutoka sehemu kadhaa za nchi na kuwekwa pale Bwanga kwa ajili ya kushangilia bwana yule akitambulishwa kanisani pale Chato! Yaani walipanga kumpokea kwa maandamano makubwa sana na kujifanya eti huyu ni Magufuli mpya 🚮🚮 Kama tuna taifa lenye viongozi wa hivi tena wa ngazi kubwa hivi basi shida iliyoko mbele yetu ni kubwa sana na kwa vyovyote vile kuna mahali kazi haikufanyika sawasawa kwenye kupembua sifa za watu wa aina hii kuwa viongozi.! Tuna watu wana cyeo vikubwa sana lakini akili zao na mawazo yao ni kama makatibu kata!. Huu unaofanywa na akina Salum Abdallah ni utoto na upuuzi wa hali ya juu sana na umeacha uchi kabisa uwezo wa kibumunda wa viongozi wetu hawa wanaodhani kuwa populist ni jambo la maana sana au kujifananisha na Magufuli ni karata muhimu sana kwenye ndoto zao za kisiasa!. Magufuli atabakia kuwa mtu mshenzi tu na muasisi wa kuuwa watu na kupoteza watu nchi hii na hawezi kuwa mfano bora wa watu wa maana ndani ya Tanzania!.. Hilo haliwezi kufutika na haliwezi kupuuzwa. Mengi yanayotokea leo muasisi wake ni Magufuli na kujifananisha naye ni ujinga mtupu! Unalipa watu hela wakushangilie ili iwe nini? Unasafirisha watu kwenda Chato eti wakupokee kwa maandamano na kukufananisha na Magufuli ili iwe nini? Yaani Magufuli ni nani sasa kwa mfano kwenye nchi hii? Haya bwana injinia Salum Abdallah ulisema nyie mna maarifa na mlikaa darasani kwa kuwa mna akili sana! Haya kiko wapi? Ndiyo sasa mjue kuwa hii nchi ni kubwa na ina migumo kuliko huu upunbavu wenu mliokuwa mnapanga wa kuwazomea Dojta Nchimbi, Dokta Mpango na Majaliwa! Tuliwaambia na hamkuwa mnasikia lakini tunarudia kuwakumbusha kuwa " HUU SIYO UJI" kwamba kila mtu anaonja #KigogoMediaUpdates

Indonesia
0
0
0
18
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
Kwisha habari yako Abdala Mlawa, mpiga ramli mjinga
Kigogo Media@kigogo2014

HII NDIYO KAZI YA VYOMBO VYA USALAMA.. HONGERENI SANA📌 Kitendo cha kufutilia mbali safari ya ndege kuruka kutoka Katavi kwenda Geita dakika za mwisho kabisa ikiwq uwanjani na kuamuru rubani kwenda Dar Es Salaam kitabakia kuwa moja ya maamuzi muhimu sana kwa vyombo vyetu vya usalama! Taifa limeepushwa na aibu kubwa sana ya ujinga uliokuwa ufanyike siku ya leo pale Chato ambapo watu walikodishwa na kusombelewa na ma coaster kutoka sehemu kadhaa za nchi na kuwekwa pale Bwanga kwa ajili ya kushangilia bwana yule akitambulishwa kanisani pale Chato! Yaani walipanga kumpokea kwa maandamano makubwa sana na kujifanya eti huyu ni Magufuli mpya 🚮🚮 Kama tuna taifa lenye viongozi wa hivi tena wa ngazi kubwa hivi basi shida iliyoko mbele yetu ni kubwa sana na kwa vyovyote vile kuna mahali kazi haikufanyika sawasawa kwenye kupembua sifa za watu wa aina hii kuwa viongozi.! Tuna watu wana cyeo vikubwa sana lakini akili zao na mawazo yao ni kama makatibu kata!. Huu unaofanywa na akina Salum Abdallah ni utoto na upuuzi wa hali ya juu sana na umeacha uchi kabisa uwezo wa kibumunda wa viongozi wetu hawa wanaodhani kuwa populist ni jambo la maana sana au kujifananisha na Magufuli ni karata muhimu sana kwenye ndoto zao za kisiasa!. Magufuli atabakia kuwa mtu mshenzi tu na muasisi wa kuuwa watu na kupoteza watu nchi hii na hawezi kuwa mfano bora wa watu wa maana ndani ya Tanzania!.. Hilo haliwezi kufutika na haliwezi kupuuzwa. Mengi yanayotokea leo muasisi wake ni Magufuli na kujifananisha naye ni ujinga mtupu! Unalipa watu hela wakushangilie ili iwe nini? Unasafirisha watu kwenda Chato eti wakupokee kwa maandamano na kukufananisha na Magufuli ili iwe nini? Yaani Magufuli ni nani sasa kwa mfano kwenye nchi hii? Haya bwana injinia Salum Abdallah ulisema nyie mna maarifa na mlikaa darasani kwa kuwa mna akili sana! Haya kiko wapi? Ndiyo sasa mjue kuwa hii nchi ni kubwa na ina migumo kuliko huu upunbavu wenu mliokuwa mnapanga wa kuwazomea Dojta Nchimbi, Dokta Mpango na Majaliwa! Tuliwaambia na hamkuwa mnasikia lakini tunarudia kuwakumbusha kuwa " HUU SIYO UJI" kwamba kila mtu anaonja #KigogoMediaUpdates

