Sabitlenmiş Tweet
Necto Kitiga
40.9K posts

Necto Kitiga
@NectoKitiga
Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa 2025/2029.
Iringa, Tanzania Katılım Ağustos 2018
2.5K Takip Edilen47.6K Takipçiler
Necto Kitiga retweetledi

Huyu Bwana Kombo anazidi kuthibitisha kwamba waliua watu bila sababu ya msingi… Chande alisema kulikua na training na silaha , kombo anasema mawe!!! anasema ukimlembea jiwe polisi, anatakiwa kukupiga risasi..
Je Bwana Kombo yule mama Mtanganyika pale Arusha, Video yake Inaonekana anakimbia , akapigwa risasi mgongoni, alilemba jiwe kwa nani?
Watu wameuwawa wakiwa nje ya Mageti ya nyumba zao, wengine kwenye sebule , kuna vijana Mwanza mmeaua wakiwa wanaangali Mpira…
Unasema tumeheal!!!! Hamtaweza kufukia mauaji ya kutisha mliyofanya ili mjitangaze kwenye uchaguzi ambao haukuwepo… wote mnakula pesa za damu na dunia haitakaa kimya.
Indonesia
Necto Kitiga retweetledi

Wabunge haram wakiongozwa na @esteramosbulaya wanasema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu maccm bila kuwapa nafasi ya kujitetea.
Sasa wao kabla hawajawapiga risasi na kuwauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliwapa nafasi ya kujitetea.?
Indonesia
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi

Huu ni mkutano wa hadhara wa CHADEMA katika Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Hapa hakuna viongozi wa kitaifa wala watu waliosombwa kwa malori. Wananchi wamejitokeza kwa hiari yao wenyewe, jambo linalodhihirisha wazi kuwa CHADEMA ndiyo chama chenye majibu na kinachosimama pamoja na wananchi.
Tuendelee kukijenga chama chetu kwa kukichangia TONETONE kupitia namba: 0744 446969
Jina: CHADEMA HQ
Indonesia
Necto Kitiga retweetledi

Katibu Mkuu BAVICHA @duahamud ameambatana na Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Kusini na Mwenyekiti BAVICHA Mkoa wa Temeke katika ibada ya Eid al Adha katika msikiti wa Gadafi Dodoma na baada ya ibada hiyo Katibu Mkuu alisisitiza umuhimu wa kuiishi haki kwa mstakabali wa taifa letu.




Indonesia
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi

Naibu Katibu Mkuu Bara kamanda @amanigolugwa akitoa mafunzo ya Uongozi Kwa wajumbe wa kamati tendaji Bavicha Taifa mapema Leo.
#FreeLissu
#KatibaMpya




Indonesia
Necto Kitiga retweetledi

youtube.com/shorts/ejIp37-…
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Wakili @AdvMahinyila akifungua Mafunzo ya Kamati Tendaji ya BAVICHA Taifa.

YouTube
Indonesia
Necto Kitiga retweetledi

Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Wakili @AdvMahinyila akichora mstari juu ya watu wanaorudi kwenye chama.
#FreeLissu
#KatibaMpya
Indonesia
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi

Leo kwenye #ToneTone la viwanja vya Nyankumbu, Geita Mjini
Wanageita wamekichangia Chana zaidi ya shilingi 2,559,000
Ungana na watu wa Geita kwa kuangusha tone lako kwenye hii namba
Mpesa 0744446969
Jina- CHADEMA HQ.
#PeoplesPower.
Indonesia
Necto Kitiga retweetledi
Necto Kitiga retweetledi

“Dada uliyevaa nguo ya Chadema nakuita toka kule huitiki… nyinyi mliopo Chadema ndio mnasimama na @TunduALissu hebu njoo uchukue maji ya kunywa hapa nakununulia” - dereva wa bodaboda baada ya kuniona mtaani. @ChademaTZ2 inapendwa na wananchi mpaka viongozi wake wanapendwa ✌️✌️

Indonesia
Necto Kitiga retweetledi

Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani Mhe. Boniface Jacob akizungumza katika mkutano wa mwendelezo wa Operesheni #KatibaMpya #FreeLissu leo tarehe 17 Mei 2026 Geita Mjini, Kanda ya Victoria.




HT
Necto Kitiga retweetledi

