Indonesia
0
0
0
12
Mwita Chogo
Mwita Chogo@Mwita_Choggo·
@godbless_lema Kwasasa mmekosa hoja kabisa mnadandia kila linalopita mbele yenu, chama kimekufa, hakina mwelekeo mmebaki kula hela za mabwana zenu wanaowatuma kuleta chaos. Mwigulu ni mtu msafi kuliko nyote mnaokula hela za join the chain na tonetone.
Suomi
0
0
0
12
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mwigulu wa Nepal akikabiliwa na Wananchi wa Nepal.
Filipino
48
162
1.2K
43.4K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Honored to strengthen the strategic partnership between Tanzania and Norway. We deeply value Norway’s unwavering commitment to our national development agenda, grounded in inclusive growth, sustainability, and long-term resilience.
Ambassador Tone Tinnes@NorAmbTZ

Today I met with Hon. Mwigulu Nchemba to discuss Norway–Tanzania cooperation in rural energy, women in engineering, tax reform & poverty reduction through TASAF. Norway has contributed TZS 188+ billion to support inclusive development led by the Government of Tanzania. 🇳🇴🤝🇹🇿

English
169
18
117
20.4K
Mwita Chogo retweetledi
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
UFAFANUZI WA KITAALAMU: BAJETI YA WIZARA YA FEDHA Kati ya TSh trilioni 20.19 zilizowasilishwa na kuidhinishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Fedha 2025/26: Takribani TSh trilioni 18.33 ni kwa ajili ya huduma za kifedha kwa taifa – ikijumuisha ugharamiaji wa deni la serikali, kulipa riba, na kudhibiti hatari za kifedha, si "matumizi ya kawaida" tu kama inavyodhaniwa. TSh trilioni 1.10 ni mishahara kwa watumishi walio chini ya mafungu 8 ya Wizara hiyo (kama vile Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali, Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu, NAOT nk) – kazi hizi ni uti wa mgongo wa usimamizi wa fedha za umma. TSh bilioni 757.79 ni kwa miradi ya maendeleo ya moja kwa moja ndani ya Wizara ya Fedha. Hii haina maana kuwa miradi mingine ya taifa haifanyiki – bali hiyo inatoka kwenye Bajeti Kuu (General Budget) ambayo ni zaidi ya TSh trilioni 49.35. Kwa mantiki hiyo, hoja kwamba “3.5% ndiyo fedha ya maendeleo” ni upotoshaji kwa sababu: Bajeti ya maendeleo ya Wizara ya Fedha pekee haipaswi kuchukuliwa kama bajeti ya maendeleo ya serikali nzima. Zipo bajeti za maendeleo za Wizara ya Ujenzi, Afya, Elimu, Nishati nk – kila moja ikiwa na miradi ya maendeleo inayosimamiwa na fedha nyingi zaidi. Wizara ya Fedha si Wizara ya ujenzi wa barabara au shule – bali ni wizara ya kuhakikisha fedha zipo, zinasimamiwa kwa nidhamu, na kila taasisi inalipwa kwa wakati. Hii ni kazi ya maendeleo ya mfumo mzima wa kiuchumi.
Indonesia
23
17
17
2.7K
Mwita Chogo retweetledi
CharlieBihemo
CharlieBihemo@CharlieBihemo·
ELIMU YA UCHUMI: WAKATI WA KUACHA UJUHA NA KUSIKILIZA SERA ZA KWELI. Mimi kama mdau wa masuala ya Uchumi nimeona maoni ya baadhi ya watu wenye uhaba wa uelewa wa masuala hayo na nimeona niwatoe ujuha kidogo, wapo wanaomkosoa Dkt. Mwigulu Nchemba kwa mada yake katika Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (ECOSOC FfD Forum) wakimwita "mtu wa mikopo". Hii si tu ni dhihaka isiyo na maarifa, bali pia ni upotoshaji hatari dhidi ya juhudi kubwa za diplomasia ya kiuchumi kwa maslahi ya Taifa letu. Kwanza, Dkt. Nchemba hakuenda kuomba mkopo bali alienda kuomba mageuzi ya mfumo wa mikopo duniani. Hili ni somo ambalo wengi wanapaswa kujifunza: Alitaka kupunguzwa kwa gharama za mikopo (interest rates) kwa nchi zinazoendelea. Kumbuka: Mataifa maskini yanakopeshwa kwa riba kubwa kuliko mataifa tajiri huu ni mfumo wa kimataifa usio wa haki. Ametetea mikopo yenye muda mrefu wa kulipia, badala ya mikopo yenye masharti magumu inayosababisha nchi kupaniki au kukwama kimapato. Amehimiza matumizi ya "blended finance" — yaani mchanganyiko wa fedha binafsi na za umma, kama njia ya kuvutia uwekezaji bila kutegemea misaada ya moja kwa moja. Amesisitiza uwazi katika matumizi ya fedha na uendelevu wa mikakati ya maendeleo. Kwa mantiki hii, huyu si "mtu wa mikopo", bali ni mtu wa mabadiliko ya kifedha ya kimataifa, anayetetea mfumo wa fedha wa haki kwa nchi zinazoendelea kama Tanzania. Wanaomshambulia Dkt. Nchemba hawatofautishi kati ya kukopa kwa busara kwa ajili ya maendeleo, na kukopa kwa matumizi ya anasa. Hakuna taifa duniani lilioendelea pasipo uwekezaji wa nje au mikopo ya maendeleo — hata China, Korea Kusini na Singapore zilipitia njia hiyo. Katika dunia ya leo, maendeleo hayapatikani kwa ubishi wa kisiasa wa mitandaoni bali kwa ujasiri wa kisera. Hapo ndipo Dkt. Nchemba yuko — akitengeneza nafasi kwa Tanzania kukua bila utegemezi wa misaada ya masharti magumu. Ni wakati sasa Watanzania wajifunze kupongeza ujasiri wa viongozi wanaokwenda mbele ya mataifa tajiri na kusema: “Hatuombi misaada — tunaomba usawa.” Huo ndio ujumbe wa Dkt. Mwigulu Nchemba. Na historia itamhukumu vizuri.
Jambo TV@Jambotv_

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa rai kwa nchi zilizoendelea kupunguza gharama za mikopo na kutoa muda mrefu wa kulipa madeni ili kuziwezesha nchi zinazoendelea zikiwemo za Afrika kutekeleza miradi ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi na maisha ya wananchi kwa ujumla. Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo jijini New York nchini Marekani, wakati akichangia mada katika Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up (FfD Forum), linalofanyika Makao Makuu ya Umoja huo, Jijini NewYork nchini humo. Amesema kuwa mbinu za utoaji wa viwango vya mikopo zinapaswa kubadilika ili kuakisi kwa usahihi uwezo wa kweli wa nchi zinazoendelea kulipa madeni na kuhimiza matumizi zaidi ya fedha mchanganyiko (blended finance), upanuzi wa dhamana za hatari kutoka kwa Benki za Maendeleo ya Kielelezo (MDBs), na utekelezaji wa mipango ya uwazi wa madeni ili kusaidia kupunguza gharama za hatari zinazoonekana. Dkt. Nchemba amepongeza juhudi zinazofanywa na mataifa pamoja na taasisi za fedha zinazokopesha kwa kuboresha upatikanaji wa mikopo nafuu lakini kwa nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, inakwazwa na viwango vikubwa vya gharama za mikopo na ulipaji wa madeni husika unaoathiri bajeti za nchi hizo. Amependekeza masuala matatu ya kufanyiwa kazi ikiwemo upatikanaji wa mikopo nafuu, kuongeza kasi ya kurekebisha muundo wa ulipaji madeni, kuwezesha upatikanaji wa mikopo mchanganyiko (blended finance) inayozingatia mahitaji pamoja na kuzisaidia nchi zinazoendelea kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Akizungumzia umuhimu wa sekta binafsi katika kukuza uchumi, Dkt. Nchemba amesema kuwa uwekezaji wa sekta binafsi ni muhimu ili kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia kwa kujenga uchumi himilivu, jumuishi na kuhakikisha hakuna mtu anayeachwa nyuma kimaendeleo. Ameshauri kuimarisha majukwaa ya kuwezesha uwekezaji ambayo yanaunganisha fursa na mitaji ya kimataifa, kuchochea athari chanya, na kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma na kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na washirika wote kufungua uwekezaji binafsi kwa maendeleo jumuishi na endelevu. Dkt. Nchemba amesema kuwa Tanzania, chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefanya mageuzi makubwa ya kisera ya upatikanaji wa fedha, kuweka uwazi wa matumizi na kutanua wigo wa upatikanaji wa mikopo nafuu kwa wanawake, vijana na watu wenye mahitaji maalum. “Tunaendeleza ujumuishaji wa kifedha kupitia majukwaa ya kidijiti na kufanikisha urasimishaji wa sekta isiyo rasmi ili kuongeza upatikanaji wa masoko na fedha. Kwa ngazi ya kimataifa, tunatoa wito wa kuoanisha kwa kiwango kikubwa zaidi uwekezaji binafsi na vipaumbele vya kitaifa, kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, na kuanzisha taasisi za msaada kama Kituo cha Kimataifa cha Msaada wa Uwekezaji kwa Nchi Zenye Maendeleo Duni (LDCs)” amesema Dkt. Nchemba. Amesema kuwa Kitaifa, Tanzania inatengeneza mikakati ya fedha endelevu, dhamana zenye mwelekeo mahsusi (thematic bonds), na inatumia ubunifu wa kidijiti ili kuvutia rasilimali, kuanzisha mifumo ya uwekezaji kutoka kwa diaspora na kuhamasisha uwekezaji katika miundombinu endelevu na inayostahimili mabadiliko ya tabianchi. Ameshauri kuimarisha majukwaa ya kuwezesha uwekezaji ambayo yanaunganisha fursa na mitaji ya kimataifa, kuchochea athari chanya, na kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma na kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na washirika wote kufungua uwekezaji binafsi kwa maendeleo jumuishi na endelevu. Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa linawahusisha mawaziri wa Fedha, Mipango, Mambo ya Nje na sekta nyingine pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo yakiwemo mashirika ya Fedha ya Kimataifa kwa ajili ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa Maazimio ya Umoja wa Mataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo.

Indonesia
9
9
9
567
Stee
Stee@I_am_stee·
@Hulk_Holyfield Tafuta hela bro.. uoga wako ni ishara una uhaba wa saini za mwigulu.
Filipino
2
0
1
26
Mwita Chogo retweetledi
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Baada ya kuhitimisha shughuli za Bunge, sasa tunaendelea na kazi za wananchi jimboni! Huduma kwa wananchi ni kipaumbele chetu daima.
Filipino
138
22
174
24.8K